Hayo maoni yako na mimi maon i yangu. Kati yangu na wewe hakuna mwenye udhibitisho kwamba sio mbadala. Fujo anazotoa Enzo za kutaka kutoka lazima kuwepo plan B ambayo ndio hiyo ya Barco kwa maoni yanguTunashindwa kukubaliana kwenye hili tu huyo dogo uongozi wamemchukua kama potential sio kuwa mbadala wa Enzo Nini hapo usichokielewa?
Si mmechukua lakini UEFA conference km Crystal palace na Club world cup?? Au Mrusi Abramovich arudiUpo sahihi THE BLUES kwa miaka 4 ni failed project.
Roman Abramovich unadhani aliuza bas? Sanctions mzee km unavyoona Kwa Iran,Russia,North korea na CubaTHE BLUES ilishaexpire since ilivyouzwa na Roman.
Kwa ufupi, Havertz anaonyesha kuwa ingawa tayari ameshinda Ligi ya Mabingwa akiwa na Chelsea, kufanya hivyo tena akiwa mchezaji wa Arsenal kungekuwa na thamani ya kipekee kwake binafsi — ni kama kutimiza ndoto mpya akiwa sehemu ya mradi wa Arsenal.“Kushinda Ligi ya Mabingwa ni hisia nzuri, lakini itakuwa bora zaidi kama nitaweza kuishinda nikiwa na Arsenal. Itanipa maana kubwa zaidi.”
TUMEFILISIKAMali bila daftari hupotea bila habari
Kuhama kwenda wapi?Du!! Hapa mtaani kwetu ni kama watu wote tumehama.
Shida ni habari ya mjini ni ubingwa wa Arsenal lakini mna chuki na sisi so hamtaki kutujadili.Du!! Hapa mtaani kwetu ni kama watu wote tumehama.
Yaani ukimya umenifanya niwaze hivyoKuhama kwenda wapi?
Ubingwa wa England sio issue kwetu tulikuwa tunawaonea huruma mnavyotaabika na Champions league angalau mlishike kwa mara ya kwanza ila nayo imebuma.Shida ni habari ya mjini ni ubingwa wa Arsenal lakini mna chuki na sisi so hamtaki kutujadili.
Habari ingine ya mjini ni kwamba hali yenu ya kiuchumi ni mbaya kinoma. Hilo pia hamuwezi kulijadili.
Sasa hakuna kingine cha kuongea humu.
Ok, tupo bro tunafatilia kombe la dunia kuanzia leo tupate kuona wachezaji bora wa kuwasajili watue darajani si unajua sisi ni sajili sajili kakaYaani ukimya umenifanya niwaze hivyo
Mna Hela sasa ya kusajili Chelsea, msijevunja Tena financial fair play mkafungiwa Tena kusajili.…Ok, tupo bro tunafatilia kombe la dunia kuanzia leo tupate kuona wachezaji bora wa kuwasajili watue darajani si unajua sisi ni sajili sajili kaka
Kweli sisi ni waibua vipaji. Kwa sasa namna ya kuwatumia ndio mzikiOk, tupo bro tunafatilia kombe la dunia kuanzia leo tupate kuona wachezaji bora wa kuwasajili watue darajani si unajua sisi ni sajili sajili kaka
Hapo kwenye kuvunja financial fair play lazima uwe na pesa ya kusajili,.Mna Hela sasa ya kusajili Chelsea, msijevunja Tena financial fair play mkafungiwa Tena kusajili.…
Au mshachukua Mbinu wanazofanya Real,PSG na Mancity wasishtukiwe