Ndio mwenendo wa ligi inavyokuwa. Tukumbuke pia kuwa sio kama tuna timu nzuri sana, wachezajki wengi bado wanakuaLeo tunalingana point na Man Utd tukiwa nafasi ya tano na wakati tulikua nafasi ya pili wiki moja nyuma
Uko sahihi kabisa ila tumachosema huyu kocha ni wa kawaida ni palr ambapo pamoja na changamoto zote za majeruhi na uchanga wa kikosi ila mechi sio za kupoteza point hata 2 unashangaa tunafungwa. Mechi dhidi ya Leeds & Sunderland hizi hamna hamna hata sare ndugu yetu ndio kagawa point tatu kwao.Ndio mwenendo wa ligi inavyokuwa. Tukumbuke pia kuwa sio kama tuna timu nzuri sana, wachezajki wengi bado wanakua
Experience and elite players ni
James na Fofana hawawezi kucheza mara 2 kwa wiki
- Robert Sanchez
- Reece James
- Wesley Fofana
- Moises Caicedo
- Enzo Fernandez
- Pedro Neto
- Marc Cucurella
Caicedo kadi nyekundu na ile mechi na Leeds Kocha aliboronga na aliomba msamaha, line up ya kumuweka Tosin na approach ya game ilikuwa sio nzurio kabisa, hata hiyo mecho na Bornemouth tuliponea chupu chupu tu.
Hao wengine waliobaki aidha sio elite au bado wanakomaa
Kwa upande wangu bado naamini Maresca anajitahidi, angekuja kocha mwingine angeyumba hivyo hivyo
Levi Colwill na Cole Palmer wangekuwepo wazima sasa hivi tungekuwa na matokeo tofauti
Hata hivyo tumeshacheza mechi 15, Ushindi 7, Sare 4, Kichapo 4. Sawa na Man United. Pengo kwa Arsenal = pointi 8, pengo na katikati ya jedwali = pointi 10.
Ligi bado ngumu na mbichi, kila timu lazima ishinde mechi zake. Hakuna upande “mbaya.” Wala Man united wala Chelsea hawafanyi vibaya. Uamuzi wa kweli ni Mei.
Mbona Kama anawapa mbinu na anahofu sana kwa kuliongelea hivi kwasababu ana struggle kwa team inayocheza aina hiyo ya mpiraEnzo Maresca kuhusu kukabiliana na Atalanta:
"Unaweza kuona timu nyingi zinacheza back 5, timu nyingi zinajaribu kucheza man-to-man kila mahali. Ukienda chooni, wanakufuata kila mahali."
Halafu ujuaji mwiiiingi, anajikuta Pep. Kila siku kubadilisha kikosi.Ila Maresca kocha wa kawaida sana.
Saa nyingine Marecsa hatabiriki. Inaweza kuwa hapo tayari ameshaweka game plan na sasa anazuga tu kwenye press conferenceMbona Kama anawapa mbinu na anahofu sana kwa kuliongelea hivi kwasababu ana struggle kwa team inayocheza aina hiyo ya mpira
Gittens anaweza kufanya dribbling nyingi japo nyingi zinafeli lakini zilizofanikiwa hutoa pasi nzuri kwenye boksi - Garancho hawezi kufanya sana dribling.Tofauti ya Gitten na Garnacho ni ipi? lembu
Chelsea takataka wamewapiga PSG ya kocha wako kipenzi (Luis Enrique) kwa 3-0 na kubeba kombe la dunia.Timu imejaa matakataka ikiongozwa na kubwa jinga Maresca
Team karibia wote zilizocheza huo mfumo kafungwa na kudraw Sasa sijui hata Kuna na solution Mimi naonaga anawaweza wakubwa ambao hawatumii huo mfumo kuliko hizi team nyingineSaa nyingine Marecsa hatabiriki. Inaweza kuwa hapo tayari ameshaweka game plan na sasa anazuga tu kwenye press conference
Load management kwa ajili ya InjuryMbona kamuacha fofana anamuweka badiashile.. Daah huyu coach
Araujo hakuwahi kuwa mchezaji mzuri hata kabla hatukuwafungaKuna namna araujo yule wa Barcelona hayupo sawa kiakili tangu tulipowafunga, nae kupewa red card