Mikel Obi alikua best player kwenye tournament ambayo Messi alikuepo piaEnzo Fernandez na Cucurella sio average players wale ni winner Enzo ana kombe la Dunia na kwenye hiyo michuano yeye alikuwa ndio best young player na ukija kwenye huu msimu japo kwetu ni mbovu lakini hauna kiungo mwenye namba ambaye amemfikia Enzo Fernandez na ukija kwa Cucurella ana kombe la mataifa ya Ulaya na yeye ndio aliyekuwa best left defender kwenye hiyo michuano na ni mmoja wa key figure kwenye team yetu.Hiyo migogoro iliyokitokeza ni kwasababu wanataka ni kwa nia nzuri ya kulazimisha Mambo ili team iwin Mataji na kwa kiasi chake imesaidia club kubadilisha baadhi ya Mambo ili kwenda sawa na mahitaji ya mashabiki na key figures players wa team
Nitajie midfield gani wako anamfikia kwa namba Enzo Fernandez?Mikel Obi alikua best player kwenye tournament ambayo Messi alikuepo pia
Tournaments za mechi hazizidi 15 mpaka unachukua ubingwa siyo kipimo cha kukiwasilisha ili kiwe hoja kuu. Mfuatilie James Rodriguez career yake ili unielewe zaidi hapa.
Online haswa X na kidogo humu kuna ids za mashabiki wa Chelsea walimfananisha Enzo na Rice. Wote tunajua kwanini huu ufananishaji umekwama kwa sasa.
Enzo na Cucurella ni wabovu? No.
Ni world class? No.
Elite? Yes
Namba za nini?Nitajie midfield gani wako anamfikia kwa namba Enzo Fernandez?
Namab za makombeNamba za nini?
Ni wapi huko ubora wa DM, CM au AM unaamuliwa na magoli? Kwanini CF au ST asidaiwe magoli aje kudaiwa CM, DM au AM?Namab za makombe
Namba za magoli
Kwahiyo wewe ndio unajua sana mpira kuliko wale waliompa young player of the tournament na suala la namba nimekuuliza kwenye viungo wako wa Arsenal yupi kamzidi kwa namba Enzo Fernandez msimu huu? Ili nithibitishe huo ukawaida alionao Enzo unaosemeaKombe la dunia ambalo mnataja kama vile Enzo alikua ana performance ya moto kabisa maishani mwake haikua na hizo namba mnazotaka kutuaminisha hapa.
Tournament nzima Enzo alikua ana assist moja, goli moja na big chance moja.
Accurate long balls katika 10 bora kwa Midfielders wa kwanza alikua ni Pierre wa 10 alikua Xhaka. Enzo unamkuta mtu wa 30.
Midfielders waliodribble kwenye ile tournament wa kwanza Kanno, Partey wa 7. Enzo wa 26.
Enzo anakuja kua mzuri kwenye tackles. Akiwa anashika nafasi ya tatu.
Argentina inafungwa na Saudi Arabia Enzo yupo benchi.
Argentina inaifunga Mexico Enzo anaingia kutokea bench dakika ya 57, anascore goli lake pekee la tournament. Next match ndiyo anatoa assist yake pekee ya tournament.
Kisha dhidi ya Australia ana perform hovyo.
But he is not getting dropped mpaka final.
Hakuna hizo namba mnazotaka kutishia watu.
Wako Attacking Midfielders (AM) na majukumu yao yako wazi. Attacking midfielder anatakiwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mashambulizi — ikijumuisha build‑up, kutengeneza nafasi, kutoa assists, na kufunga magoli. Kwa kiwango kidogo, wanatakiwa pia kusaidia kwenye kukaba.Ni wapi huko ubora wa DM, CM au AM unaamuliwa na magoli? Kwanini CF au ST asidaiwe magoli aje kudaiwa CM, DM au AM?
Huu ni uelewa wa wapi wa mpira?
Nimekuuliza namba za nini haujajibu. Among his peers labda alikua beast but overall other Midfielders alikua na namba za kawaida.Kwahiyo wewe ndio unajua sana mpira kuliko wale waliompa young player of the tournament na suala la namba nimekuuliza kwenye viungo wako wa Arsenal yupi kamzidi kwa namba Enzo Fernandez msimu huu? Ili nithibitishe huo ukawaida alionao Enzo unaosemea
Sasa huoni wewe kuja kusema CM, DM au AM tumdai magoli ni hoja isiyowezekana?Wako Attacking Midfielders (AM) na majukumu yao yako wazi. Attacking midfielder anatakiwa kuchangia kwa kiwango kikubwa kwenye mashambulizi — ikijumuisha build‑up, kutengeneza nafasi, kutoa assists, na kufunga magoli. Kwa kiwango kidogo, wanatakiwa pia kusaidia kwenye kukaba.
Kwa upande mwingine, Central Midfielders (CM) wao ni balanced.
Majukumu yao ni pamoja na:
- Kusaidia kushambulia: kujenga mashambulizi, kutoa assists, na kufunga inapohitajika
- Kuchezesha wachezaji wenzao, kudhibiti mchezo na kukaba na kusaidia kukaba kimkakati
Contribution ya magoal na assist kwa pamojaNimekuuliza namba za nini haujajibu. Among his peers labda alikua beast but overall other Midfielders alikua na namba za kawaida.
Sasa sema namba gani
Ujue nacheka kwa sababu imebidi useme magoli na assists ili namba zake ziwe nyingi 😂😂😂Contribution ya magoal na assist kwa pamoja
Enzo ni midfield ambaye anashuka chini ni Kama vile unavyomuona LampardAttacking Midfielder aliyenunuliwa kwa 100M ana magoli 9 na assists 3 katika mechi 36.
Msimu uliopita alifunga magoli 6 na assists 7. Huo msimu uliopita Odegaard alikua na assists 8 na Rice alikua nazo 7. Merino alikua na magoli 7.
Hizi siyo healthy stats za kukaa na kutishia watu. I will never understand.
Mzee official sites zinamlist kama AM kwa msimu huu kwakua Enzo ndipo alipomuweka.Enzo ni midfield ambaye anashuka chini ni Kama vile unavyomuona Lampard
Sio mechi zote kacheza hivyoMzee official sites zinamlist kama AM kwa msimu huu kwakua Enzo ndipo alipomuweka.
Msimu uliopita alikua hivyo unavyosema.
France walishinda World Cup wakiwa na weusi wangapiKocha tumepata, labda azingue kwenye usaljili, ila huyu nina imani nae anatufikisha mahali
Aondoe Sanchez goilini
atoe weusi 3/4 abakize alete weupe, huwezi shinda makombe una wachezaji weusi asilimia 80
Huwezi kushinda ligi namba mchanganyiko wa weusi wengiFrance walishinda World Cup wakiwa na weusi wangapi