Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,430
Baba Kelvin kajipangeni tu muombee City wapoteze points kwenye mechi zilizobaki,na nyinyi msipoteze point hata moja.
Kuna mechi walicheza United na Chelsea OT Mourinho baada ya mechi akasema hata wangecheza wiki nzima man utd wasingepata goli,na ni kweli na jana hata mngecheza siku mbili msingefunga ila mngefunwa nyinyi tu.
Mkishaanza kupiga long balls/aerial ball against Chelsea there is only one winner,Liverpool walikuwa too slow by the time wanafika golini Chelsea 10 wote washarudi nyuma ya mpira,walichotakiwa Liverpool kufanya ni kuongeza speed kama alivyofanya Sterling mara chache kipindi cha kwanza.
Wangejaribu waone! daadeq
Sikiliza osokonoi, unabwabwaja sana...Mourinho anaogopeka na makocha wengi kwa sababu anao uwezo wa kubadili mchezo kutokana na adui anayecheza naye na lengo la mechi.
Huwezi kuruhusu wachezaji wako wacheze high tempo ilhali baadhi yao unawahitaji fresh come wednesday! Alilisema hili mwanzoni.
Inajulikana Liver ni attack minded na weakness yao ipo kwenye kulinda goli lao. Kwa kujua hili, wakajipanga kuzuia kwanza kisha kufunga. Liver wao hawakutaka kuangalia makosa yao na mapungufu yetu. walienda kama roboti..attack attack attack..well, unafurahisha mashabiki unapokuwa na 70+ possession ila ukashindwa kufikia lengo; a draw ama win!
Kukuthibitishia kuwa tungeweza kwenda attack for attack ni game yetu ya kwanza kwani tulikuwa na kikosi chetu na hakukuwa na wazo la champions league. Ni simple logic..the best coach+team won!
Take a chill pill mate and relax!
tunasubiri sasa atlentico kesho kutwa,dah nikikumbuka majaa wanavyocheza rafu sijui itakwaje
Kibabu Schwarzer kilipoachiwa pumzi kilikaa na mpira mpaka kilipoona aibu kwa kuzomewa na kupigiwa makofi na El pistolero ndiyo kilibutua. Chelshit wasingethubutu kushambulia endapo Liver wangerudi nyuma. All the time ambapo Chelshit walipata muda wa kwenda mbele walihakikisha nyuma waacha watu wasiopungua 7!
Hakuna kocha anayemwogopa Maureen wala usijidanganye katika hilo! May be the Late Tito because unspeakable moureen pocked him in the eye baada ya mpira kumshinda
You might be right on the attacking mentality na defensive weakness ambayo liver wanayo. But 70+ ball poss siyo kwaajili ya kuwafurahisha mashabiki bali ilitokea kwasababu kocha wenu got only one tactic which is to refuse to play!
Wenger amecheza mechi nyingi akiwa na wachezaji wake wengi tegemeo wakiwa majeruhi bila kulalamika wala kucheza defensive (Cowardliness). FA wanatoa nafasi kwa kila timu kupeleka majina ya wachezaji 25 watakaocheza BPL. Iweje useme mngecheza attacking kama mngekuwa na kikosi chenu you mean waliocheza jana siyo kikosi chenu?

unatumika wakati unapocheza bedball na my wako!
The tactics led Reds' boss Brendan Rodgers to say Chelsea had "parked two buses"Hahahahaha maureen noma yaani anajaza player 8 ndani ya box hii ni balaa aisee!
Chelsea goalkeeper Petr Cech and defender John Terry both took part in training on Tuesday ahead of Wednesday's Champions League semi-final second leg against Atletico Madrid.
Cech's season was said to be over after he dislocated his shoulder in the first leg, while Terry was substituted after injuring his ankle in the same game.
Midfielder Eden Hazard (calf) and striker Samuel Eto'o (knee) were also involved in training.
BBC Sport - Chelsea: Petr Cech & John Terry return to training
Mentor, Ntuzu, agosti 8, Peasant can you tell us about the secret of Chelsea medical department?
Maana kama medical department ya Arsenal ingekuwa ina-perform hivi mbona wangekuwa washajinyakulia ubingwa?
Chelsea unayoiita defensive imefunga goli 69 msimu huu wa Epl na hiyo Arsenal unayoiita Attacking imefunga goli 65 tu msimu huu..
liverpool ndio imefunga magoli mengi zaidi msimu huu, hapa uhitaji kuwa kocha bora wa Dunia kujua cha kufanya ukikabiliana na Liverpool..
sasa kama wewe ni Wenger utaanzaisha attacking midfilders wengi na ,back four inapanda sana halafu unafungwa goli nne ndani ya dakika 20.