Naona Chelsea hawakupenda jinsi RB Leipzig wanavyofanya biashara, na Chelsea kumbuka juzi juzi tu walipigwa faini na kupewa masharti ya kuwasaini UEFA wachezaji wapya. Mimi naona sababu kubwa ndio hiyo. Chelsea hawakutaka kumnunu8a Simons kwa pesa kubwa ukichukulia pingamizi ya UEFA na pia anakuja kuwa backup ya Cole PalmerUnajua Xavi Simons alifika muda akawa anawafollow wachezaji wa Chelsea haikuishia hapo pia alicomment pia kwenye page ya Chelsea Instagram kwenye utambulisho wa Joel Hato alafu unataka tusiamini media kweli?
Taarifa zingine zinasema kuwa huyu dogo wanaomtaka ni Bluieco labda ili wampeleke StrassbourgHABARI KUU ZA HIVI PUNDE:
Chelsea wanafanyia kazi ya kumsajili Facundo Buonanotte kutoka Brighton. Huyu ni kinda wa miaka 20 na anacheza kama Attacking Midfilder. Anatokea taifa la Argentina
@FabrizioRomano
View attachment 3457617
Chelsea wanamchukua kkwa mkopo. Hii inaonyesha kuwa dili la Xavi Simons Chelsea waliachia makusudi kwa sababu hawakutaka kutumia pesa nyingi. Hapo masharti ya UEFA yanafanya kaziHABARI KUU ZA HIVI PUNDE:
Chelsea wanafanyia kazi ya kumsajili Facundo Buonanotte kutoka Brighton. Huyu ni kinda wa miaka 20 na anacheza kama Attacking Midfilder. Anatokea taifa la Argentina
@FabrizioRomano
View attachment 3457617
Vipi kuhusu kuonesha interest ya kumsajili Lopez kwani huyu Hana bei kubwa?Chelsea wanamchukua kkwa mkopo. Hii inaonyesha kuwa dili la Xavi Simons Chelsea waliachia makusudi kwa sababu hawakutaka kutumia pesa nyingi. Hapo masharti ya UEFA yanafanya kazi
Mchezaji anapewa mpira sio mudaGittens ni mchezaji mzuri ila anahitaji muda itadepend na huo muda Garnacho atareact vipi
Kati ya watu watakaoukua wameumia dili la Simon kufa we utakua umeumia sana we jamaa, yaan maisha bana. Wakat ww unahuzunika mimi nimefurahia. Kale katoto hakana tofauti na madueke.Vipi kuhusu kuonesha interest ya kumsajili Lopez kwani huyu Hana bei kubwa?
Hawa ndio wachezaji ambao naona akija pale darajani. Kocha Maresca atakuna kichwa mpaka kipara chote kiishe.BREAKING: Fermin LΓ³pez atatangaza uamuzi kuhusu mustakabali wake pale Barcelona katika taarifa maalum muda wowote kuanzia sasa
View attachment 3457625
Mchezaji sana huyu dogoHawa ndio wachezaji ambao naona akija pale darajani. Kocha Maresca atakuna kichwa mpaka kipara chote kiishe.
Kabla tu hajanunuliwa anaturingia, huyo ni wa kuachana nae.Hawa ndio wachezaji ambao naona akija pale darajani. Kocha Maresca atakuna kichwa mpaka kipara chote kiishe.
[emoji837] HABARI MPYA KABISA (Swahili): Facundo Buonanotte kuelekea Chelsea β Here we go imethibitishwa! [emoji838][emoji1033]
[emoji407] Makubaliano ya mkopo yamekamilika, bila kipengele cha kununua mchezaji kudumu.
[emoji779]οΈ Taarifa zinaeleza kuwa Chelsea watakuwa na nafasi ya kulinganisha ofa za baadaye na kumchukua Buonanotte endapo watakubaliana na Brighton.
[emoji1992] Habari ya kipekee, imethibitishwa rasmi.
Fabrizio Romano
View attachment 3458124
Kati ya watu watakaoukua wameumia dili la Simon kufa we utakua umeumia sana we jamaa, yaan maisha bana. Wakat ww unahuzunika mimi nimefurahia. Kale katoto hakana tofauti na madueke.
Kwa hiyo kwa kua ameenda spars sio takataka tena!! Amekua mchezaji mzuriYule dogo amini nakwambia pale Spurs ata kiwasha sana mpaka tutamkumbuka. Xavi ni mchezaji mzuri.
Wamewasajili wachezaji wawili alafu cha ajabu wote viungo washambuliaji ndipo nawashangaa sports director wetu huwa wanawazaga niniHziyech22 pole sana jamaa, najua umeumia sana. Ngoja tuendelee kupambana na hawa matakataka yaliyopo.