Chelsick msilalamike sana Loser fools watafungwa kesho mtapumua kiduchu khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
heri nilale nisije nikatukana bure
Kwanini unataka na yangu? Nishacomment huko juu lakini Mkuu?
Sizinga
Angalia kuna kilio hapo wewe peleka majamvi uondoke haraka
heri nilale nisije nikatukana bure
usiku mwema ndugu hakikisha umepata kwanza glass la Maji.
Mentor ngoja nikusaidie leo...
Half-time score: Chelsea 1-1 Sunderland" height="399" width="760">
Final score: Chelsea 1-2 Sunderland " height="494" width="400">
Mkuu I salute You!!Umeongea ukweli yani ule upenzi wa Man U umeuweka kando, Wewe ni mpenzi wa soccer si Mpenzi wa Team moja tu.
mkuu mimi sio kama Ntuza na agosti 8 ambao wanajihakikishia ushindi kabla mpira haujachezwa achilia mbali kuisha!!! kwamba wao tayari mabingwa,kwamba wao tayari washawafunga Sunderland,kwamba wao tayari washawafunga Liverpoll!!! wanaongea sana hawa waungwana kama kocha wao vile.....sasa hivi wamekimbia hawaonekani hapa tunawajazia kurasa tu za thread yao.......
Leo sikubahatika kuhudhuria mechi yao kwani vipi wametoka suluhu?
Leo sikubahatika kuhudhuria mechi yao kwani vipi wametoka suluhu?