Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Lavia tapeliMuwe na utu na nafsi. Romeo Lavia na Wesley Fofana hawakuchagua kuwa majeruhi—majeraha yanavuruga taaluma, ndoto, na maisha.
Ni mnyama tu anayemshambulia mtu aliyepatwa na ajali. Hebu jiulize: je, umewahi kumshambulia ndugu yako anayebebwa tu nyumbani kwenu kwa sababu ya ajali?
Tuwaheshimu binadamu. Tuwaachie waliolazwa mikononi mwa madaktari, sisi tujikite kwa walioko wazima. Hakuna mchezaji anayejifanya majeruhi au tapeli.
Hii tabia ya kushambulia majeruhi ikome kabisa. Ushabiki wenye sumu kama huu ni wa kupiga vita. Tuwe mashabiki wa kweli—wenye huruma, heshima, na akili. ⚽💙
Mmmh mkuu kama juzi hyo crystal waliziba mianya ya pasi kwa kina palmer, na Enzo na kusababisha mechi kuwa ngumu mpk kina chalobah walishindwa kupiga direct passes wanaishia kupiga sideways passes inamaana Jackson angekuwepo mambo yangekuwa tofauti?😂Hivi ni kwanini Jackson akianza uwa tunapata nafasi nyingi ila tunashindwa kuzitumia vizuri hasipokuwepo uwanjani tunafika goli la mpinzani kwa mbinde
Ukweli utabaki kuwa lavia hamna kitu pale, hata James anapatwa Na majeraha Ila ubora wake unaonekana.Muwe na utu na nafsi. Romeo Lavia na Wesley Fofana hawakuchagua kuwa majeruhi—majeraha yanavuruga taaluma, ndoto, na maisha.
Ni mnyama tu anayemshambulia mtu aliyepatwa na ajali. Hebu jiulize: je, umewahi kumshambulia ndugu yako anayebebwa tu nyumbani kwenu kwa sababu ya ajali?
Tuwaheshimu binadamu. Tuwaachie waliolazwa mikononi mwa madaktari, sisi tujikite kwa walioko wazima. Hakuna mchezaji anayejifanya majeruhi au tapeli.
Hii tabia ya kushambulia majeruhi ikome kabisa. Ushabiki wenye sumu kama huu ni wa kupiga vita. Tuwe mashabiki wa kweli—wenye huruma, heshima, na akili. ⚽💙
Kocha anayemfundisha mwenyewe alisema Midfiled inakuwa balanced Romeo Lavia anapokuwa uwanjani, who are you from where are you speaking that.Ukweli utabaki kuwa lavia hamna kitu pale, hata James anapatwa Na majeraha Ila ubora wake unaonekana.
Mnaomtetea lavia Nyie mmekazana Na majeraha tuu, ila hata hizo mechi alizocheza em tuambieni amefanya nn cha maana
Mm namzungumzia lavia, Ww unaniletea story za fofana 😂Kocha anayemfundisha mwenyewe alisema Midfiled inakuwa balanced Romeo Lavia anapokuwa uwanjani, who are you from where are you speaking that.
Wesley Fofana kwenye RCB one of the best in the League na Maresca mwenyewe anatambua hilo. Akiwa mzima hakuna wa kumuweka Benchi pale kama yupo mtaje, sio Tosin wala Chalobah. Kwa kulia pale tuna Fofana na kwa kushoto yupo Levi Colwill hao ndio top CB wa Chelsea na hawakai benchi wakiwa wazima. Sijui huwa Chelsea mnaifuatilia wapi wazee, kwenye runinga, stori za vijiweni, Jamii forums au kwenye live score?
Ukweli kabisa akiwepo lavia panabalance vizuri sana ukijumlisha pia na Uwezo wake wa kuwa press resistant hata yule szobo wa liverkuku alisema midfielder mgumu zaidi aliyekutana naye epl ni Romeo lavia shida yake yeye ni injury prone .....fofana km sikosei akiwa Leicester aliwahi chukua best young player of the season just imagine beki anachukua hyo tuzo kabla ya kupata ile injury aliyopata pre season ya kuvunjika na kusababbisha kuukosa Msimu wote ....alafu mtu anakuja anasema Romeo lavia hamna kitu nashangaa au wao wamezoea mpk mtu atoe assist au afunge....😂 Kazi kwelikweliKocha anayemfundisha mwenyewe alisema Midfiled inakuwa balanced Romeo Lavia anapokuwa uwanjani, who are you from where are you speaking that.
Wesley Fofana kwenye RCB one of the best in the League na Maresca mwenyewe anatambua hilo. Akiwa mzima hakuna wa kumuweka Benchi pale kama yupo mtaje, sio Tosin wala Chalobah. Kwa kulia pale tuna Fofana na kwa kushoto yupo Levi Colwill hao ndio top CB wa Chelsea na hawakai benchi wakiwa wazima. Sijui huwa Chelsea mnaifuatilia wapi wazee, kwenye runinga, stori za vijiweni, Jamii forums au kwenye live score?
Pamoja na crystal kuzuia mianya lakini pia tukubali Enzo na Palmer hawakuwa Kwenye ubora wao na hili lazima tulisemeMmmh mkuu kama juzi hyo crystal waliziba mianya ya pasi kwa kina palmer, na Enzo na kusababisha mechi kuwa ngumu mpk kina chalobah walishindwa kupiga direct passes wanaishia kupiga sideways passes inamaana Jackson angekuwepo mambo yangekuwa tofauti?😂
Lavia ndio anaifanya team iwe balanced na iwe solid anarahisisha kazi ya Caicedo tofauti na Caicedo akicheza na Enzo, Caicedo anakuwa na kazi kubwa ya kukaba. Lavia analeta utulivu na confidence ya mabeki kuimarika kwasababu uwezo wake wa kuchukua mpira kwenye maeneo finyu kutoka kwa mabeki, upigaji sahihi wa pasi na kukaba vizuri. Lavia ndio mchezaji ambaye ni good resistance kiufupi ni ngumu kwa mpinzani kumkabaMm namzungumzia lavia, Ww unaniletea story za fofana 😂
Haya mkuu umeshinda 🙌
Nimemweka Fofana kwa sababu mliwaweka kwenye kapu moja kuwaita matapeli, mkome kabisa kuwashambulia wachezaji ambao wako kwenye shida tayariMm namzungumzia lavia, Ww unaniletea story za fofana 😂
Haya mkuu umeshinda 🙌
Uko sawa ila tatizo la msingi ni line breaking passes za Levi Colwill zilikosekana. Hakuna pale nyuma anayedhubutu kupiga hizo passi. Josh alijaribu mbili zikabuma akaogopa akaamua kucheza side na back passes tu na ndio hizo watu wanamsifia. Tosin anajaribu hizo pasi kidogo ila Chalobah na hao wengine hawawezi kucheza hizo pasi. Wewe tafuta tu comilation ya hizo pasi za Colwill utamheshimuPamoja na crystal kuzuia mianya lakini pia tukubali Enzo na Palmer hawakuwa Kwenye ubora wao na hili lazima tuliseme
Ni kwamba anaitaji apigwe bei kwa lazima iliali anajuwa tunatafuta mchezaji mbadala wa colwillWesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi
Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.
View attachment 3447046
Na mshahara wa £ 200,000/= nani hatamlipa huyu mfayakazi wa hospitalNi kwamba anaitaji apigwe bei kwa lazima iliali anajuwa tunatafuta mchezaji mbadala wa colwill
Mteteee mchejazi wa machela wenzako wakiongea wanaoneka hawajui mpira ona sasa upuuzialioufanyaWesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi
Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.
View attachment 3447046
Kwenye hilo kakosea, lkn sio kwa hayo mengine aliyokuwa anasemwaMteteee mchejazi wa machela wenzako wakiongea wanaoneka hawajui mpira ona sasa upuuzialioufanya
Timu lenu bovuWesley Fofana kaiondoa Chelsea kwenye ukurasa wake wa Instagram kama walivyofanya Wissa wa Brentford na Alexander Isak wa Newcastle. FDofana kafanya hivyo baada ya kutopewa dakika kwenye mechi ya Chelsea dhidi ya Crystal Palace licha ya kuwa kwenye benchi. Maresca alisema kuwa hakua na mpango wa kumpa Fofana dakika katika hiyo mechi
Huu ni Upumbavu na hapo sasa sitamtetea Fofana kwa sababu kwa akili yake timamu amefanya huo upuuzi kwa timu iliyomtunza akiwa majeruhi kwa miaka miatatu.
View attachment 3447046
Huyo ni mzee akili yake imeshazeekaMteteee mchejazi wa machela wenzako wakiongea wanaoneka hawajui mpira ona sasa upuuzialioufanya
Tosin na Colwil Hilo linajulikana ilikuwa ni wakati wa Palmer na Enzo kutuonesha ubora wao maana wao ndio wamebeba zamana ya kupiga pass Bali walitufelisha ila hawazungumziwi ila kazinguaga Jackson maneno huwa yanakuwa mengiUko sawa ila tatizo la msingi ni line breaking passes za Levi Colwill zilikosekana. Hakuna pale nyuma anayedhubutu kupiga hizo passi. Josh alijaribu mbili zikabuma akaogopa akaamua kucheza side na back passes tu na ndio hizo watu wanamsifia. Tosin anajaribu hizo pasi kidogo ila Chalobah na hao wengine hawawezi kucheza hizo pasi. Wewe tafuta tu comilation ya hizo pasi za Colwill utamheshimu