Ushabiki wa team na chuki binafsi pia huchangia kwenye kutoa maoniNi vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?
Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.
Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.
THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Anavyozungumziwa Kama hivi ndio anapenda
Hao hawakuiweka kabisa Chelsea top 4 Msimu uliopita maneno yao hayashtuiNi vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?
Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.
Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.
THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Petrovic sio upgrade ya Sanchez japo kuwa Sanchez ni shatiMimi jambo nashangaa ni kumuua Petrovic alafu tukabaki na takataka Sanchez.
Tukisajili beki mzuri wa kucheza nafasi ya Colwill, nitaipa Chelsea angalau 60-70% ya kubeba ubingwaNi vigezo gani wanavyotumia Mapundits kuipa Liverpool ubingwa EPL msimu 25/26? Au kigezo cha kuwa bingwa mtetezi?
Kwa mawazo yangu naiona Liverpool haitabeba ubingwa 25/26 kwa sababu msimu huu top six team zimesajili wachezaji wengi wa kucover majeruhi na pia sidhani kama zitarudia kufanya ule uzembe wa kudondosha points ovyo kama walivyofanya 24/25.
Bingwa mtetezi atapata ushindani mkubwa sana kutoka kwa The blues na Arsenal na sio City.
THE BLUES anaweza kuwa bingwa Kwa Sababu imesharudi Kwenye njia ya kubeba makombe + kuboresha safu ya ushambuliaji ambapo ilituangusha sana msimu 24/25.
1. Chelsea
2. Liverpool
3. Arsenal
4. City
Unaonaje performance ya Petrovic ve Liverpool janaMimi jambo nashangaa ni kumuua Petrovic alafu tukabaki na takataka Sanchez.
Kocha mwenyewe ameshaonesha kuwa anahitaji beki haswa kupitia press yake kwake kipa Hana umuhimu ameridhika nao hawa walikuwepo tukimpa vitendea kocha ubingwa utakuwa nje njePetrovic sio upgrade ya Sanchez
Donnarumma sio upgrade ya Sanchez
Tuendelee kumtafuta mwingine
Mkuu haujaeleweka unamaanisha niniLeo vip Cp au ndio ana mzuka wa ubingwa
Unamaanisha Capricon Point au 😀 ⁉️😡Leo vip Cp au ndio ana mzuka wa ubingwa
Fofana haiwezi kuanza leo, kwa kipindi kirefu aliyokuwa nje huyo anaweza kupewa dk 10 au 20 tu mwishoniWadau mnataka Leo kikosi kiweje
1. Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.chalobah
5.Fofana
6.Caicedo
7.Pedro Neto
8.Santos
9.Joao Pedro
10.Cole Palmer
11.Gittens
Sasa hapo atacheza Nani?Fofana haiwezi kuanza leo, kwa kipindi kirefu aliyokuwa nje huyo anaweza kupewa dk 10 au 20 tu mwishoni
Wadau mnataka Leo kikosi kiweje
1. Sanchez
2.James
3.Cucurella
4.chalobah
5.Fofana
6.Caicedo
7.Pedro Neto
8.Santos
9.Joao Pedro
10.Cole Palmer
11.Gittens
JoshSasa hapo atacheza Nani?
Hapo sawa nilikuwa nimemsahau huyu dogoJosh
Naona lineup imetolewa kama nilivyotabiri-------------Joao Pedro--------------
Gittens --------Palmer -------- Neto
-----Enzo ------------Caicedo------
Cucurella ---Josh---Chalobah ---James
--------------Sanchez----------------
Namuweka Neto zaidi ya Estevao japo Estevao ni mzuri kwenye kushambulia ila Neto anajituma zaidi hadi kwenye ukabaji
Subs
1. Jorgensen
2. Wesley Fofana
3. Hato
4. Gusto
5. Santos
6. Essugo
7. Willian
8 George
9. Delap