Hujaza Kibaba
Senior Member
- Sep 5, 2019
- 126
- 138
Walikuwa active kipindi cha kwanza wakati Westham A inacheza na Westham BMzee wa takataka, tatizo matokeo yakiwa kama leo hivi ni kama haupendezwi maana hauji kabisa kuchangia ila matokeo yakiwa kama yalivyokuwa halftime vile ni kama ndo furaha yako nashindwa kuelewa kama ni shabiki kweli wa chama letu pendwa ze blues au huwa unacomment nyakati ambazo una hasira tu
Ngoja tuwacheki liva kwanza huenda na wao wanacheki hiyo mechiWalikuwa active kipindi cha kwanza wakati Westham A inacheza na Westham B
Sasa wanaume Chelsea FC imeingia kucheza na Westham A na comeback ya kiume wamepotea, hapo ndio mimi nawashngaa sana. Ndio maan nina wasiwasi kama wote humu tunaosema Chelsea Chelsea kama ni wafuasi wa Chelsea kweli
Kwa maana walioitwa ni wengi bali wateule ni wachache
- Mathayo 22:14
Ile profile picture yako ya Didie Drogber ilikuwa inapendezesha sana hili jina.Tuahitaji kocha aggressive namna hii, siyo umeshafungwa bado unacheza mpira rojorojo.
Ila Garnacho, Delap, Badiashile, Chalobah ni utapeli sijawahi kuona. Kocha ana mzigo mzito sana kusajili wachezaji wanaojielewa.Huyu ni bonge la kocha wazee. Sijui wachezaji walienda kuvuta bangi kwanza?
Hivi bodi ya usajili inafanya vetting ya kutosha au ni maelekezo tu toka kwa wafanyabiashara "Todd Boehly na alliances*???Quantity ✅️
Quality ❎️
Makocha wanaweza kweli kuwa average but tuna lundo la wachezaji below average. Refer timu ya kipindi cha kwanza na cha pili
Huwa tunajisifu kuwapiga Arse8 kuwauzia magalasa ila nasi tumekula za uso heavily 😁Hivi huyu Liam Delap ana tofauti gani na yule mhindi anayeitwa Armando Broja
Nilichokiona kwake leo ni kusukuma na kuwapiga vibega wachezaji wa West Ham. Hakukuwa na chochote zaidi. Striker asiye na faida.
View attachment 3537131
50% hatuna wachezaji bora kama enzi za akina Michael Ballack, Didie Drogber, pia mabeki ni ronyoronyo sana, 2 matches timu inaruhusu magoli mawili tena first half?Mzee wa takataka, tatizo matokeo yakiwa kama leo hivi ni kama haupendezwi maana hauji kabisa kuchangia ila matokeo yakiwa kama yalivyokuwa halftime vile ni kama ndo furaha yako nashindwa kuelewa kama ni shabiki kweli wa chama letu pendwa ze blues au huwa unacomment nyakati ambazo una hasira tu ndo maana sijawahi kuona compliment hata kwa bahati mbaya
Bado everage players ni zaidi ya 50%-60% wanaotufanya tuonekane wasaliti. Kuruhusu magoli mawili kwa Napoli na Westharm Utd ni upumbavu utaotugharimu sana baadaye.Walikuwa active kipindi cha kwanza wakati Westham A inacheza na Westham B
Sasa wanaume Chelsea FC imeingia kucheza na Westham A na comeback ya kiume wamepotea, hapo ndio mimi nawashngaa sana. Ndio maan nina wasiwasi kama wote humu tunaosema Chelsea Chelsea kama ni wafuasi wa Chelsea kweli
Kwa maana walioitwa ni wengi bali wateule ni wachache
- Mathayo 22:14
- Mathayo 7:21
Mapema bado kutoa tathmini, angalau tuangalie kwa mechi 8-10 atazocheza nazo Rosenior, isijekuwa ni nguvu za soda wachezaji wanapambania kupata no kwa kocha mpya baada ya hapo tunarudi kule kule utumwani Misri...Ukizungumzia kimbinu Enzo Maresca amemzidi Liam Rosenior but alichowin kocha huyu mpya nikawajengea Chelsea mentality ya ushindi kwa kuwajaza upepo kitu ambacho Maresca amefeli aliweza tu tukikutana dhidi ya team kubwa pekee, pili kocha hajataka kupaka rangi nyingi nyingi amewataka wachezaji Wajikite kwenye basic za mpira, kuongeza intensity ya game, kucheza direct football hakutaka kubadilisha kwa kiasi kikubwa
Si bado mechi moja anafikisha mechi naneMapema bado kutoa tathmini, angalau tuangalie kwa mechi 8-10 atazocheza nazo Rosenior, isijekuwa ni nguvu za soda wachezaji wanapambania kupata no kwa kocha mpya baada ya hapo tunarudi kule kule utumwani Misri...
Rosenior bado anapata matokeo, lakini kiwango cha uchezaji hakiridhishi. Nilisema huko nyuma na narudia tena.Si bado mechi moja anafikisha mechi nane
Hata mechi 10 hazitoshi, yule mbeba mizigo Potter alicheza mechi tisa bila kupoteza lakini baada ya kubanguliwa na timu yake ya zamani Brighton 4-1 alipotea kuanzia hapo hadi akafukuzwa. Pamoja na mechi nyingi tunatakiwa kumpima kwenye mechi kubwa na hizi mechi za timu zinazoweka mabasi na makontena nyuma. Akipita vipimo hivyo ndipo tumuite kocha mzuri. Kwa muda Rosenior kaanza kazi ni January, huyu muda mzuri wa kumuasses ni May. Timu ibaki top 4 na iende mbali kwenye UCL (angalau robo fainali) angalau hizo ligi mbili. Sio FA na Carabao cup hizi ligi sio size ya Chelsea kutumia kumpima kocha.Mapema bado kutoa tathmini, angalau tuangalie kwa mechi 8-10 atazocheza nazo Rosenior, isijekuwa ni nguvu za soda wachezaji wanapambania kupata no kwa kocha mpya baada ya hapo tunarudi kule kule utumwani Misri...