Itakuwa ngumu kwenye bei, tunaweza kumchukua hilo halina shaka ila sio bwerereee ndio nilimaanisha hivyoMchezaji ameshaonesha kuwa hataki kuendelea na team yake na amesema anaitaka Chelsea sizani Kama deal itakuwa ngumu
Hapo ndio itakuwa ngumu zaidi maana wanaweza aidha kung'ang'ania Euro mil 70 au wakapandisha dauCzan km ni gumu naona mpk Leipzig kwanza wamalizane na mambo ya sesko.....
Hii nimeisoma na ndio italeta shida. Chelsea walitakiwa wamnunue Xavi Simons kabla ya dili la Sesko kwa sababu Lepzig wanayo matatizo ya kifedha na Sesko kwa mil 80 minatatua matatizo yao yote na hivyo kwao dili la Simons sio la umuhimu tena hivyo watalazimisha tumnunue kwa mil 70 wanayotaka au wakabadilika na kupandisha dau ili kufanya mambo yawe magumu kwetu tu🚨UPDATES: Chelsea remain in advanced talks over Xavi Simons but no breakthrough yet for two reasons. Leipzig are focused on Sesko deal right now and then also Chelsea are focused on sales. Leipzig will clarify Xavi situation after Sesko deal.
Xavi Simons is waiting for Chelsea to complete their outgoings.
Nicolas Jackson is leaving Chelsea. It’s not a new news if you have been following the channel.
[via Fabrizio Romano]
Yote unayosema sahihi ila Hilo deal lazima litokee vyovyote vile hata kwa kubadilishana!Hii nimeisoma na ndio italeta shida. Chelsea walitakiwa wamnunue Xavi Simons kabla ya dili la Sesko kwa sababu Lepzig wanayo matatizo ya kifedha na Sesko kwa mil 80 minatatua matatizo yao yote na hivyo kwao dili la Simons sio la umuhimu tena hivyo watalazimisha tumnunue kwa mil 70 wanayotaka au wakabadilika na kupandisha dau ili kufanya mambo yawe magumu kwetu tu
Au wanaweza kulazimisha mikataba ya wachezaji wanaowatakla Chelsea kwenye win/lose situation
Hizi timu ndogo wao biahsara kub wa sio makombe bali kuuza wachezaji na hapo hawakosei
Leipzig wanawataka wachezaji wanne kutoka Chelsea
- Carney Chukwuemeka ,
- Tyrique George ,
- Axel Disasi &
- Renato Veiga
Kwa Imani kubwa tuna kikosi kipana moja Kati ya sababu iliyofanya tuishiwe pawa ni injury ya Lavia na hatukuwa na mbadala wake pamoja na kushuka kwa kiwango cha Palmer na inconsistency ya Jackson na Madueke ila kwa Sasa Palmer akizungua tuna Xavi Simons kwenye wingers tunaowakutosha kwenye strikers tunao na wapo serious ndio maana nimeipa nafasi team yanguChangamoto ya THE BLUES ni PAWA ya kukimbia mbio ndefu kukusanya point 3+ kila mechi. Na bet THE BLUES hii ya bwana Toddy itabeba UCL before EPL.
Hata humu ndani mashabiki wa Chelsea ikiongozwa na yule mzee wa takataka atakuja na theory za boflo na wamiliki wafanyabiashara ....na mzee wa jobbtruetrue sahv huwaoniArsenal wameshindwa mechiz ao zote za Pre-seaosn. Ingekwua ni Chelsea hayo makelele ya hao viropoka wa Arteta tungekuwa hatulali kwenye vitanda vyetu
🤣🤣🤣Hata humu ndani mashabiki wa Chelsea ikiongozwa na yule mzee wa takataka atakuja na theory za boflo na wamiliki wafanyabiashara ....na mzee wa jobbtruetrue sahv huwaoni
Priority Xavi Simons huyu hatumtakiBREAKING NEWS: Chelsea wameanza mazungumzo ya awali kwa Alejandro Garnacho, huku winga huyo wa Manchester United akihaha kuhama.
Manchester United wanataka zaidi ya pauni milioni 40, lakini Chelsea wanahisi bei itashuka iwapo uhamisho wa Benjamin Sesko utakamilika.
@alex_crook
@JacobsBen
View attachment 3434935
Wewe na nani, na mmekaa lini kumkataa Garnacho. Huyu tayari ni mchezaji wa Chelsea. Ni procedures to za kumleta darajani zimesaliaPriority Xavi Simons huyu hatumtaki
Garnacho bonge la mchezaji, sema yupo kwenye timu mbovu.Priority Xavi Simons huyu hatumtaki
View attachment 3435275
Kuna hiyo mechi tumecheza trh 26July tukachenyetwa, mbona hatuna taarifa nayo?
Hatuwezi kuwafunga mashaolin master, kuna haja gani wachezaji kuvunjwa kiuno pre season
Wachezaji walikuwa likizo. labda veterans ndio waliochezaView attachment 3435275
Kuna hiyo mechi tumecheza trh 26July tukachenyetwa, mbona hatuna taarifa nayo?
Hyo mechi waliocheza vijana wa under 18 huko Ina maana umeshindwa hata kuangalia line up zilizocheza?…..kweli job true true😂View attachment 3435275
Kuna hiyo mechi tumecheza trh 26July tukachenyetwa, mbona hatuna taarifa nayo?