Acheni kuanza kutafuta visingiziojoao pedro kachukua jezi namba 9 jezi yenye gundu
Shida ya mastriker wengi kufeli Chelsea haikuwa ni jezi tulikosa wapishi wazuri na ndio maana Mourinho alivyokuja Chelsea mara ya pili alimsajili Diego Costa nakuishia hapo akamleta Fabregas kwa ubora wa Diego Costa na Assist za Fabregas hata angevaa jezi no 9 still angetisha ndicho nakiona kwa JOAO PEDRO.joao pedro kachukua jezi namba 9 jezi yenye gundu
Wewe Sasa una kikosi gani chakututambiaKenge mmesajili karibia vikosi viwili, ngoja ligi ianze tuje kuwapima tujue kama yaliyomo yamo au mmesajili watumishi hewa
GW3 tutajua kakaWewe Sasa una kikosi gani chakututambia
Kusajili ni jambo moja kushinda ni jambo lingine hamjajifunza kwa GyrokerezGW3 tutajua kaka
Yule dogo forward jina lake gumu mbn hayupo hapaChelsea 2026/27 Squad (Numbers in Brackets Only)
- Robert Sanchez (1)
- Marco Palestra (2)
- Wesley Fofana (3)
- Valentin Barco (4)
- Maxence Lacroix (5)
- Levi Colwill (6)
- Pedro Neto (7)
- Enzo Fernandez (8)
- Joao Pedro (9)
- Cole Palmer (10)
- Jamie Gittens (11)
- Liam Delap (12)
- Jordan Henderson (14)
- Nicolas Jackson (15)
- Dario Essugo (16)
- Morgan Rogers (17)
- Danny Welbeck (18)
- Mamadou Sarr (19)
- Jorrel Hato (21)
- Emmanuel Emegha (22)
- Geovany Quenda (23)
- Reece James (24)
- Moises Caicedo (25)
- Malo Gusto (27)
- Teddy Sharman-Lowe (28)
- Pep Chavarria (29)
- Aaron Anselmino (30)
- Reggie Watson (31)
- Mahdi Nicoll-Jazuli (32)
- Mykhailo Mudryk (33)
- Josh Acheampong (34)
- Tayo Subuloye (37)
- Tosin Adarabioyo (38)
- Mike Penders (39)
- Estevao Willian (41)
- Gaga Slonina (44)
- Romeo Lavia (45)
Haha eti asijifanye anko wa Cole palmerDisasi to Palace
BAdiashile to Napoli
Huu ni ukombozi wa hali ya juu kwa Chelsea msimu huu.
Asnate sana Xabi Alosno
Ila bado Tosin muhakikishe naye kaondoka, asijifanye ni mjomba wa Cole Palmer halafu aje kutuharibia timu.
View attachment 3653481
Unaemzungumzia Dastan Satpaev?? Kama ni huyo katolewa kwa mkopo kwenda BurnleyYule dogo forward jina lake gumu mbn hayupo hapa
Yeah ni huyo huyo,Unaemzungumzia Dastan Satpaev?? Kama ni huyo katolewa kwa mkopo kwenda Burnley
swala ni kwamba hajavaa na washambuliaji wote walioperform vizuri chelsea hawakuvaa iyo namba na waliovaa wote wali flop.Shida ya mastriker wengi kufeli Chelsea haikuwa ni jezi tulikosa wapishi wazuri na ndio maana Mourinho alivyokuja Chelsea mara ya pili alimsajili Diego Costa nakuishia hapo akamleta Fabregas kwa ubora wa Diego Costa na Assist za Fabregas hata angevaa jezi no 9 still angetisha ndicho nakiona kwa JOAO PEDRO.
Mbona hoja yangu ipo clear kaangalie hao wote waliovaa jezi no 9 walioperform chini ya kiwango walizingukwa na nani ndio utaona hoja yanguswala ni kwamba hajavaa na washambuliaji wote walioperform vizuri chelsea hawakuvaa iyo namba na waliovaa wote wali flop.
Taka taka Sana yule boyaTosin yule tapeli hata bure hakuna timu inamtaka, mpaka 2028 mkataba utakapoisha jamaa atakuwa na maisha mazuri sana ya ustaafu.
Kuna tapeli mmoja naona leo ameenda Napoli, h Tapeli Tosin akiondoka ntafurah sana aiseeTaka taka Sana yule boya
Marseille, Benfica, Sevilla, na Aston Villa wanamtaka Tosin Adarabioyo.Kuna tapeli mmoja naona leo ameenda Napoli, h Tapeli Tosin akiondoka ntafurah sana aisee
Nawaweka hapa 👇Mbona hoja yangu ipo clear kaangalie hao wote waliovaa jezi no 9 walioperform chini ya kiwango walizingukwa na nani ndio utaona hoja yangu
Aende tuu kudadeki zakeMarseille, Benfica, Sevilla, na Aston Villa wanamtaka Tosin Adarabioyo.