Kucheza kwa Oscar au hata Willian sioni ubaya sana..i can sit and relax yeyote akianza. Oscar ndio namba 10 currently wa Brazil, you can't expect anything than world class from him.
Jambo ambalo nahofia litatokea tu ni kumuweka D. Luiz Defence line.
mourhino only cares about result, if you are not entertained feel free to visit a cinema
defence DAVID LUIZ haimfai...
itabidi IVANOVIC acheze #4 na CAHILL acheze #5.
Cahill bonge la defender kuna mpira jana aliokoa ingawa hakuona ila hisia zake zikamtuma akakutana nao kwa kichwadefence DAVID LUIZ haimfai...
itabidi IVANOVIC acheze #4 na CAHILL acheze #5.
Cahill bonge la defender kuna mpira jana aliokoa ingawa hakuona ila hisia zake zikamtuma akakutana nao kwa kichwa
mourhino only cares about result, if you are not entertained feel free to visit a cinema
Cahill bonge la defender kuna mpira jana aliokoa ingawa hakuona ila hisia zake zikamtuma akakutana nao kwa kichwa
Inashangaza sana pale unapocheza soccer la karne ya 12 halafu unamlaumu anayecheza soccer la karne ya 17.
hahahahaha!!!!
Nimeipenda hyo mkuu..
Jamani, Barcelona, adhabu yao ya kutosajili imesimamishwa!!!!!
watasajili kama kawaida this summer..
Kama namuona vile DAVID LUIZ pale Camp Nou..
Inashangaza sana pale unapocheza soccer la karne ya 12 halafu unamlaumu anayecheza soccer la karne ya 17.