Yani ata Mimi tian coz Nimekua nasema sn humu kila Siku lkn Watu wabishi!
Just see! We've done it without Hazard!
Teh Teh Teh Teh
sawa mdau lakini sio de mbaba ni demba ba...
Teh Teh Teh Teh
Pongezi nyingi kwa Jose kwa sub zake za ukweli!
Khe Khe Khe Khe
View attachment 150007
nimecheka sana na hii picha, croissant ni kama mikate flani hivi ni maarufu sana huku france
jamaa wanaipenda sana, ni hii hapa chini
View attachment 150008
Tena usiseme hivyo... you never know Hazard angaweza kuharibu coz unajua yule mjerumani ni ngangali na hii gemu ndo saizi yake.
Hongereni sana ndugu zangu...mmeiwakilisha EPL coz huu mwaka ulionekana mgumu sana kwa England.
Kwahiyo mnakutana na Real Madrid sivyo?
Itakuwa vita...JM na Ancelot.
Mi pia ckuamini ,ah! Mourinho noma, na alianza kwa kuongea kuwa anashinda .
Kwa sasa inatubidi hii ndoo ya UEFA tuichukue maana nina mashaka sana na Premier League