Naona nao Man City wametoa tamko la kuomba radhi. Nadhani hii ni mpango mojawapo ya Chelsea pamoja na faini kuwataka watamke public makosa yao ili Mashabiki waache kuilaumu management kwamba ilimfukuza Enzo marsecaBREAKING: Maelezo ya Enzo Maresca kuhusu kuachia ngazi Chelsea:
“Uamuzi ulikuwa wangu mwenyewe. Kujiuzulu kwangu Chelsea kuliufungua mlango wa kujiunga na Manchester City, club ambayo tayari niliifahamu vizuri. Nimefurahi sana kujiunga na Manchester City.
Ninatambua kwamba kuondoka kwangu Chelsea katikati ya msimu kulileta changamoto kwenye uendeshaji wa club na naomba radhi kwa hilo. Haikuwa nia yangu wala matakwa yangu.
Nilitendewa mazuri na kila mtu ndani ya Chelsea, na pamoja tulipata mafanikio na kumbukumbu ambazo nitaziheshimu daima.
Ninashukuru club, owners na mashabiki kwa kunipa nafasi hiyo.”
-Enzo Maresca
View attachment 3618394
Ila kumbuka kwa wakati ule management ilishambuliwa na kila mtu na morali ya team ilishuka na tangu hapo anguko la team ikawa kubwa in short Maresca ameleta madhara makubwa we imagine unaingia mkataba wa Siri na team nyingine huku unafundisha team nyingine tena ni kubwa shindani hiyo inatoa tafsiri gani?Haya mambo bhana 😂
Maressa alivoondoka Kuna kocha Kwenye ligi ya Brazil huko, Chelsea walienda kumu-approach Jamaa akakubali Ila badae akaja kujua kwamba kazi n ya kufundisha Strasbourg Na Sio Chelsea 😂
So jamaa akakataa kazi, na timu yake ilipojua hilo, wakamfukuza kazi
Hii ishu imewatokea Chelsea, afu Wanaanza kulialia 😂
Yah Maressa alizngua parefuIla kumbuka kwa wakati ule management ilishambuliwa na kila mtu na morali wa team ilishuka na tangu hapo anguko la team ikawa kubwa in short Maresca ameleta madhara makubwa we imagine unaingia mkataba wa Siri na team nyingine huku unafundisha team nyingine tena ni kubwa hiyo inatoa tafsiri gani?
Yaani hata mim i sasa namuona Maresca kama ni Coward mkubwa kwenye midani ya kocha kuwahi kutokea duniani. Hata hiyo mil 20 haiwezi kufidia madhara aliyotuachia. Kaivuruga dressing room na kutugawa masdhabiki wengine tumekazana kulaumu wamiliki na SDs kumbe mchawi mkubwa ni Maresca. Amefanya hata mafanikio aliyoyapata msimu wake wa kwanza uonekane sifuri. Atazomewa sana kila akija Darajani. PUMBAFU SANA HUYO.Ila kumbuka kwa wakati ule management ilishambuliwa na kila mtu na morali wa team ilishuka na tangu hapo anguko la team ikawa kubwa in short Maresca ameleta madhara makubwa we imagine unaingia mkataba wa Siri na team nyingine huku unafundisha team nyingine tena ni kubwa hiyo inatoa tafsiri gani?
Kiwigi hahahaha
Tafsiri yake ni kwamba Enzo Maresca ni muhujumu team sijawahi kuona ujinga wa namna unafanywa na mzungu kwa kweli yaani alikuwa anafundisha lakini akili yake haipo Chelsea Tena ni team shindani na Man City si Bora ingekuwa huu ujinga kafanya kwa team zinazocheza ligi tofauti ingepunguza machunguYaani hata mim i sasa namuona Maresca kama ni Coward mkubwa kwenye midani ya kocha kuwahi kutokea duniani. Hata hiyo mil 20 haiwezi kufidia madhara aliyotuachia. Kaivuruga dressing room na kutugawa masdhabiki wengine tumekazana kulaumu wamiliki na SDs kumbe mchawi mkubwa ni Maresca. Amefanya hata mafanikio aliyoyapata msimu wake wa kwanza uonekane sifuri. Atazomewa sana kila akija Darajani. PUMBAFU SANA HUYO.
Namuombea hata asifanikiwe City afukuzwe mwaka wake wa kwanza haujaisha
Unakumbuka Lopegui akiwa Kocha wa Spain huku anaingia mkataba wa Siri na Real Madrid wakati huohuo team ipo kwenye Mashindano ya kumbe la Dunia Russia.Tafsiri yake ni kwamba Enzo Maresca ni muhujumu team sijawahi kuona ujinga wa namna unafanywa na mzungu kwa kweli yaani alikuwa anafundisha lakini akili yake haipo Chelsea Tena ni team shindani na Man City si Bora ingekuwa huu ujinga kafanya kwa team zinazocheza ligi tofauti ingepunguza machungu
Viongozi wetu huwa Wanashida sana wanashindwa kutoa pound 20m alafu wanakuja kusajili kinda zaidi ya hiyo hela
Mwaka huu kinda wamesajiliwa kwa ajili ya academy. Huko nyuma walisajili hovyo na wamejifunza kwa maoni yanguViongozi wetu huwa Wanashida sana wanashindwa kutoa pound 20m alafu wanakuja kusajili kinda zaidi ya hiyo hela
Huu usajili bado upo moto, nasikia Chelsea wamekataa kusalimu amri.
Kwanza tupo slow sana kwenye Usajili kwa kweli Imani yangu ni ndogo sioni Kuna makubwa tutafanyaMwaka huu kinda wamesajiliwa kwa ajili ya academy. Huko nyuma walisajili hovyo na wamejifunza kwa maoni yangu
Sina uhakika hili dili litatokea ni Kama kwa yule kipa wa ACMilan na team ya Taifa ya Ufaransa huu uongozi hawapendi wachezaji wenye umri mkubwaHuu usajili bado upo moto, nasikia Chelsea wamekataa kusalimu amri.
Pia nasikia Sunderland walidanganya kuwa Xhaka ameamua kubakia Sunderland na amewataarifu Chelsea. Sio kweli. Chelsea wametuma offer ya karibu na pauni mil 15 na Sun derland wamekataa na bado msimamo wao ni kwamba Xhaka hauzwi huku wakisema hatoki bila pauni mil 25. Game on!