kama mourinho asinge muuza mata tungebeba ubingwa angetusaidia sana kwenye game za aston villa,sunderland .mata amefunga magoli matano na asist nne ila oscar kascore mara mbili tu tena game ya arsenal so kiwango kimeshuka cha oscar
Leo ni kama fainalI vle maana dunia yote kimya
Mata hakutusaidia msimu wa 2011-2012 tuliposhika nafasi ya 6.
Wachezaji wengi wazuri wamepita CHELSEA FC ..hii si timu ya ONE MAN SHOW.
Mata alifanya yake..lakini aliposema anaondoka Chelsea fc ili apate nafasi ya kucheza na kuitwa KOMBE la DUNIA.:shock:
Mchezaji muhimu ni yule anayefikiria timu kwanza..ona ASHLEY COLE hajacheza sana msimu huu..lakini katulia.
U need players like Cole.🙂
leo ni leo:
WINNING IS THE ONLY OPTION.
Wakuu hi game ya leo inaogopesha ukiangalia historia ya mwaka jana.
Dotmund waliwafunga Real Madrid
Bayern wakawafunga Barcelona
Wakakutana fainali wajerumani tu.
Jana Real Madrid kashinda
Leo Atlentico sijui itakwaje.
Je hamna harufu ya Wahispania tu kukutana fainali??

Kweli watatoka,isije ikawa kama jana,wakachez fainal wenyew kwa wenyew
kweli watatoka,isije ikawa kama jana,wakachez fainal wenyew kwa wenyew
mkuu pamoja sana,najua Mourinho hatatuangusha
pamoja mkuu,tutakutana madrid huko Portugalharufu inaweza kuwepo..lakini ukweli wa mambo WINNING IS THE ONLY OPTION.
WE ARE WINNING TONIGHT.:coffee:
mkuu pamoja sana,najua Mourinho hatatuangusha
Tunapaki mabasi yetu,atletico watapitia wapi?
Ushindi leo muhimu,tusiangalie possession
Cole ana miaka 33 while Mata ana 26,Cole career yake inaelekea ukingoni soon atakimbilia Us na Cesar amecheza vizuri sana na anastahili kumweka Cole benchi but Oscar hajaonyesha lolote msimu huu.Although unasema hakuwasaidia 2011/2012 still mashabiki walimchagua yeye kuwa mchezaji boraMata hakutusaidia msimu wa 2011-2012 tuliposhika nafasi ya 6.