Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa uchezaji huu hatutawaweza Arsenal maadam tu refa na VAR wao wanaona sawa
Wachezaji wanashikwa wasisogee na mbaya zaidi Declan Rice pamoaj na kumkamata Hato asiucheze huo mpira wa kona, alidhubutu pia kupiga kwa mkono ili tu aondoe kwa Hato na VAR wao wakanyamazia

Your browser is not able to display this video.


 
Zama za Mrusi game za Arsenal zilikuwa boys vs mens(Chelsea) sasa hivi sisi ndio tumekuwa boys fighting spirit hakuna tena wachezaji wanao win duels ni caseido na James pekee wengine ni mayai mayai ajabu sasa timu imejaa kadi nyekundu nyepesi
 
Kila tukiwapiga wanasema hakuepo yule ama huyu.

Leo kisingizio eti refa
 
Week mbili nyuma unatamani Chelsea icheze kama Arsenal week hii Arsenal ni timu dhaifu.

Wiki zote Arsenal inashine
 
Zama za Mrusi game za Arsenal zilikuwa boys vs mens(Chelsea) sasa hivi sisi ndio tumekuwa boys fighting spirit hakuna tena wachezaji wanao win duels ni caseido na James pekee wengine ni mayai mayai ajabu sasa timu imejaa kadi nyekundu nyepesi
Chelsea kinara wa kadi nyekundu Epl 25/26
 
Leo hii ghafla Chelsea haijui kwamba kuna ball hand na hand ball. Hawajui kwamba hua inaangaliwa dhamira kabla ta kuucheza mpira.

Our bitches
 
Jamaa hamna hata upinzani aisee.

Yaani wanyonge kishenzi.

Ile mlivyoshangilia suluhu ya 1 1 nikajua hapa hamna kitu.

Arteta kafukuzisha kazi makocha wa Chelsea wakina Lampard bado huyu macho manne
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…