Mbona kusuffer tumeanza kusuffer kabla hata ya Brighton, kocha akataka kujaribu kupata clean sheet kwa nyuki ndio kwanza kaishia kula chuma tatu.Ila tuliomba mpira uishe maana 2-0, ghafla 3-2, mwishowe 4-3.
Poor viungo wakabaji na mabeki.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kwamba unaitafuta heshima kwa matusi? Anyway ngoja nikupuuze kama uwezo wako wa kureason ndio huuSio kila unachokiona ukafikiri ndivyo kilivyo, nimekuPM na my other ID kukudhibitishia mimi sio rika lako. Chupi wewe.
Chanzo cha taarifa kiko wapi mkuu?Hatimaye Man City wahukumiwa na makosa 144, Enzo Maresca na Enzo Fernandez wanaweza wakajikuta wako Championship msimu huu au msimu ujao.
View attachment 3677875
So joined 2020 ndio birth year yake au?Joined 2020 unaita watu dogo sio?
Unajitetea sana mzee, mambo ya kusema umemchek kwa I'd nyngn n kuonyesha unamuogopa.Sio kila unachokiona ukafikiri ndivyo kilivyo, nimekuPM na my other ID kukudhibitishia mimi sio rika lako. Chupi wewe.
Not that easyHatimaye Man City wahukumiwa na makosa 144, Enzo Maresca na Enzo Fernandez wanaweza wakajikuta wako Championship msimu huu au msimu ujao.
View attachment 3677875
The Athletic na jounalist wengi tu wameripoti. Ila charges pale ni 114 sio 144Chanzo cha taarifa kiko wapi mkuu?
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Maboresho:Hatimaye Man City wahukumiwa na makosa 144, Enzo Maresca na Enzo Fernandez wanaweza wakajikuta wako Championship msimu huu au msimu ujao.
View attachment 3677875
Hii habari nilivyoisikia nilipenda kwa kweli siwapendi Enzo wale mapachaMaboresho:
Man City wapatikana na makosa 114 kama ilivyoripotiwa na @TheAthleticFC. Kama FA, EPL wakitoa hukumu inaweza ni
- Point deduction 30, 40, 50 ,au 60
- Transfer ban
- Faini ya pesa
- Kunyang'anywa makombe waliyoshinda kwenye kipindi hicho
- Kushushwa daraja au
- Kufukuzwa kabisa EPL na ligi zinazosimamiwa na FA
Tulia acha kuumia sisi ndio wenye team yetuNyie mtaishia nafasi ya 17 msimu huu ..... kiungo cha lavia, hendo na Caisedo?
Mabeki ndio kina James tirp shamba trip gereji? Kipa Letu Marktinez kila mtu akipiga tu imo !
Alonso ajitafakari sana, timu inarukaruka, sub za ovyo... kule ujerumani alijiokotea lile kombe nae akajikuta ni lijendi sio ,? Ngoja apapaswe huku EPL
Timu lako mbovuTulia acha kuumia sisi ndio wenye team yetu
Wehu hao wanazingua hata kwangu, nimehamia goal.com fasta sitaki ujinga kbs.Hv livescore hata kwenu haifunguki mpaka VPN, au n Kwangu tuu?
Babu Henderson kwenye u Bora wake watu walimponda sana wakati tunamsajiliLeo Chelsea tumeshinda 5-1. We are back on winning ways.