Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila vijamaa vya atm sasa vimeonyesha kua vina uwezo wa kupenya humohumo kwenye marobota ya chls
 
Diego nje, Turan ndan, ni atm wamefanya mabadiliko dk ya 60
 
Anajua ndo wawakilishi wa EPL katika UCL ko hakuna ubaya.

Hii game ikibaki hivi hivi, hata mzuka wa game ya kesho utakata kabisa!!!

Michelshit haitakiwi kabisa kunusa fainali..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…