Asante Mkuu!
Nafikiri sasa mmeamini kile tumekua tunasema Mara zote!
Pamoja sn Mkuu
KTBFFH
JOSE THE GREATY
Huwa we unajifichaga punde hali ya hewa ikibadilikaga. Hahahaaa
hongereni kwa kuhakikisha kombe linabaki Manchester......khe khe khe khe khe khe khe khe.......dah ila chelsea wakiamua kumfunga mtu,balaa.....10men behind the ball for 90mins!!!!si mchezo....natumaini ATM watanifurahisha jumatano...
khe khe khe khe khe khe
kesho mtoto hatumwi dukani bana,
kumbe nyie mnakuja kutuonyesha mziki??
ngoja tuusubilie huo mziki kesho yawezekana mwajua sana kukata mauno.
kwahiyo mkuu Ntuzu mpira sasa NO nimwendo wa mauno tuuu??
Ntuzu, achana na huyo rrondo anaonekana ana matatizo kwenye ubongo, samahani lakini......Wenzie wote wameufyata yy ndio kaamua kubwabwaja..............J5, ataingia mitini huyo.
Wapinzani bwana huwa hawakosi neno.... Ukitembea juu ya maji, watakwambia sio vizuri kwasababu hujui kuogelea.
Walianza kwa galta, psg, liver, kote huko wamekaa, sasa wamekimbilia atletico.
Kifupi hawana jipya, watakaa pia..Chelsea ni baba lao
mmemuona Tomas Kalas jamani future ya huyu mtoto nimeipenda
natoa hongera kwako Ntuzu, gemu imekwisha sio rahisi kwa Liverpool kurejesha hasa ukitilia shaka na uchezaji wa Chelsea wa kuweka basi nyuma na Liverpool kupata magoli kipindi cha kwanza na kulinda kwenye kipindi cha pili na wakijaribu kushambulia kipindi cha pili ndio itakula kwao
Hongera kwa kuweka ubingwa kwa Man City wazi kabisa
"now we can say we won both matches against
the champions. If the champion is liverpool, we
won both matches against liverpool; if the
champion is man city, we won both matches
against man city."
Hazard wins pfa youg player of the year award 2013/2014
ktbffh
Mkuu agosti 8 Na Mentor na washabiki wote Wa Chelsea nawashukuru sn Na kuwapa hongera kwa kz nzuri ambayo timu yetu imekua inafanya!
Focus yetu kubwa ni CL huku tukiendelea kuwapa presha na kujaribu kushinda game zote za EPL.
J5 tuko home na ATM na tumepumzisha baadhi ya wachezaji ktk game ya Jana na wengine waliingia kunyoosha viungo! Na majeruhi wetu wawili watakuwepo uwanjani j5 Hazard na Eto'o. Tutamkosa Cech, Terry, Lampard Na Obi. Lkn kwa kuwakosa Hawa sio shida kwanini sisi ni timu with special spirit.