Huwa sishabikii timu. Kushabikia timu inakufanya unakuwa blind.
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.naona mtani umekuwa mdogo kama punje ya mtama....maneno haya na yale uliyokuwa unahubiri wiki chache zilizopita ni tofauti kabisa!!! wewe ulishajitangazia ubingwa wa EPL LEO HII UNAKULA MANENO YAKO....
Mkuu mi tangu tumefungwa Na ATM Na kutolewa ktk cl sifatilii kabisa mpira! Na pia nasubiri nione yeyote Yule atakaechukua kombe! Iwe liver au city!
Ndoo Maana unaona nipo tu wakuu!
Nasubiri msimu wetu ujao Huu umeshatupita!
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.
Mkuu mi tangu tumefungwa Na ATM Na kutolewa ktk cl sifatilii kabisa mpira! Na pia nasubiri nione yeyote Yule atakaechukua kombe! Iwe liver au city!
Ndoo Maana unaona nipo tu wakuu!
Nasubiri msimu wetu ujao Huu umeshatupita!
teh teh teh obviusly mpira mzuri hauchezwi na top striker wale kazi yao kufunga tu ngioja tuone atasajili viungo gani wazuri wa pembeni na wakati hao ndo wanaochezesha timuSasa kama timu haishambulii na mpaka Hazard amenuna, ukimleta Diego Costa unataka acheze kama beki ama defensive mid?
Diego kwenda darajani ni kuua kipaji unless aje kocha mwingine
kayala na kaenda kuyashusha msalani. Mwenzake Agosti 8 anadai kauza simu na computer anunue BuS.
Soon Na Mimi ntakucheka!
Damn!!
Soon Na Mimi ntakucheka!
Damn!!
Game ya leo usiku, tunatakiwa tushinde ili tuzidi kuipa Pressure Man shitty hasa kwenye game yao na Aston Villa J5..
Ila to be honest, sidhani kama Aston Villa wanaweza wakafanya chochote, lakini kwenye Football anything can happen!!!
HUYU MKUU agosti 8 nitampa R>I>Q muda si mrefu...ushabiki utamtokeaje puani huyu bwana...manake tulikuwa hatuna raha hapa Jamvini...duh kweli ATLETICO kaleta msiba darajani
JT in the house; any question?:smile-big:
kulikuwa na penati 4 jana:
Norwich 1 - 3 Chelsea fc.
ingekuwa LFC wangepewa zote hizo!:shock:
Ques: Mkuu nini kilikusibu hata ukapotea Jukwaani tangia tarehe 30th April? manaake si kawaida yako? Ni kweli uliuza simu na laptop?
Ques No 2: Nini mtazamo wako kuhusu mwenendo mzima wa Chelsea na kocha wake pale darajani?
Ques No 3: Who is failure btn Wenger n Mou?
Ques No 4: Game yenu na Atm unatoa mtazamo gani ? Manake hatujawahi kuuona mchango wako kabisa on that...n more to come.
NB: Nimefurahi kukuona tena huku manake unakuja kwa kunyemelea.