kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,179
- 21,830
Mbona Thiago Silva kajiunga na Chelsea akiwa na 35 na kaondoka akiwa na 39 tena akiwa na ubora
Ninyi kinachowauma ni nini hasa, tunamtete sana kwa sababu ninyi hamjui hata ni kwa sababu ganiu kasajiliwa. Wabishi tuUkiona nguvu kubwa inatumika sana kumtetea kibabu Hendo kweli kuna shida hapo .....
Brentford 🐝 wamekubali kuvunja mkataba nae awe free ili aje kwenu ! Wanajua amna kitu hapo .....
Maji ya jioni, wacha aje astaafe hapo darajani !
Nakumbuka enzi za Roman, na Marina mchezaji akifikisha 30yrs hapewi tena mkataba mrefu ! Refer kina Terry, Didier, Essien , super Frankie n.k
#Leo hii welbz na Hendo over 35 wanalamba mkataba ?
Mnachekesha kama sio kuhuzunisha
Ninyi kinachowauma ni nini hasa, tunamtete sana kwa sababu ninyi hamjui hata ni kwa sababu ganiu kasajiliwa. Wabishi tu
Tumeamua kubadilisha kwasababu tumeona vijana pekee hawatulipi ndio maana tumeleta wachezaji wakomavu mfano Tulivyomsajili Thiago Silva akiwa na 36 kila kitu kilibadilika akatupa Mataji matatu na alivyoondoka tu akiwa na 39 pengo lake likaanza kuonekana kwa hiyo haimanishi ukiwa na umri mkubwa huwezi kudeliver. Ukiangalia kwenye kikosi chetu cha Sasa kina mchanganyiko wa aina zote wapo vijana wa 22-24, 25-30 na 30+ so hapo high intensity utapata, ukomavu wa maamuzi utapataNaelewa, ndo nimesema mambo yamebadilika.... enzi za Roman mchezaji akiingia 3rd floor , mkataba hapewi tena mrefu .... anyway mko na wamarekani, tuone pengine wana maono tofauti na sera ya club
Hivi deal la Pep Chavarria imeishiaje?
Ngoja tumcheki kwenye mechi ya kesho tujue Yuko fit kiasi ganiKatika taarifa zimenifurahisha ni kuona Misha amejiunga mazoezini na timu yetu. Baada ya muda mrefu wa misukosuko sasa tutegemee kumuona uwanjani anakiwasha kama kawaida.
Nimefarajika sana
Hawezi kuwa fit sana. Apate mechi nyingi hata mpaka mwezi wa 12Ngoja tumcheki kwenye mechi ya kesho tujue Yuko fit kiasi gani
App gani unatumia kuchekia mpiaraNgoja tumcheki kwenye mechi ya kesho tujue Yuko fit kiasi gani
Of course kesho anaweza asiwe fit kiasi hicho lakini Kuna vitu tunavitazama kwa mchezaji ndicho ambacho nimelengaHawezi kuwa fit sana. Apate mechi nyingi hata mpaka mwezi wa 12
Dili tayari, Chelsea na Rayovolacano wameshakubaliana dili la Euro milioni 25 na addons za mil 5Hivi deal la Pep Chavarria imeishiaje?
Hapo sawa nafikiri tutasikia here we go baada ya matokeo dhidi ya AC Milan ndio umekuwa kama kautaratibu Fulani wa ChelseaDili tayari, Chelsea na Rayovolacano wameshakubaliana dili la Euro milioni 25 na addons za mil 5
Muda wowote wiki hii mtasikia HERE WE GO jamaa yuko Londona anapima mkojo, choo na damu
Live football TV streaming HD, Kuna websites pia unaweza kuwatch kama Fewanews, Cricfy TVApp gani unatumia kuchekia mpiara
Fabrizio Romano leo anasema ni Euro mil 19 japo taarifa za mwanzoni pia zilitoka kwa reliable journalistsHapo sawa nafikiri tutasikia here we go baada ya matokeo dhidi ya AC Milan ndio umekuwa kama kautaratibu Fulani wa Chelsea
Mkuuu kama utakuwa na Link itapendeza maaana hzi zote zinazinguaLive football TV streaming HD, Kuna websites pia unaweza kuwatch kama Fewanews, Cricfy TV
Link Sina kijana wapi panashidaMkuuu kama utakuwa na Link itapendeza maaana hzi zote zinazingua
Link ya browser, hii nimeitumia muda mrefu hawaifungii. App n yingi na website nyingi huwa zinafuatiliwa na kushushwa chini kwa sababu zinakiuka protocols za leseni ya kurusha hizo burudani. Hii lin k inaonyesha karibia kila mechi ila ni muda mfupi kabla ya mechi kuanza. Kwa hiyo ukifungua sasa hivi utakuta kimya as if hakuna hata kitu kinachoendelea:Mkuuu kama utakuwa na Link itapendeza maaana hzi zote zinazingua