Halafu akamalizia sub yake na DELAP!! dah!Tatizo wachezaji waliacha kukaza baada tu ya kufunga goli. wamekuwa legelege sana. Sub ya Tosin ilikuwa ya kipumbavu sana. Hakukuwa pia na haja ya sub ya Josh kwa James.
Kama Arteta tu.Kocha jinga siyo?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kama Arteta tu.
Kocha hadi sasa hajapoteza mechi za ligi, kila mtu atashinda mechi zake, wew ena timu yako je?😂😂😂 Kenge za darajani zimeanza kuharisha damu.
Hivi wazee mpo serious kweli na top 4 au mmeridhika wenyewe na conference league?
Kwa hii fixtures yenu ya kumaliza naona kabisa mna kila dalili ya kumfukuza kocha.
Sahihi mkuu .... sijui ni ngekewa ama ni nini .... wachezaji wa kawaida sana wapo hizi timu zetu kubwaEPL kweli ni ngumu ila sio kwa mechi hii ni vile tu siku hizi mediocre players wamejaa kwenye timu zinazojiita za daraja la juu
Ni kweli mna fixture ngumu, ila Epl haitabiriki...unaweza kuvuna points kwenye mechi ngumu, zile nyepesi ukabanwa mbavuHawa Burnley ni wabovu kupita kiasi. Tumeshindwa kuwafunga basi tena, hizi mechi 11 zilizobaki ndio zitakuwa rahisi kweli?
- Arsenal
- Aston Villa
- Newcastle United
- Everton
- Manchester City
- Manchester United
- Brighton & Hove Albion
- Nottingham Forest
- Liverpool
- Tottenham Hotspur
- Sunderland
Kwahiyo akiendelea na ujinga huyu Liam msimu ujao na yeye atashika nafasi ya kwanza?Kama Arteta tu.
🤣🤣🤣 Mkuu ile nafasi ya pili sisi tunaitaka kwa udi na uvumba, haiwezekani Arsenyau msimu wa 4 mfulululizo wanaitia unajisi hio nafasi halafu sisi tunawaangalia tu.Kocha hadi sasa hajapoteza mechi za ligi, kila mtu atashinda mechi zake, wew ena timu yako je?
Arsenal bingwa hata kama hatupendi🤣🤣🤣 Mkuu ile nafasi ya pili sisi tunaitaka kwa udi na uvumba, haiwezekani Arsenyau msimu wa 4 mfulululizo wanaitia unajisi hio nafasi halafu sisi tunawaangalia tu.
Niliwategemea ndugu zangu mpambane walau hata mchukue nafasi ya 3 ili Arsenyau apambanie nafasi ya 4 ila nawaona kabisa mnaniangusha.
🤣🤣🤣 Lembu amka haraka uende chooni kabla haujajikojolea.Arsenal bingwa hata kama hatupendi
City wachovu
Aston Vila wako hapo kimakosa
Man United nguvu ya soda
Chelsea watoto bado hawajakua
Liverpool wamelogwa
Sasa kwa nini Arsnal wasibebe ndoo mwaka huu?
Sijasema Arsenal ni wazuri, ila timu zote za top 4 ambazo zingegombea ubingwa ni wachovu na kwa sababu huyo mchovu Arsenal ameshawatangulia wenzake inaweza ikawa ngumu kumtoa hapo juu🤣🤣🤣 Lembu amka haraka uende chooni kabla haujajikojolea.
Hayo maneno yako mashabiki wenyewe wa Arsenyau wanakushangaa, sio bure wewe itakua Castr amekupea energy drink, hizi sio akili zako kabisa.
Yah! Ni ujinga uliotukuka, unashika nafasi ya kwanza msimu mzima ubingwa wanachukua wengine.Kwahiyo akiendelea na ujinga huyu Liam msimu ujao na yeye atashika nafasi ya kwanza?
Anakiwasha nn bhana, em acheni hizoHuwa akirudi anakiwasha hiko ndicho nampendea