Binafsi nisingependa huyu dogo wamtoe kwa mkopo ukiangalia kwenye defense yetu hasa Reece James na Fofana ni injury prone na lazima ujue si mechi zote Mexence Lacroix atacheza lazima Kuna mechi atapumzishwa kama mechi za Carabao au FA bado naona nafasi kubwa ya DogoLampard anamtaka Josh na Chelsea wako tayari kumtoa kwa mkopo.
Naunga mkono wazo
View attachment 3650220
Josh bado anzo silly errors. Anacheza vizurii sana ila maamuzi kidogo goli. ili tumfaidi aende kwenye timu ambazo hatacheza kwa presha kubwa ili azoee na kupunguza hizo errorsBinafsi nisingependa huyu dogo wamtoe kwa mkopo ukiangalia kwenye defense yetu hasa Reece James na Fofana ni injury prone na lazima ujue si mechi zote Mexence Lacroix atacheza lazima Kuna mechi atapumzishwa kama mechi za Carabao au FA bado naona nafasi kubwa ya Dogo
Mkuuuu hyo Sarr mbona kma DisasiJosh bado anzo silly errors. Anacheza vizurii sana ila maamuzi kidogo goli. ili tumfaidi aende kwenye timu ambazo hatacheza kwa presha kubwa ili azoee na kupunguza hizo errors
Mabeki tunao Fafana na Maxence
Levi Colwill na aidha Hato au Mamadou Sarr au Aaron Anselmino
Chelsea pia ilikuwa na mpango wa kumuongeza beki mzoefu kama outgoings zikiwa nyingi
Josh anacheza RCB na Center side defender kwahiyo namba yake ipo kwenye nafasi ya Maxence Lacroix,Reece James na Fofana ndio maana nikakuambia Fofana na Reece James pancha sana sio wakuwategemea ndio maana nikasema bado tunamuhitaji dogo kuliko kupoteza hela wakati tunabidi tupunguze gape ya Financial fair play. Huyo Hato, Colwin hawachezi kwenye hizo nafasi maana wao ni LCB kwahiyo huko Josh hapamuhusu.Josh bado anzo silly errors. Anacheza vizurii sana ila maamuzi kidogo goli. ili tumfaidi aende kwenye timu ambazo hatacheza kwa presha kubwa ili azoee na kupunguza hizo errors
Mabeki tunao Fafana na Maxence
Levi Colwill na aidha Hato au Mamadou Sarr au Aaron Anselmino
Chelsea pia ilikuwa na mpango wa kumuongeza beki mzoefu kama outgoings zikiwa nyingi
Disasi (28) kashazeeka hakui tena. Kumfananisha Mamadou Sarr kijana mdogo wa miaka 20 ambaye hata kandanda bado hajaanza kucheza, kweli unajua mpira wewe?Mkuuuu hyo Sarr mbona kma Disasi
uko sawa mkuu pedro anajitos sana sijui why watu wanataka auzwe sasa aje nani?Mashabiki wengi wa Chelsea na football kwa ujumla Wana mu underrate sana Pedro Neto tuna wasifia wachezaji wengine kama Palmer, Caicedo n.k tunamuacha huyu jamaa lakini asikuambie mtu moja kati ya wachezaji muhimu ni huyu jamaa ndio maana makocha wengi huwa wanampenda baada ya ujio wa Estevao wengi waliona atapigwa benchi dhidi ya huyu lakini haikuwa hivyo.
Pedro Neto anapendwa na makocha wengi kwasababu Pedro Neto ana workrate kubwa uwanjani kuliko mawinga wengi mafundi, ana kasi alafu ni mzuri sana kwenye kufanya majukumu ya ukabaji. Kwa aina ya mfumo wa Alonso wa mabeki watatu nawaambia ukweli Pedro Neto atakuwa first choice ya Winger ,wa pili atakuwa Quenda na mwisho ni Estevao yeye ndio anakizi nafasi ya Wing back na Quenda kwa Estevao hafit ila kama mfumo utakuwa wa mabeki wanne.
Sarr ni kijana sio Mzee nilimuona kwenye michuano ya Afcon iliyoisha aliperform vizuri sana anachohitajika ni kupewa tu nafasi sema akipewaga nafasi huwa anapangwa na Tosin ana bahati mbaya sana huyu dogoDisasi (28) kashazeeka hakui tena. Kumfananisha Mamadou Sarr kijana mdogo wa miaka 20 ambaye hata kandanda bado hajaanza kucheza, kweli unajua mpira wewe?
Mchukueni Otamendi kabla dirisha la usajiri halijafungwaChelsea pia ilikuwa na mpango wa kumuongeza beki mzoefu kama outgoings zikiwa nyingi
Pedro ni mzuri ila anamawenge sana, ametuzamisha sana nusu ya pili ya msimu uliopita yeye na Malo Gusto. Hata wakiuzwa mimi nitafurahi sana.uko sawa mkuu pedro anajitos sana sijui why watu wanataka auzwe sasa aje nani?
Mbona hiyo hela ni ndogo ??Pedro ni mzuri ila anamawenge sana, ametuzamisha sana nusu ya pili ya msimu uliopita yeye na Malo Gusto. Hata wakiuzwa mimi nitafurahi sana.
Good news
Pedro Neto na Al Hilal wameshakubaliana personal terms.
Chelsea wanataka angalau Euro milioni 60.
View attachment 3650598
Acha masiala wewe Otamendi anaenda kuongezea niniMchukueni Otamendi kabla dirisha la usajiri halijafungwa
Subiri wewe mtoto mdogo uone Kandanda safi unakaribishwa uwashuhidie mabingwa wa DuniaLeo mnakandwa na timu ndogo kutoka laliga kwa kisingizio cha mechi ya kirafiki ZE BLUZ uran
Top 4 haina ratiba na ninyi msimu huu mtaungana na liverkukuSubiri wewe mtoto mdogo uone Kandanda safi unakaribishwa uwashuhidie mabingwa wa Dunia
Huu msimu tunagombania ubingwa let seeTop 4 haina ratiba na ninyi msimu huu mtaungana na liverkuku