aisee bora Madueke mara 10,000. Nawaza sometym hawa wachezaji huwa wanaroga ili wasajiliwe, mana kwa akili timamu kbs huwezi sajili ile takataka.Hivi yule Gittens anastahili kweli hata kucheza U21?
Nilichokiona jana kama atabadilika basi Miujiza ipo
🤣🤣 beki kisiki hiyo, ila nahis kuna watu wanakula 10% kwnye hizi sajili za chelsea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila wachezaji wa Chelsea, eti hii takataka nayo iko Chelsea.
Liva kideri tunapga kama mtoto wetu.Kwahyo ulitaka Ballon d or apewe nani....Palmer au Pedro🤣🤣🤣🤣....na kocha Bora Maresca....lile lilikuwa kombe la Trump mmeenda kucheza kumfurahisha yule Babu....mnacheza na kina Flamingo sijui Santos mnajiona mmekamilika🤣🤣🤣....na bdo mtadundwa sana....ila J2 mjikaze muache ufala
Kwa sababu ya Arsenal kesho tukifungwa nitafurahia 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀J2 mna kazi moja tu kushinda....acheni vrsingizio majirani....Livakuku pulling imeshaisha.... Tunawaomba sana mkaze makalio uwanjani...na kadi za kilofalofa hatutaki....mechi tatu mfululizo mnakula red card....inaonesha mna kikundi Cha wahuni humo ndani
Sema nini timu bado ina watu, sema kocha ndio akili ndogo.Leo dhidi ya Liverkuku - Vibonde
Hawa hawatakuwepo kwa sababu ya Majeruhi
1) Trevoh Chalobah - Kadi Nyekundu - 2025-10-18
2) Andrey Santos - Knock - 2025-10-18
3) Wesley Fofana - Head - 2025-10-18
4) Tosin Adarabioyo - Calf- 2025-10-18
5) Cole Palmer - Groin - 2025-10-18
6) Levi Colwill –ACL – 2026-06-01
7) Liam Delap - Hamstring - 2025-11-22
8) Dario Essugo - Thigh- 2025-12-31
Lineup -4-2-3-1
------------ Joao Pedro------------
Estevao --------Enzo ----------Neto
------Lavia ---------Caicedo-------
Cucurella --Badiashile --James--Gusto
-------------Sanchez----------------
Bench
1. Jorgensen
2. Acheampong
3. Hato
4. Facundo
5. Walsh
6. Garnacho
7. Gittens
8. George
9 Mheuka
View attachment 3482989
Ukimuweka Estevao upande wa winger wa kushoto na yeye anatumia nguvu wa kushoto utamuona liability ni Bora akae benchi au umuweke winger wa kulia hivyo hivyo sawa kwa Neto kwa maana hiyo winger wa kushoto kwa maana yoyote ile lazima acheze Garnacho ndio impact inaonekanaLeo dhidi ya Liverkuku - Vibonde
Hawa hawatakuwepo kwa sababu ya Majeruhi
1) Trevoh Chalobah - Kadi Nyekundu - 2025-10-18
2) Andrey Santos - Knock - 2025-10-18
3) Wesley Fofana - Head - 2025-10-18
4) Tosin Adarabioyo - Calf- 2025-10-18
5) Cole Palmer - Groin - 2025-10-18
6) Levi Colwill –ACL – 2026-06-01
7) Liam Delap - Hamstring - 2025-11-22
8) Dario Essugo - Thigh- 2025-12-31
Lineup -4-2-3-1
------------ Joao Pedro------------
Estevao --------Enzo ----------Neto
------Lavia ---------Caicedo-------
Cucurella --Badiashile --James--Gusto
-------------Sanchez----------------
Bench
1. Jorgensen
2. Acheampong
3. Hato
4. Facundo
5. Walsh
6. Garnacho
7. Gittens
8. George
9 Mheuka
View attachment 3482989
Garnacho namuona anafaa kuliko Gittens lakini bado ana maamuzi ya mwisho yasiyo mazuri. Ila anayo uwezo wa kupeleka mipira ndani ya penalti box kitu ambacho Gittens bado anastrugle. Basi aanze Neto kulio na Estevao aingie baadaye, neto akichokaUkimuweka Estevao upande wa winger wa kushoto na yeye anatumia nguvu wa kushoto utamuona liability ni Bora akae benchi au umuweke winger wa kulia hivyo hivyo sawa kwa Neto kwa maana hiyo winger wa kushoto kwa maana yoyote ile lazima acheze Garnacho ndio impact inaonekana
Mawinga shazi ila ni matakataka , nyie wenyewe mnabishana hamjui nani acheze ! Aliyemsajili Gittens apigwe risasi ... Garna boy soon mtamkatakaa.... mbwembwe nyingi end product zero.. alafu kachoyo... EgoGarnacho namuona anafaa kuliko Gittens lakini bado ana maamuzi ya mwisho yasiyo mazuri. Ila anayo uwezo wa kupeleka mipira ndani ya penalti box kitu ambacho Gittens bado anastrugle. Basi aanze Neto kulio na Estevao aingie baadaye, neto akichoka
Garnacho sio mchoyo angalau kwa sasa. Kushoto ndiye anayeweza kuingiza mipira kwenye penalti box kwa cross, V pass, chipp, cut-back, ana mbio na yuko na experiences na ligi. Akitulia ni wingwer wa 115-20 G/AMawinga shazi ila ni matakataka , nyie wenyewe mnabishana hamjui nani acheze ! Aliyemsajili Gittens apigwe risasi ... Garna boy soon mtamkatakaa.... mbwembwe nyingi end product zero.. alafu kachoyo... Ego
Pamoja na kwamba sio mzuri kivile kwenye final product but kwa pale man u ndio alikuwa atatakwimu nzuri kuliko mchezaji yoyoteMawinga shazi ila ni matakataka , nyie wenyewe mnabishana hamjui nani acheze ! Aliyemsajili Gittens apigwe risasi ... Garna boy soon mtamkatakaa.... mbwembwe nyingi end product zero.. alafu kachoyo... Ego
njaa, sioni tukishinda mbele ya Liver huyo Benfica tu tuliambulia goli la papatu papatu.Ila leo tukishinda, cjui
Florian Wirtz bench pauni mil 116Kuna yule saa mbovu wa liva, anakwambia tutafute kiungo wa kueleweka, kwa mujibu wake Caceido sio kiungo wa kueleweka. Akionekana tena hapa mnishtue
Chaloba ni takataka na minywele yake ile yenye rangi ya moto, Badiashile angalau anajitahidi kufungua kiungo ya liva.Badiashile anataka kumpokonya namba cholaba