Huyu ni wakawaida sana... Chelsea Kwa sasa inatakiwa ipate CBπ¨ BREAKING:
Gianluigi Donnarumma ameachwa nje ya kikosi cha PSG kwa UEFA Super Cup dhidi ya Tottenham.
Mahusiano na klabu yamevunjika kabisa β PSG tayari wamemsajili Lucas Chevalier kama mrithi wake.
π Uwezekano wa kuondoka msimu huu: 80%
π Kubaki hadi kuondoka bure 2026: 20%
Chelsea, mko tayari kumchukua?
β οΈ Udhaifu wake mkubwa:
#TransferNews #ChelseaFC #PSG #Donnarumma
- Footwork dhaifu kuliko hata Fili JΓΈrgensen
- Mzito sana kureact kwenye mashuti ya nguvu
Wanamshusha vipi mkuu?City wanamshusha Rodrigo. Pep mzee wa kukusanya point 3 mwishoni.
City wanamshusha Rodrigo. Pep mzee wa kukusanya point 3 mwishoni.
Mkuu hata mahali unapokaa kukiwa na takataka nahisi utakuwa unajisikia vibayaπSisi tunasajili matakataka kina Gittens
π¨π£ Chelsea wameongeza kasi ya mazungumzo ya kumsajili Alejandro Garnacho! Mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Chelsea na Manchester United yanaendelea kwa nguvu.Alejandro Garnacho bado anaisubiri Chelsea. Amezima simu hataki kuongea na timu zingine. Matarajia yake yote yako kwenye jiji la London. Naona labda ameshanunua nyumba ya kuishi hapo kama Willian alivyong'ang'aniaga London.
Yuko tayari huisubiri Chelsea hadi dakika ya mwsho wa dirisha la usajili.
View attachment 3438521
βΌοΈ Licha ya simu kutoka kwa Erik ten Hagβs Bayer Leverkusen na bosi wake wa zamani, ofa nzito na kubwa kutoka kwa Saudi Pro League, na hata ofa mapya kutoka Italia, Garnacho aliambia vilabu vyote 'hapana, asante'. Mpango wake ni kusalia Premier League na Chelsea mbele ya vilabu nyingine yoyote.π¨π£ Chelsea wameongeza kasi ya mazungumzo ya kumsajili Alejandro Garnacho! Mazungumzo ya moja kwa moja kati ya Chelsea na Manchester United yanaendelea kwa nguvu.
Garnacho ameeleza wazi kuwa anaitaka Chelsea pekee β masharti binafsi tayari yamekubaliwa, na sasa klabu zote mbili zinajadili ada ya uhamisho.
Garnacho anatarajiwa kuvalia jezi ya #CFC msimu huu wa joto. β³π΅
View attachment 3438754
Gittens sio takataka man..Sisi tunasajili matakataka kina Gittens
Huo ndio usajili nausubiriaVp kuhusiana na usajili wa Xavi Simons imekufa?
Naomba niweke mimi shahidi no. 1
Gittens sio takataka man..
Unatumia sana hisia kuLiko uhaLisia.. Gittens sio taka taka, punguza mihemkoMan, huoni sajili za wanao taka kupambania ubingwa? Liverpool wame fanya usajili wa Florian Wirtz na Hugo Ekitike, Arsenal wamefanya usajili wa Gyokeres na Man City ana mtaka Rodrigo. Sisi Chelsea ni tunasajili matakataka tu kama hao kina Gittens, Liam Delap na wengineo. Alafu wakati huo huo unataka uende ukapambane nao, hebu tuweni serious basi.
Sasa mkuu huyo Hugo Ekitike na Jackson Wana utofauti gani? au kwasababu Liverpool kamsajili kwa pesa kubwa? Sikia ni kwambie watu wanasajili kwa matakwa ya system ya kocha huyo Gittens unaemponda kasajiliwa kwa sababu ana fit mfumo wa MarescaMan, huoni sajili za wanao taka kupambania ubingwa? Liverpool wame fanya usajili wa Florian Wirtz na Hugo Ekitike, Arsenal wamefanya usajili wa Gyokeres na Man City ana mtaka Rodrigo. Sisi Chelsea ni tunasajili matakataka tu kama hao kina Gittens, Liam Delap na wengineo. Alafu wakati huo huo unataka uende ukapambane nao, hebu tuweni serious basi.
Falsafa ya Kocha ni tofauti kabisa na hao akina Slot na ArtetaMan, huoni sajili za wanao taka kupambania ubingwa? Liverpool wame fanya usajili wa Florian Wirtz na Hugo Ekitike, Arsenal wamefanya usajili wa Gyokeres na Man City ana mtaka Rodrigo. Sisi Chelsea ni tunasajili matakataka tu kama hao kina Gittens, Liam Delap na wengineo. Alafu wakati huo huo unataka uende ukapambane nao, hebu tuweni serious basi.
Mzee wa matakataka kwenye ubora wake π€£Licha ya majungu yote ila kumbe mwana bado anaamini tutabeba ubingwa,Sasa mbona anaponda sana hapa
View attachment 3439248