Umeuza wangapi na umenunua wangapi???
Dont forget, "..24 years and counting..."
Tatizo linalokuja hapa ni kwamba, huo ubabe umekupa nini hasa???
Je umewapa kitu ambacho BOSS wenu alikuwa anakitarajia???
kumbuka hujajibu swali bado...
ukishajua hilo; sasa hupaswi kubwabwaja kwamba CFC imekosa kombe mwaka huu! Mwaka mmoja tu si sawa na miaka 24 jamani; punguzeni pumba zenu.:der:
ameshindwa kuelewa kwamba kufika NUSU FAINALI kuna hela kuliko kubwa bingwa wa FA.
Sisi CFC tumetengeneza hela nyingi mwaka huu kuliko hoa mitimu ya kizamani.🙂
utajiju.:der:
juan mata kauzwa United kwa Paundi M.37
tumenunua Salah kwa M.11 + Matic kwa Matic M.22?
bado chenji imebaki.
NB; tumeuza Kelvin De Bruyne kwa M.18 kule Ujerumani.🙂
jibu swali brother! Anza hivi,kabla ya 2004/05,tulikaa miaka .....
Tuhesabieni na zile pesa za Tor the Res basi ... ... .... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati kufika CL semi final mmetengeneza pesa nyingi .... .. .. ... . nicheke mie pesa ambazo hazina hesabu. Twambie basi mlihonga kiasi gani? I mean brown envelopes? Khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Halafu we Mentor ing ------ jifunze kujibu machwali ... ... ... ..
BTW wacha neni na kubadili majina kama vinyonga hoja zikiwashinda.

kabla ya 2005:
FA CUP - 2000.
FA CUP - 1997.
SUPER CUP - 1998.
WINNERS CUP[EUROPA]- 1998.
unataka niweke list yote?
Tuhesabieni na zile pesa za Tor the Res basi ... ... .... .. khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati kufika CL semi final mmetengeneza pesa nyingi .... .. .. ... . nicheke mie pesa ambazo hazina hesabu. Twambie basi mlihonga kiasi gani? I mean brown envelopes? Khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Halafu we Mentor ing ------ jifunze kujibu machwali ... ... ... ..
BTW wacha neni na kubadili majina kama vinyonga hoja zikiwashinda.
nimekuuliza epl title,sio makombe! Kama makombe hata sisi tumechukua mengi tu ndani ya hiyo miaka 24,we are just talking abt league titles,si umesema hatujachukua for 24 yrs? Ndo nimekuuliza kabla hamjachukua epl msimu ule,mlikaa miaka mingapi? Hilo ndo swali,haya naomba jibu bro..
epl title WAITING:
chelsea fc waiting for 4 yrs.
arsenal fc waiting for 10 yrs.
man utd just lost.
man city waiting for 2yrs.
liverpool fc waiting for 24 yrs.