Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naunga mkono 95%
 
Europa imeenda UK

Conference imeenda UK

UEFA 👀

Super cup 👀

UEFA ikienda UK, watakuwa wametisha sana.

Hii ndio maana ya ligi kubwa, bora na yenye mvuto duniani mana watakuwa na vikombe vyote vinne vya Ulaya 🔥
 
Mbona huyu alisajiliwa msimu uliopita dirisha dogo anakuaje ni mbadala wa Enzo?
Hajawahi kusajiliwa na hadi sasa hajasajiliwa.
Ilikuwa hivi, mwaka janaChelsea walikubaliana verbal agreement
Mwezi huu, Chelsea ikaingia naye pore agreement na Valentine Barco akakubali
Hakuna mchezaji aliye Strasbourg ambaye Chelsea imemsajili kwa sasa. Hata Emanuel Emegha Chelsea imeingia naye pre agrement tu
 
Correction
Your own writings explain this stats:
6 players success
4 players okay
4 players potential
And would say that success is in 14 and not 5
 
Correction
Your own writings explain this stats:
6 players success
4 players okay
4 players potential
And would say that success is in 14 and not 5
C&P means copy and paste.

Siyo mimi niliyeandika.
 
Sasa asipouzwa si atacheza chini ya kiwango
Akicheza chini ya kiwango anakaa benchi ingawa binafsi napenda asepe Kuna wachezaji wazuri zaidi ya Enzo wapo sokoni na wapo complete package Enzo ni mzuri kwenye kuona space nakudhambulia ila sio mzuri kwenye ukabaji na ndio maana akicheza chini na Caicedo, Caicedo anakuwa na kazi kubwa
 
Yah walimuona lakini hawakumfanya kama ni mbadala wa Enzo, Enzo kaanza kuzingua kuforce kuondoka ni huu msimu so kauli yako yakusema wamemfanya ni mbadala wa Enzo sio kweli hata Chelsea wakimuuza Enzo lazima waingie sokoni kumsaka mbadala wa Enzo
 
Maoni yangu na inaweza kuwa kweli kwa sababu, Chelsea haikusema lolote mwaka jana baada ya kukubaliana terms bali mwezi huu ndio wamesaini pre agrement naye ili dirisha likifunguliwa tu asainiwe
 
Crystal Palace iliyo number 15 naye anakwenda Europa League
Timu tisa msimu ujao watawakilisha EPL kwenye michuano ya Ulaya. Yaani timu tisa zitakuwa zikicheza mara mbili kwa wiki huku Chelsea ya Xabi Alonso ikicheza mara moja kwa wiki na mechi nyingi zitafanyika jumatatu. What a coincidence.
 
Sasa asipouzwa si atacheza chini ya kiwango
Enzo Fernandez ameruhusiwa kuzwa na bei ya 120m imetajwa. Kama Enzo akishindwa kuuzwa kwa sababu wanaomtaka wameshindwa kulipa bei hata ya 70m na adons zifike 80m basi Enzo hataishi darajani kwa kinyongo. Nimesema haya kwa sababu kama Real Madrid wakija na kunegotiate anaweza kupewa hata kwa bei hiyo ya mil 80 au waje na pesa na mchgezaji tunayemtaka kama kubadilishana na awe mchezaji anayekubali kuja Chelsea
 
Maoni yangu na inaweza kuwa kweli kwa sababu, Chelsea haikusema lolote mwaka jana baada ya kukubaliana terms bali mwezi huu ndio wamesaini pre agrement naye ili dirisha likifunguliwa tu asainiwe
Tunashindwa kukubaliana kwenye hili tu huyo dogo uongozi wamemchukua kama potential sio kuwa mbadala wa Enzo Nini hapo usichokielewa?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…