Hata Mimi napenda ile style, ile style ndio inafanya mawinga wetu wawe Bora Zaidi kwasababu mipira inawakuta sana but overall namuona Maresca ni kocha mzuri Kwenye suala la makombe tutachukua hasa UEFA, Carabao na FA kwa sababu anajua kucheza dhidi ya team kubwa ila kwa EPL inabidi uongozi umsapoti kwenye usajili haswa wa experience players wakifanya hivyo tutakuwa tupo vizuriMpira tunaocheza Siku hizi ni wa kiseng€ , hivi ni nini kilimfanya Maresca kubadilisha style ya kucheza ile tuliyokuwa tunatumia miezi mitatu ya kwanza alipoingia Chelsea ? ,ile style ndio inatufaa .Kucheza kwa kasi pasi fupi na ndefu na kumkimbiza adui mwanzo mwisho huku tukimiliki mpira bila kupoza mashambulizi ...........ile style nakumbuka tulizitandika Timu zote tulizokutana nazo na walipata shida hata kujua wamkabe nani ,hasa viungo na mabeki wa timu pinzani tulizocheza nazo .......Wadau naomba mnipe majibu .........Huyu kichwa andazi maresca ananitia kinyaa Sana sasa hivi
Na hii kitu ndo huwa inatugharimu sana mara nyingi, unakuta mechi ya kuchukua point tatu kabisa tunaanza kwa mwendo wa konokono wanatuotea magoli ya faster faster halafu wanarudi kukaa nyuma wote na mechi ndo inakuwa imeishaKwenye hili siwezi kumlaumu kocha wachezaji ndio wamezingua walikuwa wanacheza kivivu, Kasi ndogo, hawakabi na second balls zilikuwa zinawashinda kipindi cha Kwanza tulizidiwa sio kwasababu ya kimbinu wachezaji wenyewe walisinzia
Mkuu City Hana uwezo wa kumfunga Chelsea subiri uoneKuna mashabiki wa Arsenal walikua wanapiga hesabu Chelsea eti imzuie City 😅😅😅
Mkifa chini ya tano nitafuteni
Na ndio maana kocha anataka wachezqji wazoefuNa hii kitu ndo huwa inatugharimu sana mara nyingi, unakuta mechi ya kuchukua point tatu kabisa tunaanza kwa mwendo wa konokono wanatuotea magoli ya faster faster halafu wanarudi kukaa nyuma wote na mechi ndo inakuwa imeisha
Mara ya mwisho mnamfunga City ni 2021 kwenye fainali ya CL.Mkuu City Hana uwezo wa kumfunga Chelsea subiri uone
Asikilizwe sasa ila tutakapomlaumu tusiwe tumemwoneaNa ndio maana kocha anataka wachezqji wazoe
Mpira hauchezwi kwa record man city wako vizuri ila sio kwenye ubora wao na sisi kwenye aina ya hizi game huwatunajua namna kuzicheza
City anamfunga Maresca nje ndani kwa sababu off ball timu ni level ya championship na resilient level ya timu ni averageMkuu City Hana uwezo wa kumfunga Chelsea subiri uone
Kiukweli mi naona City gari limewaka. Niamini mimiMpira hauchezwi kwa record man city wako vizuri ila sio kwenye ubora wao na sisi kwenye aina ya hizi game huwatunajua namna kuzicheza
City atamuondoa Arsenal pale juu sio kwa sababu City ni bora ila betri za Arsenal charge zimepungua. Wanabahatisha sana ushindi waoKiukweli mi naona City gari limewaka. Niamini mimi
Majeruhi ya Levi Colwill na Cole Palmer yameathiri kwa kiwango kikubwa mwenendo wa uchezaji wa Chelsea.
City hii inamtegemea sana Halland City ile ninayoijua huwa ilikuwa hategemei kabisa striker walikuwa na wingers wafungaji sio hii ya Sasa ni mafuta yenu tu kuanza kushika ndio imefanya mtofautiane kwa point ndogoKiukweli mi naona City gari limewaka. Niamini mimi