Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwenye hizi match za pre-season nimemuona bado Enzo Fernandez hayuko fit ndio maana nimemuweka sub
 
Xavi Simons amefuatwa na Bayern Munich seriously na timu zingine akawaambie yeye anaitaka Chelsea tu
Kuwa bingwa wa Dunia raha hadi mwisho
 
Huyo mchambuzi fala sana 😂
Mimi nampenda Jamie Caragher, uchambuzi wake kama hamjui hamaanishi ila anajua mashabiki wa Chelsea wengi watampa ujiko kwenye vyombo vya habari
Ni kwa sababu yake tunafurahjia matunda
Mimi naamini Jamie anafanya makusidi kwa sababu ya publicity, kuwachokoza mashabiki wa Chelsea ili wampetrafic kubwa na kulitaja jina lake kila sehemu na mwisho wake awe maarufu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…