Mzee wa mbususu nahisi utakuwa unashabikia nyumbuzMa jngwa wa dunia vipi mnajipa gaje na msimu ujao
Nyumbuz ndio nani hao?Mzee wa mbususu nahisi utakuwa unashabikia nyumbuz
Lavia ni injury prone that is true lakini huwa akiwa Hana majeraha huwa anaonesha kiwango kikubwa ni Kama James akirudi tu uwanjani huwa anakiwasha Kama vile hajatoka kwenye majeraha ndio maana watu hawamlalamikii kivile ila tulikuwa na wachezaji Kama Madueke na huyu mwenzake Jackson huwa hawana injury lakini viwwngo vyao uwanjani vinaongeza ugonjwa wa kisukariMm nimeuliza lavia ameisaidia nn timu, watu wanaishia kusema jamaa anajua Ila majeraha ndo yanamrudisha nyuma 😂 nabaki kucheka tuu
Kwahiyo wewe Huna team yoyote unayoishabikia ulayaNyumbuz ndio nani hao?
Mie nashabikia atalanta ya italia. Huko ni goal goal
Mie mpenzi wa mpira sio shabiki wa timuKwahiyo wewe Huna team yoyote unayoishabikia ulaya
Ni ww sasa umepata House girl mchapa kazi, umekaa nae mwaka mzima kila siku yeye nikuumwa, ukipiga hesabu siku alizifanya kazi ni kama mwezi mmoja miezi yote yupo kitandani, utaendelea kukaa nae? Kuumwa kupo ila kukizidi sana pia ni tatizo.Yani ninyi mashabiki mnataka mchezaji akipata majeraha tu auzwe?, Kwa hiyo James angeuzwa kisa majeraha,Lavia auzwe kisa majeraha,palmer akipata majeraha auzwe!!!, sa hiyo itakuwa timu au kikundi cha wahuni!!!?.
Yani timu ikuthamini ukiwa mzima tu basi sio, ni nani ambaye huwa haumwi au kupata changamoto katika kazi anayofanya awe ameajiliwa akiumwa basi aachishwe kazi au mnahisi wanajivunja ili wapumzike?, hakuna timu ya hivyo dunia isiyovumilia majeruhi ya mchezaji na haitatokea wachezaji wasipate majeruhi iwe ya mda mfupi ama mrefu,hivyo tuwe mashabiki wa kusupport pande zote mchezaji anapokuwa ndani ya uwanja na nje ya uwanja kwa sababu ambazo hajazisababisha kwa kusudio.
Hapo sawa umetishaMie mpenzi wa mpira sio shabiki wa timu
Vipi kuhusu wachezaji ambao hawana injury Kama Madueke na Jackson alafu na viwango wanavyoonesha uwanjaniNi ww sasa umepata House girl mchapa kazi, umekaa nae mwaka mzima kila siku yeye nikuumwa, ukipiga hesabu siku alizifanya kazi ni kama mwezi mmoja miezi yote yupo kitandani, utaendelea kukaa nae? Kuumwa kupo ila kukizidi sana pia ni tatizo.
Takataka huyu ,simpendi kichizi .Chezaji gani la kucheza mechi moja linaenda kitandani miezi 7 ?Wesley Fofana yuko fiti kabisa na atafanya mazoezi na timu kesho
View attachment 3429751
Ndio mana wote ni wa kuuza hawana faida kwnye timu, wanajaza tu nafasi wanazuia wachezaji wenye uwezo kununuliwa.Vipi kuhusu wachezaji ambao hawana injury Kama Madueke na Jackson alafu na viwango wanavyoonesha uwanjani
Hii ni takataka.Wesley Fofana yuko fiti kabisa na atafanya mazoezi na timu kesho
View attachment 3429751