Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,055
- 27,460
Foffana 80+M, waliohusika kwenye hili deal walipiga pesa za wazembe 😂Vyanzo vilivyo karibu na Chelsea FC vinasema kuwa klabu hiyo inaamini kuwa usajili na uwiano wa jumla wa kikosi haujakidhi matarajio msimu huu, hivyo basi kufanyiwa tathmini ya kimkakati kabla ya kampeni ya 2026/27.
Takwimu za juu zinaeleweka kutathmini wachezaji kadhaa ambao hawachezi vizuri, huku kuondoka kukitarajiwa kama sehemu ya mpango mpana wa kuboresha kikosi.
View attachment 3547682
Kwanamna nilivyoona tunacheza binafsi siwezi kumlaumu kocha kabisa. Liam yuko vizuri tu ila wachezaji wetu ndio tatizo na ana kazi kubwa ya kufanya hapo
Liam kafanya kazi na Santos msimu uliopita na akamfaidisha sana kwa kuwa sehemu muhimu ya mafanikio yake mwaka jana. Nilitegemea hiki nachokiona sasa hivi.nae ana shida yake kiasi.. bado hajaweza kuwa combine enzo na palmer wacheze pamoja ikiwa ataendelea na mido ya caicedo na santos.
Ndugu zetu wanaugulia maumivu moyoni ila wanajikaza.Huko kwenye Uzi wa Arsenal wanaongea total fantasies ila wakirudi kwenye uzi wanaongea reality 😅
Mnakataana au sio.Huyo hamuoni ni mlevi mwenzenu, usitujumuishe wote chelsea hatuna shabiki mlevi.
Rosenior Hana Shida YeyoteLiam kafanya kazi na Santos msimu uliopita na akamfaidisha sana kwa kuwa sehemu muhimu ya mafanikio yake mwaka jana. Nilitegemea hiki nachokiona sasa hivi.
Tatizo lililopo Palmer chini ya Maresca alicheza namba 10 sasa hivi hana namna inabidi acheze nafasi yake iliyomtambulisha halafu Santos na Enzo wacheze midfield. Haya mambo utekelezaji wake unachukua muda na haya ndio matatizo ya kubadilisha makocha.
Mkuu nishikie arsenal jpiliPsg lazima atuue nje ndani
Kwani draw tyr imefanyika?Psg lazima atuue nje ndani
NdioKwani draw tyr imefanyika?
Tukijitahidi sana drooMkuu nishikie arsenal jpili
Nipo nyuma yenu😂😂😂
TumeshatokaNdio
Kama na nyie mlivyowatapeli Arsenal Kwa Madueke na Kai Harvertz🤣🤣Foffana 80+M, waliohusika kwenye hili deal walipiga pesa za wazembe 😂
Huyo nae gittens nae waliohusika matapel tuu
Hao wote vyuma vya kaziKama na nyie mlivyowatapeli Arsenal Kwa Madueke na Kai Harvertz🤣🤣
Muosha huoshwa!!
Kwani draw tyr imefanyika?