for me still tumefanya vizuri sokoni kumchukua yule kiungo mshambuliaji wa Argentina wa Brighton na Garnacho na tutakuwa team nzuri zaidi akirudi Lavia.Kitu ambacho tunatakiwa kuimba ni mabeki wetu wasiumieTulipoanza usajili mashabiki wengi wa Chelsea walifurahia na hata wengine wakaanza kupandisha hisia kali kuwa dirisha limeenda vizuri hata tusiposajili tena
Dirisha lilipofunguliwa mara ya pili baadhi ya mashabiki walitamani majina haya... 😔
Lakini bahati mbaya, wengine walitua kwa mahasimu.
Hapa ndipo dirisha la usajili lilianza kuonekana bovu:
Dirisha lilianza kama ndoto kubwa ya matumaini, likageuka kuwa kaburi la kuzikia hayo matumaini. 😩💙
- Xavi Simons – Spurs walichukua
- Victor Osimhen – Amesajiliwa na Galatasaray
- Alexander Isak – Amesajiliwa na lIverpool
- Viktor Gyökeres – Amesajiliwana Arsenal
- Fermín López – Barca walikataa kuachia
- Alessandro Bastoni – Uongozi hawakumfukuzia
- Marc Guéhi – Aliipendelea Liverpool lakini kabakia Crystal Palace
- Piero Hincapié – Arsenal walimbeba
- Mike Maignan – Milan walimfunga kwa chuma
- Gianluigi Donnarumma – Amesajiliwa na Man City
- Hugo Ekitike – Amesajiliwa na lIverpool
Njia rahisi ya kujua kama dirisha lilikuwa mzuri au mbaya ni hizi hapa:for me still tumefanya vizuri sokoni kumchukua yule kiungo mshambuliaji wa Argentina wa Brighton na Garnacho na tutakuwa team nzuri zaidi akirudi Lavia.Kitu ambacho tunatakiwa kuimba ni mabeki wetu wasiumie
Umeanisha vizuri ila lazima tukubali hatuna Upana wa defence kiubora we mwenyewe umeona alivyo umia Tosin ilikuaje? na huyo Tosin sio kwamba ni defender bora ila mfumo wa Maresca anakuwa ndio nguzo yetu kwa maana ana uwezo wa kubreak up opponent line kupitia pass zake na ku offer kucheza mipira ya juu lakini sio mzuri kwe marking. Ukimtoa yeye hakuna defender yoyote ukiachana na Colwin mwenye sifa Kama zake kwenye mifumo wa Enzo Maresca ndio maana tulistruggle tulivyomkosa kwenye game ya Crystal palace.Kwa maana hiyo kwenye hili eneo hawajamtendea haki Enzo MarescaNjia rahisi ya kujua kama dirisha lilikuwa mzuri au mbaya ni hizi hapa:
Chelsea ilimaliza top 4 na ilikuwa ya 3 kwa uimara wa defense. Sasa angalia squad depth yao baada ya dirisha:
Waliokuja kama mbadala:
- Liam Delap ➡️ Mbadala wa Nicolas Jackson
- Estevão Willian ➡️ Mbadala wa Madueke
- João Pedro ➡️ Mbadala wa Nkunku
- Jamie Bynoe-Gittens ➡️ Mbadala wa Jadon Sancho (alikataa kubaki Chelsea kwa sababu ya mshahara)
- Alejandro Garnacho ➡️ Mbadala wa Mudryk (Anakabiliwa na kesi ya madawa yaliyokataliwa na anaweza kupigwa ban ya miaka minne)
Waliokuja kama cover:
- Andrey Santos ➡️ Cover ya Enzo Fernández
- Dário Essugo ➡️ Cover ya Moises Caicedo & Romeo Lavia
- Facundo Buonanotte ➡️ Cover ya Cole Palmer
- Marc Guiu ➡️ Karudishwa kuwa cover ya Delap
- Kendry Páez ➡️ Cover ya kudumu ya Palmer (yuko mkopo Strasbourg)
- Jorrel Hato ➡️ Cover ya Cucurella
- Mamadou Sarr ➡️ Cover ya kudumu ya Levi Colwill (yuko mkopo Strasbourg)
- Mike Penders ➡️ Mbadala wa kudumu wa Robert Sánchez (yuko mkopo Strasbourg)
Wanaokuja 2026 (future flames):
- Dastan Satpaev – Striker machachari kutoka Kazakhstan timu ya airat inayoshiriki UEFA msimu huu
- Geovany Quenda – RW au RWB anachezea timu ya Sporting CP kwa sasa hadi July 2026 atakap[ojiunga na Chelsea
Hitimisho
Chelsea haikufanya tu usajili — walijenga skeleton ya future XI. Kila signing ina logic, depth, na potential ya ku-transform squad. Kama hii si dirisha la maana, basi hatujui maana ya "kujenga timu".
Umeanisha vizuri ila lazima tukubali hatuna Upana wa defence kiubora we mwenyewe umeona alivyo umia Tosin ilikuaje? na huyo Tosin sio kwamba ni defender bora ila mfumo wa Maresca anakuwa ndio nguzo yetu kwa maana ana uwezo wa kubreak up opponent line kupitia pass zake na ku offer kucheza mipira ya juu lakini sio mzuri kwe marking. Ukimtoa yeye hakuna defender yoyote ukiachana na Colwin mwenye sifa Kama zake kwenye mifumo wa Enzo Maresca ndio maana tulistruggle tulivyomkosa kwenye game ya Crystal palace.Kwa maana hiyo kwenye hili eneo hawajamtendea haki Enzo Maresca
Ila Ben Chillwell alikuwa beki kitasa sana aiseee ,ni vile tu baada ya kuondoka kwa Tuchel naye makocha waliofuata mifumo yao ilikuwa haimfevi jamaa ,ila ni moja kati ya mafull back bora Chelsea imewahi iuwa naoStrasbourg wakubali dili la kumsajili Ben Chilwell kwa kandarasi ya miaka miwili, HERE WE GO!
Matibabu tayari na Chilwell anajiunga na mradi mkubwa huko Strasbourg pamoja na Liam Rosenior katika soka la Ulaya.
@FabrizioRomano
View attachment 3461691
Bora mliiwahi mapema hiyo injury prone Lavia, Liverpool tungekula ya kichwa 🤣for me still tumefanya vizuri sokoni kumchukua yule kiungo mshambuliaji wa Argentina wa Brighton na Garnacho na tutakuwa team nzuri zaidi akirudi Lavia.Kitu ambacho tunatakiwa kuimba ni mabeki wetu wasiumie
Chalobah na josh hawawezi kupiga pass za kuvunja line ya upinzani Kama tukicheza na team zinazocheza defensive gameHwa pia wanaweza kucheza hiyo role vizuri
- Wesley Fofana (Trevoh Chalobah)
- Levi Colwill (Benoît Badiashile)
- Tosin Adarabioyo
- Josh Acheampong
Tunao CB sita wanaoweza kuanza na wengine watatu wanaoweza kucheza hizo nafasi japo ni fullbacks
- Reece James
- Marc Cucurella
- Jorel Hato
Msimu ujao naamini Aarón Anselmino na Mamadou Sarr watajoin
Lakini wana attributes zingine. Defense haitaji tu sifa moja ya kubreak lines. Mimi nadhani defense inahitaji attributes mbalimbali ili iwe kamiliChalobah na josh hawawezi kupiga pass za kuvunja line ya upinzani Kama tukicheza na team zinazocheza defensive game
Shida tunakutana na team nyingi zinazocheza defensive game ndio maana attribute ya kubreak up lines ya mpinzani ndio muhimu sana na ndio maana kocha aliitaji defender mwenye sifa aina hiyo kwa kujua mahitaji ya ligiLakini wana attributes zingine. Defense haitaji tu sifa moja ya kubreak lines. Mimi nadhani defense inahitaji attributes mbalimbali ili iwe kamili
At least josh anajaribu kuzipiga ila alivyotoa boko akaogopa akawa anapiga side passes km chalobahChalobah na josh hawawezi kupiga pass za kuvunja line ya upinzani Kama tukicheza na team zinazocheza defensive game
Aaron Anselmino ndiye anaweza vizuri ila sasa kocha ameshindwa kumuamini akampeleka mkopoShida tunakutana na team nyingi zinazocheza defensive game ndio maana attribute ya kubreak up lines ya mpinzani ndio muhimu sana na ndio maana kocha aliitaji defender mwenye sifa aina hiyo kwa kujua mahitaji ya ligi
Gari la mkaa ndo shida kubwa kocha mpya anakuja jamaa yupo Wodini kocha anaunda mfumo unakaa sawa ndo anarudi akicheza kidgo kaumia tenaIla Ben Chillwell alikuwa beki kitasa sana aiseee ,ni vile tu baada ya kuondoka kwa Tuchel naye makocha waliofuata mifumo yao ilikuwa haimfevi jamaa ,ila ni moja kati ya mafull back bora Chelsea imewahi iuwa nao
Saa 8 na nusu mchanaKwa leo tunakipiga saa ngappp wazeee
Joao pedro sijui kama atachezaSaa 8 na nusu mchana
Kaumia auJoao pedro sijui kama atacheza