Hivi ili deal linaweza kujumuishwa kwa PRS ya UEFA champions leagueCarney Chukwuemeka kwenda Borussia Dortmund, HERE WE GO! Mpango umekamilika na mpango umethibitishwa.
Chelsea itapokea ada ya takriban €25m huku kipengele cha nyongeza na kipengee kizito cha kuuza kikijumuishwa, muhimu katika mpango huo.
Anselmino (uhamisho wa mkopo) na Carney (uhamisho wa kudumu) wote watafanyiwa uchunguzi wa kiafya siku ya Jumatatu.
View attachment 3451299
Hapana, UEFA wao wanaangalia bajeti ya wachezaji waliokuwa kwenye A-list ya kuanzia mechi za mtoano January 2025, Carney Chukwuemeka hakuwepo kwenye A-ListHivi ili deal linaweza kujumuishwa kwa PRS ya UEFA champions league
Hapana Uefa wanataka chelsea iuze wachezaji waliocheza conference msimu uliopitaHivi ili deal linaweza kujumuishwa kwa PRS ya UEFA champions league
Kisa umemfunga dogo aliyepanda Daraja basi unaona umewin maishaaa ee😂😂😂😂Nyie takataka
Mmeona wenzenu wamefungwa tano na arsenal kama nyinyi
Sasa jiandaeni kama hamtonyoa tutatumia majivu ya moto kuwakwangua mbaki vipara
Kama ni hivyo mbona Kama naona kutakuwa na ugumuHapana, UEFA wao wanaangalia bajeti ya wachezaji waliokuwa kwenye A-list ya kuanzia mechi za mtoano January 2025, Carney Chukwuemeka hakuwepo kwenye A-List
Ndio maana Chelsea wanafanya juhudi kuwauza Nkunku na JacksonKama ni hivyo mbona Kama naona kutakuwa na ugumu
Takataka mpya darajaniChelsea messages to those close to Garnacho in the last 24-48 hours: "Stay patient and wait, this deal will happen" (@FabrizioRomano @podcastherewego) #CFC
Hivi kun ashabiki wa Chelsea hajafurahia msimu wa 2024/25 ulivyoisha kwa kupata top 4 (UCL) na kubeba makombe makubwa mawili ya ulaya na Dunia? Kama yupo naomba tumchangie akapimwe na dokta mtaalamu wa mifupa na ubongo pale MOI au nje kabisaUjuaji ndio unawasumbuaga humu na kujiona mna haki ya kuhitimisha kila kitu mwisho mnabadilika
Wapo kakaHivi kun ashabiki wa Chelsea hajafurahia msimu wa 2024/25 ulivyoisha kwa kupata top 4 (UCL) na kubeba makombe makubwa mawili ya ulaya na Dunia? Kama yupo naomba tumchangie akapimwe na dokta mtaalamu wa mifupa na ubongo pale MOI au nje kabisa
Wapelekwe MilembeWapo kaka
Ulaya huko watu wapo seriously na wanachofanya acha kwetu hapa kele kibao.... uwezo wa huyu dogo ni balaa mnoRio Ngumoha
Ni mchezaji kweli kweli
Kafunga goli zuri na la ushindi kwa liverpool jana
View attachment 3453349
Je Chelsea watakuja kujuta kuuza dgo?Ulaya huko watu wapo seriously na wanachofanya acha kwetu hapa kele kibao.... uwezo wa huyu dogo ni balaa mno
Wapi ulisikia Chelsea walimuuza dogo?Je Chelsea watakuja kujuta kuuza dgo?
Wivu utakuua mkuu PSG,BAYERN 04,LIVERPOOL,wote hao ni chongoChongo kuwaburuza Vipofu kawaida mbona.
Je yupo kwa mkopo mkuuu naomba kufahamu samahniWapi ulisikia Chelsea walimuuza dogo?
Nimeelewa sanaa mkuu ,au hujui hata jukwaani la niniUlielewa bango ulilodandia ?