Joao Pedro
Senior Member
- Oct 21, 2025
- 173
- 218
Kabla ya mchezo hapo ngoja sasa mechi ianze mwenyewe hutaamini Chelsea itakavyokushangaza-------------Joao Pedro------------
Pedro Neto ---Palmer -------Estevao Willian
----------Enzo ------------James-------
Cucurella ---Chalobah ----Fofana-----Gusto
---------------Sanchez -------------------
Wataponaje hapo hao Everton?
Matokeo 2-0
Tuandae matusi ya kutukana tuKesho Maresca hachomoki wa Everton. Tujiandae kisaikolojia.
πThe blues ya Maresca imekuwa kama yule mbwa wako unayemuamini mkali sana, siku unampeleka kumuosha depo anakutana na mambwa ya polisi, unashangaa mbwa wako analala chini, mkia mtakoni huku anatoa kilio cha woga.
Sio uongozi ndio wamemlazimisha afanye mabadiliko huo ni uongo ila wameunga mkono mabadiliko anayofanya tofautisha nilichozungumza na kauli yakoSio hana first XI, kwa taarifa nilizozisikia kutoka jikoni kama ni za kweli, uongozi wanamtaka kocha afanye rotation wachezaji wote wapewe dakika ili dhamani yao iboreke. Wamekaa kibiashara zaidi
Enzo Fernandez uwezo wake umepungua sana sio yule Enzo ninaemjua Enzo alikuwa anapiga pass konyo akiwa chini hata juu lakini now days amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaopoteza pass in short inabidi apuumzishwe ili arudi kwenye kiwango chake na isiwe mechi pekee ila kocha wako Hilo halioni-------------Joao Pedro------------
Pedro Neto ---Palmer -------Estevao Willian
----------Enzo ------------James-------
Cucurella ---Chalobah ----Fofana-----Gusto
---------------Sanchez -------------------
Wataponaje hapo hao Everton?
Matokeo 2-0
Anacheza sanaEnzo Fernandez uwezo wake umepungua sana sio yule Enzo ninaemjua Enzo alikuwa anapiga pass konyo akiwa chini hata juu lakini now days amekuwa miongoni mwa wachezaji wanaopoteza pass in short inabidi apuumzishwe ili arudi kwenye kiwango chake na isiwe mechi pekee ila kocha wako Hilo halioni
Sera ya mradi hailazimishi direct kufanya rotation bali mazingira mazima yakiwemo sera yenyewe inamfanya kocha afanye hivyo kwa baadhi ya positionsSio uongozi ndio wamemlazimisha afanye mabadiliko huo ni uongo ila wameunga mkono mabadiliko anayofanya tofautisha nilichozungumza na kauli yako
Na huyu atakua bora kocha wa mwezi november.Kichaa na takataka wenu ndie Kocha bora wa EPL mwezi wa 11
"Enzo Maresca amechaguliwa kuwa Meneja Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Uingereza."
View attachment 3514709
Aliyeshinda tena kwa halali ni MarescaNa huyu atakua bora kocha wa mwezi november.
View attachment 3515057
Enzo Fernandez Leo pia anaanzishwa kocha wako anashida ganiAliyeshinda tena kwa halali ni Maresca
Aston Villa Nov 2025; Kashinda tatu kafungwa moja wakati Chelsea kashinda Tatu kadroo moja na Arsenal tena wakiwa pungufu ya 10 kwa dk kama 65
View attachment 3515083
Mwezi November kacheza mechi nne kapata point tatu mechi tatu na sare dhidi ya Arsenal. Nadhani anastahiliKichaa na takataka wenu ndie Kocha bora wa EPL mwezi wa 11
"Enzo Maresca amechaguliwa kuwa Meneja Bora wa Mwezi Novemba wa Ligi Kuu ya Uingereza."
View attachment 3514709
Mwezi November kacheza mechi nne kapata point tatu mechi tatu na sare dhidi ya Arsenal. Nadhani anastahili
Halafu nadhani wengine unatu quote vibaya. Maresca sio kichaa au takataka, ila kiukweli kuna muda zinashika kuna muda zinaachia mpaka unajiuliza namna hii kitu imekaa π