verifaidi yuza
JF-Expert Member
- Sep 13, 2018
- 3,236
- 6,463
Oyaa washagonga negative tayari πππππΎMagoli ya kufunga kumi. Ya kufungwa kumi na mbili.
Wehu
Hakuna raha kakaRaha ya kufungwa, mfungwe nyingi
H kweli n chelkenge
Muda utaamua kati ya sisi wapenzi wa soka tunaoona wadhamini, bodi za usajili na ufundi wa Chelsea FC ni takataka au si takataka kwenu ninyi mahaba niue wa kutetea kila kinachokosolewa hapa jukwaani.NIseme tu safari bado ni ndefu, timu zenye kuanzia point 54 zikishinda Chelsea itakuwa ya 13
Labda kuondoka kwa Tod Boehly kutarahisi maamuzi na ufanisi Chelsea
Na Arteta je?Alonso atakula Christmas π akiwa darajani ???? Huyu jamaa amna kitu, alikuwa huko farmers league....wakamuona genius kumbe hewa
Mnataka kujihalalishia kuacha kuisuport timu na kuwa waasi/wasalitieh! maana ya kuwa mshabiki kwa kingereza ni supporter. sasa shabiki asiye tayari kuisuport timu inapopitia kipindi kigumu huyo sio supporter wa kweli.Muda utaamua kati ya sisi wapenzi wa soka tunaoona wadhamini, bodi za usajili na ufundi wa Chelsea FC ni takataka au si takataka kwenu ninyi mahaba niue wa kutetea kila kinachokosolewa hapa jukwaani.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Na Arteta je?
Mpira haupo hivyo dogo, hao Brighton waliowafunga Arsenal 3, sisi tuliwafunga 4.Hiki kikundi siku kikicheza na Sunderland ni goli kuanzia 4 na kuendelea
Joined 2020 unaita watu dogo sio?Mpira haupo hivyo dogo, hao Brighton waliowafunga Arsenal 3, sisi tuliwafunga 4.
Hapo umeanza kuchanganya mambo sasa. Arsenal kufungwa 3β0 na Brighton, halafu Chelsea kuwafunga Brighton 4, umeamua hiyo ndiyo formula ya kuipima City?Mpira haupo hivyo dogo, hao Brighton waliowafunga Arsenal 3, sisi tuliwafunga 4.
Sio kila unachokiona ukafikiri ndivyo kilivyo, nimekuPM na my other ID kukudhibitishia mimi sio rika lako. Chupi wewe.Joined 2020 unaita watu dogo sio?
Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo.Hapo umeanza kuchanganya mambo sasa. Arsenal kufungwa 3β0 na Brighton, halafu Chelsea kuwafunga Brighton 4, umeamua hiyo ndiyo formula ya kuipima City?
Sunderland leo wamepata mabao 3 dhidi City, na wameisumbua hadi mwisho, kwahiyo jamaa amepima uwezo wa Sanderland kwa City. Ndio akasema wakikutana na Chelsea sijui itakuwaje....
Ila elewa pia, Chelsea tayari ameshapigwa na Sunderland mara mbili msimu uliopita.( Home and Away)
Subiri Novemba, Sunderland wanakuja kuwajibu wenyewe.Haujanielewa, mi nimemkatalia huyo dogo kuwa mpira haupimwi kwa hivyo, ndio mana nikamtolea mfano wa Brighton. Kuwa ingekua ni hivyo kwa kua Brighton kamfunga Arsenal 3 na Arsenal kamfunga Chelsea na ingekua chelsea haijacheza na Brighton basii mngeanza kusema itafungwa 10. Mpira haupimwi hivyo.
Kwa hiyo kwa kuwa Sunderland alimfunga Chelsea msimu ulioisha basi ndio tiketi atashinda na msimu huu?
Ila tuliomba mpira uishe maana 2-0, ghafla 3-2, mwishowe 4-3.Mpira haupo hivyo dogo, hao Brighton waliowafunga Arsenal 3, sisi tuliwafunga 4.