Kwanini si Xavi Simons Kwanza badala ya Garnacho?Barca wao wanacho angalia ni hela tu, mkifika bei mchezaji anauzwa. Inshu inabaki kwa mchezaji, na Lopez amekataa kuondoka Barca. Kwahiyo huo usajili haupo tena.
Suala la Xavi kuja Chelsea ni mpaka kati ya Jackson na Nkunku watoke bila hivyo sahau kuhusu Simons kuja Chelsea.
Usajili ambao upo kwa asilimia kubwa kufanyika ni wa Garnacho.
Kwanini si Xavi Simons Kwanza badala ya Garnacho?
Umeleza vizuri but nilivyosoma kwa Fabrizio ni kwamba ili garnacho na Xavi waje darajani ni lazima Nkuku na Jackson waondoke ndio maana nikahoji hapo inakuaje Chelsea inakamilisha deal la Garnacho ikiwa Nkuku na Jackson bado hawajasepaBro nime ku reply hapo juu kwamba ili huyo Xavi wako aje inabidi matakataka Jackson na Nkunku yatoke kwanza, bila hivyo sahau kabisa kumuona Xavi wako Chelsea labda kwenye ndoto ukiwa umelala.
Inshu kubwa hapo ni kubalance mahesabu kwenye daftari, endapo Chelsea ikafanya huo usajili bila hao takataka kutoka basi huko mbeleni tutapigwa rungu. Ndio maana unaona hilo dili limekuwa gumu sana, inshu sio hela, hela ipo.
Na suala la takataka Garnacho hilo halihusiani na mahesabu kwenye daftari, kinacho chelewesha hilo dili ni NYUMBU wanataka hela nyingi.
Umeleza vizuri but nilivyosoma kwa Fabrizio ni kwamba ili garnacho na Xavi waje darajani ni lazima Nkuku na Jackson waondoke ndio maana nikahoji hapo inakuaje Chelsea inakamilisha deal la Garnacho ikiwa Nkuku na Jackson bado hawajasepa
Garanacho haitaji Nkunku wala Jackson aondoke. Garnacho ni LW nafasi yake tayari iko wazi na ada yake inatarajiwa kuwa ndogoUmeleza vizuri but nilivyosoma kwa Fabrizio ni kwamba ili garnacho na Xavi waje darajani ni lazima Nkuku na Jackson waondoke ndio maana nikahoji hapo inakuaje Chelsea inakamilisha deal la Garnacho ikiwa Nkuku na Jackson bado hawajasepa
Hii timu sisi tuliicharaza 7-1Man U yatolewa Karabao na timu ya League 2. AIBU kubwa sana
Matokeo Grimsby 2-2 Man United
Matokeo ya penalti
Grimsby Town Football Club 12 pens
Man United 11 pens
View attachment 3455690
Kwahiyo hata Jackson alienda kwa mkopo Bayern haisaidii Xavi Simons kusajiliwa?Garanacho haitaji Nkunku wala Jackson aondoke. Garnacho ni LW nafasi yake tayari iko wazi na ada yake inatarajiwa kuwa ndogo
Anayetakiwa hasa kuondoka ni Nkunku ili Simons aje. Hao ndio wamefanana kwa nafasi wanazocheza mshahara na ada ya uhamisho
Kwahiyo hata Jackson alienda kwa mkopo Bayern haisaidii Xavi Simons kusajiliwa?
Dili la Nkunku tu ndilo lilikuwa muhimu kwa sababu kwanza litaingiza mapato halafu itaacha no. 10 kwa Palmer na Xavi akijaKwahiyo hata Jackson alienda kwa mkopo Bayern haisaidii Xavi Simons kusajiliwa?
Utakatataka wake ni upi?[emoji23][emoji23][emoji23] Huli wala hulali sababu ya Xavi Simons, pole sana kijana. Yule nae ni takataka tu
Huyo mchezaji City,Bayern, Tottenham walimuulizia na issue ikawa kwa mchezaji kutaka kuja kwa mabingwa wa Dunia hapo dhambi ipo wapi?Hii timu bado inahangaika na takataka kutoka rb Leipzig
Hiyo timu ni matapeli na wapigaji hata huyo takataka mnaetaka aondoke mmetapeliwa na hao jamaa na washajua nyie ndio wateja wao wazuri
Dili la Nkunku limekamilika kwa dau la Pauni mil 36.2 pamoja na clause ya mauzo hapo baadayeHuyo mchezaji City,Bayern, Tottenham walimuulizia na issue ikawa kwa mchezaji kutaka kuja kwa mabingwa wa Dunia hapo dhambi ipo wapi?
Dili la Nkunku tu ndilo lilikuwa muhimu kwa sababu kwanza litaingiza mapato halafu itaacha no. 10 kwa Palmer na Xavi akija
Ndio maana unaona Chelsea wamekubali mkopo kwa Jackson hakuna mapato yanaingia ila kwa Nkunku Chelsea imegoma kumtoa kwa mkopo. Dili zote mbili zinafanyika ndani ya masaa 24, Jackson kwenda Bayern Munich na Nkunku kwenda AC Milan
Kwa namna ninavyoona Chelsea tumeshamkosa Xavi SimonsDili la Nkunku limekamilika kwa dau la Pauni mil 36.2 pamoja na clause ya mauzo hapo baadaye
Dili la Jackson Chelsea wanasubiria hatma ya Alexander Isak
Dili la Garnacho nalo litakuwa limekamilika nadhani
Naona sasa Chelsea wataelekeza nguvu zote kwa Xavi Simons ambaye RB Leipzig wamemruhusu kuja London kwa Matibabu
Xavi tayari yuko London kwa matibabu aidha ya Spurs au Chelsea. Ameshazikubalia timu zote mbili ila Chelsea ndio kipaumbele yake
Kwa nini?Kwa namna ninavyoona Chelsea tumeshamkosa Xavi Simons