Chelsea wanawataka wachezaji watatuKwa namna ninavyoona Chelsea tumeshamkosa Xavi Simons
Euro 70M kwa mmchezaji wa rotation ni kubwa sana, timu itunze pesa kila msimu fursa sokoni hazikosekani ijikite kwenye kuuza basiChelsea wanawataka wachezaji watatu
Garnacho, hili ni kama 95% kukamilika
Xavi Simons bado gap ya ada niu kubwa sana kutoka mil 50 ya Chelsea kwenda Mil 70 ya RB Leipzig
Fermin Lopez - Chelsea wametoa ofa ya euro mil 58 ambayo ilikataliwa. Barcelona wanataka mil 70
Taarifa zaidi hii hapa
Chelsea wameripotiwa kupendekeza ofa ya Euro milioni 65 kumsajili Fermin LΓ³pez kutoka FC Barcelona. Hii ni zabuni iliyorekebishwa, kutoka kwa euro milioni 58 za awali, na ni malipo ya kudumuβhayajahusishwa na bonasi za utendajikazi au nyongeza.
Hata hivyo, Barcelona wanashikilia uthabiti wa thamani ya Euro milioni 70, na meneja Hansi Flick anataka kuweka Fermin kama sehemu ya mipango yake. Mchezaji huyo mwenyewe ameonyesha nia ya kusalia Camp Nou, lakini ofa ya Chelsea inajumuisha mshahara mnonoβunaoripotiwa kuwa jumla ya Euro milioni 15 kwa msimu, zaidi ya mara mbili ya mapato yake ya sasa.
-Beinginsports
Kwanini tusistick na Xavi Simons ambaye tunamakubaliano nae kuliko kuangaika na Lopez hatuna uhakika nae na ndio maana nimeona tudharua hii itafanya Xavi Simons kukubali offer ya spursChelsea wanawataka wachezaji watatu
Garnacho, hili ni kama 95% kukamilika
Xavi Simons bado gap ya ada niu kubwa sana kutoka mil 50 ya Chelsea kwenda Mil 70 ya RB Leipzig
Fermin Lopez - Chelsea wametoa ofa ya euro mil 58 ambayo ilikataliwa. Barcelona wanataka mil 70
Taarifa zaidi hii hapa
Chelsea wameripotiwa kupendekeza ofa ya Euro milioni 65 kumsajili Fermin LΓ³pez kutoka FC Barcelona. Hii ni zabuni iliyorekebishwa, kutoka kwa euro milioni 58 za awali, na ni malipo ya kudumuβhayajahusishwa na bonasi za utendajikazi au nyongeza.
Hata hivyo, Barcelona wanashikilia uthabiti wa thamani ya Euro milioni 70, na meneja Hansi Flick anataka kuweka Fermin kama sehemu ya mipango yake. Mchezaji huyo mwenyewe ameonyesha nia ya kusalia Camp Nou, lakini ofa ya Chelsea inajumuisha mshahara mnonoβunaoripotiwa kuwa jumla ya Euro milioni 15 kwa msimu, zaidi ya mara mbili ya mapato yake ya sasa.
-Beinginsports
Kabisa hata barca haanzi huyuEuro 70M kwa mmchezaji wa rotation ni kubwa sana, timu itunze pesa kila msimu fursa sokoni hazikosekani ijikite kwenye kuuza basi

Saa ngapi hii mkuuKatika utangulizi wa droo ya Ligi ya Mabingwa leo usiku itahusisha tuzo maalum kukabidhiwa kwa Chelsea kwa "kushinda yote" baada ya Conference League kukamilisha mkusanyiko wao wa UEFA.
View attachment 3456307
Mchezaji ameshasema anataka kuichezea baca, wanahangaika nae ya nini, huyo hata akija atakua hajitumi.Chelsea wanawataka wachezaji watatu
Garnacho, hili ni kama 95% kukamilika
Xavi Simons bado gap ya ada niu kubwa sana kutoka mil 50 ya Chelsea kwenda Mil 70 ya RB Leipzig
Fermin Lopez - Chelsea wametoa ofa ya euro mil 58 ambayo ilikataliwa. Barcelona wanataka mil 70
Taarifa zaidi hii hapa
Chelsea wameripotiwa kupendekeza ofa ya Euro milioni 65 kumsajili Fermin LΓ³pez kutoka FC Barcelona. Hii ni zabuni iliyorekebishwa, kutoka kwa euro milioni 58 za awali, na ni malipo ya kudumuβhayajahusishwa na bonasi za utendajikazi au nyongeza.
Hata hivyo, Barcelona wanashikilia uthabiti wa thamani ya Euro milioni 70, na meneja Hansi Flick anataka kuweka Fermin kama sehemu ya mipango yake. Mchezaji huyo mwenyewe ameonyesha nia ya kusalia Camp Nou, lakini ofa ya Chelsea inajumuisha mshahara mnonoβunaoripotiwa kuwa jumla ya Euro milioni 15 kwa msimu, zaidi ya mara mbili ya mapato yake ya sasa.
-Beinginsports
Samahani saa moja jioni ndio inaendelea sasaKabisa hata barca haanzi huyu
Saa ngapi hii mkuu
Tukutane Darajani, acha porojo za getoHama hamna timu ni utopolo tu
Wapinzani wa Chelsea kwenye UEFA Champions League hii hapa
Hisia, presha, na matumaini yote yamechanganyika. ππ
Tunawakaribisha Barcelona pale Stamford Bridge... lakini safari hii ni ya moto kweli kweli. π₯
Orodha nzima ya wapinzani hii hapa:
View attachment 3456581
- Barcelona (Nyumbani) β Historia inajirudia, macho yote kwa Stamford Bridge.
- Bayern Munich (Ugenini) β Kibarua kigumu kwenye baridi ya Bavaria.
- Benfica (Nyumbani) β Mashambulizi ya Kireno yanatua London.
- Atalanta (Ugenini) β Kasi ya Italia inatusubiri Bergamo.
- Ajax (Nyumbani) β Vijana wa Amsterdam wanakuja na falsafa ya soka safi.
- Napoli (Ugenini) β Joto la Napoli na presha ya Diego Maradona Stadium.
- Pafos (Nyumbani) β Nafasi ya kupumua kidogo, lakini tusipuuze.
- Qarabag (Ugenini) β Safari ndefu hadi Azerbaijan, hakuna mechi rahisi.
Bado hajatoa maamuzi, ni kweli anapenda Barca lakini mil 15 kwa mwaka sio haba kwa mchezaji wa miaka 22Mchezaji ameshasema anataka kuichezea baca, wanahangaika nae ya nini, huyo hata akija atakua hajitumi.
Timu ya mapunga hii hamna kituTukutane Darajani, acha porojo za geto
Mchezaji hataki Hilo timu lenu bovuBado hajatoa maamuzi, ni kweli anapenda Barca lakini mil 15 kwa mwaka sio haba kwa mchezaji wa miaka 22
Asante ngoja tufatilieSamahani saa moja jioni ndio inaendelea
15m kwa mwaka hii si ni karibu 300k kwa week? Kwa kitu gani special alichonachoBado hajatoa maamuzi, ni kweli anapenda Barca lakini mil 15 kwa mwaka sio haba kwa mchezaji wa miaka 22
Hapo hisia, mateso imechanganyika kivipi?Wapinzani wa Chelsea kwenye UEFA Champions League hii hapa