HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,723
- 7,297
Tupeni sisi huyo Estevao. Saka kaumia. Tunamtaka aje asaidiane na Dowman kama back up ya Madueke. Je, anaweza kucheza kushoto? Atatusaidia Tzolis na Eze wakihitaji kupumzika.Kocha ana nafasi ya kutengeneza mazingira ya Neto na Estevao kubadilishana kama ambavyo anaweza Kwa Henderson na Lavia kuliko kutompa nafasi kabisa halafu kumbuka Estevao ana back up ya Management kama ilivyo Kwa Acheampong hata Maresca alivyoonesha Hana nafasi kwenye team yake still uongozi uligoma hata kumtoa mkopo