Pressure ya Chelsea ni kubwa sana ndio maana mpaka ownership wenyewe wameamua wabadili philosophy yao kutokana na demand ya mashabiki kuwa kubwa. Alonso kaprove kwa kuwa tayari ameshashinda kombe la Bundesliga mbele ya Bayern na hata alivyoenda Madrid unaona kabisa team ilishakaa sawa sema ile migongano yake na senior players ikaja kubadili upepo na ndio sababu kuu aliyofukuzwa hata Mourinho amewahi kuexperience hicho kitu kutoka kwa Hazard, Diego Costa na Fabregas mpaka akawaita ni mapanya wa team.Chelsea siyo kubwa kuzidi Madrid.
Kilichomtoa Madrid ni ego ya Vini na wenzake.
Asipodeal na Enzo na Cucurella zee la maboko basi tutarajie makubwa.
Ukiniuliza nitasema Xabi hajaprove his presence kwenye timu yenye matarajio makubwa.
Team tunayo sema tu Kuna maeneo baadhi yanapaswa kuimarishwa kitu ambacho hakikufanyika under Maresca ndio maana tukafeli Kuna wachezaji aliwapendekeza wasajiliwe ili team iwe tishio zaidi akataliwa mfano mzuri kwenye nafasi ya Colwil baada ya kuumia umeona kwasasa alivyorudi defence yetu ilivyoimarikaAlonso ana kazi ya ziada kwa timu hii
Palace Lazima awakazeMpira ni mchezo wa makosa chura wewe. Unadhani tunavyowafunga ni kwavile nyinyi vinabo sana? Si tunawalazimisha tu kufanya makosa?
Papaa kila kocha kwake ni mbayaUlitaka aje nani?
Wewe unafikiri kuna kocha gani aliye sokoni wa kuleta mapinduzi ya harakaMimi nasema mapema kabisa,hapa hamna kocha.
Gusto nae ni mcheaji wa kubaki chelsea kuwa serious basi hapo kwa james nakubali ila gusto hapana beki hajui kukaba wala kushambulia hana madhara wa nini sasa?? moja ya anguko la chelsea ni kukumbatia na kusajili wachezaji wenye uwezo wa kawaida gusto,sanchez,badiashile,fofana,delap,pedro neto,garnacho,gittens,tosin,even Joao Pedro mwenyewe kwenye mechi kubwa na muhimu hatusaidii wa nini sasa ina maana CHELSEA imekua timu ya kawaida kiasi hicho kuwa na wachezaji wa level za championship??Hapo kwa James na Gusto nakataa, James ni mchezaji mpambanaji na hakuna team yoyote unayoijua wewe anaweza akawa benchi huyo ni world player tulionae unasemaje tumuondoe, na kwa Gusto ni mchezaji ambaye ni mzuri na ni mzuri kwenye tactical plan ya kocha kutokana na flexibility yake we si umeona Jana Doku alikuwa hatembei ule upande
Hapo kwa James na Gusto nakataa, James ni mchezaji mpambanaji na hakuna team yoyote unayoijua wewe anaweza akawa benchi huyo ni world player tulionae unasemaje tumuondoe, na kwa Gusto ni mchezaji ambaye ni mzuri na ni mzuri kwenye tactical plan ya kocha kutokana na flexibility yake we si umeona Jana Doku alikuwa hatembei ule upande wa Gusto
Sijawahi kukana kuwa Alosno sio Manager bali siwaamini Wamiliki hata akiwa manager bado wanaweza kumbana. Posts zangu za mwanzoni kabis ahata kabla hujaposti nilizileta jana kuwa Alonso anasajiliwa kama Meneja. Issue iko wka wamiliki na SDs wao, wanaweza kumrudi muda wowoteNadhan umeamini sasa kwamba Alonso anakuwa ni Manager na Si Head Coach.
Lengo langu naomba Hizi game zote tusipate point ili tumalize nafas ya 9 hapo tukose hata hiyo conference ili msim ujao tuwe na mda
Pia Arsenal sio timu kubwa kama Chelsea na Real Madrid. Pambaneni huko kwanza mpate angalau kombe la UCL la kwanza halafu baada ya hapo ndipo mje kwenye mjadala wa timu kubwa.Chelsea siyo kubwa kuzidi Madrid.
Kilichomtoa Madrid ni ego ya Vini na wenzake.
Asipodeal na Enzo na Cucurella zee la maboko basi tutarajie makubwa.
Ukiniuliza nitasema Xabi hajaprove his presence kwenye timu yenye matarajio makubwa.
Gusto hamna mchezaji mule, Jana Doku alikua hatembei wapi? kama sio msaada wa Palmar kuwa kama namba mbili ya pili. bila hivyo jana tungelala na viatu.Hapo kwa James na Gusto nakataa, James ni mchezaji mpambanaji na hakuna team yoyote unayoijua wewe anaweza akawa benchi huyo ni world player tulionae unasemaje tumuondoe, na kwa Gusto ni mchezaji ambaye ni mzuri na ni mzuri kwenye tactical plan ya kocha kutokana na flexibility yake we si umeona Jana Doku alikuwa hatembei ule upande wa Gusto
Una ushahidi na unachoongeaJames hana msaada kwa sasa Injury prone pia anawaharibu wachezaji wenzake kwa vitendo vya ushoga.
Bruv Leicester ilichukua kombe pia. Msimu huu imeshuka, what followed kwa Ranieri? Haina tofauti na Leverkusen kuchukua.Pressure ya Chelsea ni kubwa sana ndio maana mpaka ownership wenyewe wameamua wabadili philosophy yao kutokana na demand ya mashabiki kuwa kubwa. Alonso kaprove kwa kuwa tayari ameshashinda kombe la Bundesliga mbele ya Bayern na hata alivyoenda Madrid unaona kabisa team ilishakaa sawa sema ile migongano yake na senior players ikaja kubadili upepo na ndio sababu kuu aliyofukuzwa hata Mourinho amewahi kuexperience hicho kitu kutoka kwa Hazard, Diego Costa na Fabregas mpaka akawaita ni mapanya wa team.
Hua unapenda kushindana. Sielewi Arsenal inaingiaje hapo ila lazima ujue Arsenal ni kubwa kuizidi Chelsea ila Arsenal haiizidi Madrid.Pia Arsenal sio timu kubwa kama Chelsea na Real Madrid. Pambaneni huko kwanza mpate angalau kombe la UCL la kwanza halafu baada ya hapo ndipo mje kwenye mjadala wa timu kubwa.
Kuhusu Enzo Fernandez na Marc Cucurella hiii haitaji hata mjadala sembuse kutoka kwa mashabiki wa Arsenal wasiojua mpira.
Kwanza: Enzo na Cucu ni mmoja wa wachezaji loyal kwa Chelsea na nikisema hivi hutanielewa kwa sababu utakimbilia kwenye interviews walizofanya.
Pili: Playing style ya Alonso inafanana kwa karibu na mfumo wa Enzo Maresca ambao wachezaji walishaielewa.
Kwa ufupi Alonso anakuja kuendelea pale Enzo Maresca alipoishia January. Ataboresha tu kidogo. Kwa kusema haya, Enzo Fernandez na Cucurella sio tu watafit in bali pia watafurahia mfumo wa Alonso na hakutakuwa na kupishana lugha kama ilivyokuwa kwa Rosemary.
Hujui mpira. Nitag kwenye uzi utaoongelea matako labda hicho unaweza changiaPalace Lazima awakaze
Ww unaejua mpira umefaidika na lipi?Hujui mpira. Nitag kwenye uzi utaoongelea matako labda hicho unaweza changia
Kuvijua vinabo visivyojua mpira.Ww unaejua mpira umefaidika na lipi?
ile factor tu ya kuchukua ubingwa ndio tumeiangalia ameshaonja utamu wa kuchukua ubingwa kitu ambacho huwezi kufananisha na mtu kama Gharam Potter au Liam Rosenior ambao hawana history yoyote yakuchukua hata kikombe cha chai hata Maresca kabla hajaja alishachukua championship akiwa Leicester city ndio maana ikawa si ngumu kushinda vikombe na sisi hiko ndicho nakizungumziaBruv Leicester ilichukua kombe pia. Msimu huu imeshuka, what followed kwa Ranieri? Haina tofauti na Leverkusen kuchukua.
Bado Xabi hajaprove his presence kwa timu zenye matarajio makubwa. Ukiniambia kwamba alienda Leverkusen na alivyofika akaambiwa alete ligi hapo utakua unaniongopea.
Kama mtazamo wako/ wenu ni huu basi hapo sawa mmempata kocha mnayemtaka.ile factor tu ya kuchukua ubingwa ndio tumeiangalia ameshaonja utamu wa kuchukua ubingwa kitu ambacho huwezi kufananisha na mtu kama Gharam Potter au Liam Rosenior ambao hawana history yoyote yakuchukua hata kikombe cha chai hata Maresca kabla hajaja alishachukua championship akiwa Leicester city ndio maana ikawa si ngumu kushinda vikombe na sisi hiko ndicho nakizungumzia
Arteta miaka nane anarukaruka tu ameprove nini? Huyu Alonso ameshaprove kitu, ungejitahidi huu ushauri uwe unampa kocha wako kiwigi.Bruv Leicester ilichukua kombe pia. Msimu huu imeshuka, what followed kwa Ranieri? Haina tofauti na Leverkusen kuchukua.
Bado Xabi hajaprove his presence kwa timu zenye matarajio makubwa. Ukiniambia kwamba alienda Leverkusen na alivyofika akaambiwa alete ligi hapo utakua unaniongopea.
Arteta angekua ana rekodi za kipuuzi kwenye mechi kama Potter, Pochetino, Lampard, Maresca na Rosernior asingekuepo pale. Average players kama Enzo na Cucurella ni upuuzi kukuharibia dressing room halafu kocha upo tu unaangalia.Arteta miaka nane anarukaruka tu ameprove nini? Huyu Alonso ameshaprove kitu, ungejitahidi huu ushauri uwe unampa kocha wako kiwigi.
Enzo Fernandez na Cucurella sio average players wale ni winner Enzo ana kombe la Dunia na kwenye hiyo michuano yeye alikuwa ndio best young player na ukija kwenye huu msimu japo kwetu ni mbovu lakini hauna kiungo mwenye namba ambaye amemfikia Enzo Fernandez na ukija kwa Cucurella ana kombe la mataifa ya Ulaya na yeye ndio aliyekuwa best left defender kwenye hiyo michuano na ni mmoja wa key figure kwenye team yetu.Hiyo migogoro iliyokitokeza ni kwasababu wanataka ni kwa nia nzuri ya kulazimisha Mambo ili team iwin Mataji na kwa kiasi chake imesaidia club kubadilisha baadhi ya Mambo ili kwenda sawa na mahitaji ya mashabiki na key figures players wa teamArteta angekua ana rekodi za kipuuzi kwenye mechi kama Potter, Pochetino, Lampard, Maresca na Rosernior asingekuepo pale. Average players kama Enzo na Cucurella ni upuuzi kukuharibia dressing room halafu kocha upo tu unaangalia.
Alichoprove Arteta tofauti na waliopita chelsea ni kuitengeneza project na kucontrol dressing room.