Chelsea ndio wameonesha hawapo serious maana Wameingia makubaliano na mchezaji alafu hawataki kupeleka dau kwa RB Leipzig ukiwa Kama mchezaji wewe unafanyaje alafu chakushangaa wamefanya fasta kwa GarnachoKila nikikumbuka Tuliaminishwa Simon anaitaka Chelsea tuu kufa kupona nachoka π
Epuka kuwa negative kwa sasa ili baadaye usije kulasimika kuyarudia matapishji yako mwenyewe.Chelsea ndio wameonesha hawapo serious maana Wameingia makubaliano na mchezaji alafu hawataki kupeleka dau kwa RB Leipzig ukiwa Kama mchezaji wewe unafanyaje alafu chakushangaa wamefanya fasta kwa Garnacho
Kiuhalisia mchezaji tunayemuhitaji kwa sasa ni beki mzoefu wa kati huko mbele ni kocha na wachezaji tu washindwe waoKama Chelsea hawatasajili mchezaji mwingine baada ya kumkosa Xavi Simons watakuwa wametuangusha sana mashabiki Kama hamuoneshi kumkubali mchezaji kwanini mlimuahidi mchezaji mtamsajili hii mantiki sijaelewa
Hata Mimi napenda tusajili CB sema sioni club wanaipa kipaombeleKiuhalisia mchezaji tunayemuhitaji kwa sasa ni beki mzoefu wa kati huko mbele ni kocha na wachezaji tu washindwe wao
Shida Wala sio kumkosa Xavi tunajiuliza kwanini team imepoteza muda mrefu kwa mchezaji ambaye inaonesha hawamuhitaji kwanini hatukufungua room kwa wachezaji wengine ambao wanaona uongozi na kocha wanafaa.Maana navyojua Mimi lazima uwe na optionsTulikuwa na hasira kama hii ya kumkosa Xavi Simons wakati ule wa Jhon DurΓ‘n na Andre Onana. Nini kilitokea baadaye?
Yule Gittens msimu ujao mtamuuza....nishaanza Kuona dalili mbaya hakyananiShida Wala sio kumkosa Xavi tunajiuliza kwanini team imepoteza muda mrefu kwa mchezaji ambaye inaonesha hawamuhitaji kwanini hatukufungua room kwa wachezaji wengine ambao wanaona uongozi na kocha wanafaa.Maana navyojua Mimi lazima uwe na options
Usiziamini sana mediaShida Wala sio kumkosa Xavi tunajiuliza kwanini team imepoteza muda mrefu kwa mchezaji ambaye inaonesha hawamuhitaji kwanini hatukufungua room kwa wachezaji wengine ambao wanaona uongozi na kocha wanafaa.Maana navyojua Mimi lazima uwe na options
Ndg yuangu habari za kupotea tumekumisi sanaNadhan SD wamezingua sana issue ya Xavi Simon huwez msubirisha mchezaj mwez mzima ukimwmabia nkunku akiondoka deal lako linakamilika halaf nkunku deal linakamilika unaprioritise Garnacho, Nadhan wameonyesga DISRESPECT kwa Xavi Simon, Hata ningekuwa mimi ningefanya maamuzi hayo huwez subir mwez mzima unapewa matumaini halaf baadae unaona mchezaj flan anasajiliwa .
Mchezaji ukishamnunua zaidi ya Β£45mil kumuuza baada ya msimu 1 unahitaji miujizaYule Gittens msimu ujao mtamuuza....nishaanza Kuona dalili mbaya hakyanani
Labda sababu kuu ya kumuacha Xavi Simons pia ni hiyo. Kwanza Simons ilikuwa tu ni luxury buy, hakuwa na umuhimu zaidi. Hiyo Namba 10 anaweza kucheza Jopa Pedro, Enzo Fernandez Esetevao Willian mbali na Cole PalmerKiuhalisia mchezaji tunayemuhitaji kwa sasa ni beki mzoefu wa kati huko mbele ni kocha na wachezaji tu washindwe wao
Gittens bado mdogo sana, kuanza kuwaza kumuuza kwa umri wake labda kama atakuwa na attude mbaya. Akishindwa kufight sanasana atapelekwa mkopoMchezaji ukishamnunua zaidi ya Β£45mil kumuuza baada ya msimu 1 unahitaji miujiza
Bora mana, haka katoto sijawah kukakubali hata kidogo, kachoyo hatarii.Dili hilo la Xavi Simons kwenda Spurs limekamilika
Yajayo mazuri zaidi,
Hatuwezi kujua kwa nini Wamiliki na SDs hawakupeleka bid hata moja kwa zaidi ya mwezi mzima tunapakiwa taarifa tu kuwa Somons ameichagua Chelsea tu
Labda kuna kitu wameona au kuna vipaumbele bora zaidi
View attachment 3457242
Gittens ni mchezaji mzuri ila anahitaji muda itadepend na huo muda Garnacho atareact vipiYule Gittens msimu ujao mtamuuza....nishaanza Kuona dalili mbaya hakyanani
Unajua Xavi Simons alifika muda akawa anawafollow wachezaji wa Chelsea haikuishia hapo pia alicomment pia kwenye page ya Chelsea Instagram kwenye utambulisho wa Joel Hato alafu unataka tusiamini media kweli?Ndg yuangu habari za kupotea tumekumisi sana
Ushauri wangu ni huu
Tusiziamini sana media kwamba Chelsea ilimsubirisha. Inaweza kuwa mchezaji ndie kajisubirisha na wala Chelsea hawakuwa na dili naye
Hadi sasa Chelsea haijawahi kupeleka posa zaidi ya mipasho ya mdomo tu.
Xavi Simon angekuja kuwa backup ya Palmer kwa sababu hawezi kucheza LW na striker role ina wenyewe. Sasa mchezaji wa Backup kumnunua kwa mil 60 sio fair.
Pia nasikia Maresca anampenda Fermin Lopez zaidi ya Xavi SimonsTusubiri kwanza tusiwe na harakla ya kuhukumu