Umri wako utakuwa mdogoMechi yangu ya kwanza kuiangalia nikiwa na akili timamu kuhusu mpira.
Sikuwa shabiki wa timu yeyote kabla, ila kwenye hii mechi nilitamani sana Chelsea ashinde, sikuwa na sababu ya msingi, labla kwa sababu ilikuwa na blacks kadhaa 😂
Chelsea alivyoshinda, nadhani rasmi nikaanza kujitambulisha kama shabiki wa Chelsea.
2012 - 2025 🔥
View attachment 3473938
30 n mdogo?Umri wako utakuwa mdogo
Sawa tumepishana kidogo30 n mdogo?
Huyu Mgosi ashauza mechi mpuuzi huyu, Gusto wa nini?!!Lineup ya FIFA CWC hii hapa, anakosekana Colwill tu
UCL Group Stage
Bayern Munich vs Chelsea
Line up 3-2-4-1
-----Joao Pedro-----
Neto --Enzo--Palmer -- Gusto
----Caicedo---James----
Cucurella ---Tosin--Chalobah
--Sanchez---
Subs
1. Jorgensen
2. Curd
3. Fofana
4. Acheampong
5. Hato
6. Santos
7. Facundo
8. George
9. Gittens
10. Estevao
11. Garnacho
12. Guiu
kuna uwezekano ikawa hiviHuyu Mgosi ashauza mechi mpuuzi huyu, Gusto wa nini?!!
Gusto ni mchezaji mzuri na hizi ni game ambazo huwa anaperform vizuriHuyu Mgosi ashauza mechi mpuuzi huyu, Gusto wa nini?!!
Hesgoal Ni websiteWazee app gani nzuri ya kuangalia mpira msaada
Haya sasa.. tusubiri labda tunaweza kutoboa..Angeweza kuanza na full mkoko mapema. Piga mbili then second half anza kufanya sub kidogo kidogo wakati huo ushamsoma mpinzani wako.
Alichofanya ni kubet.. yaani akili yake yote anawaza game ya jumatano.
Shinda hii match nyepesi. Match ijayo jumatano match ngumu hata ukipoteza hutolaumiwa sana. Hii game kupoteza point tatu ndio inauma sana. Hasa kwenye swala la mbio za ubingwa. Team za madaraja ya kati na chini ndio za kuhakikisha unachukua point zote tatu bado mapema.
Haya mfano kapoteza hii.. na jumatano unapigwa unakuwa umefanya nini?
ShukraniHesgoal Ni website
ndo gemu zinazompa misifaHuwa najiulizaga kwanini Enzo Maresca game kubwa huwa very serious kuliko hizi game za team za kawaida akicheza na team kubwa midfielder wa Kati anaweka wa kazi tofauti na hizi mechi zingine
Katumaliza leoGusto ni mchezaji mzuri na hizi ni game ambazo huwa anaperform vizuri