Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

George anapelekwa mkopo bado hajakomaa kwa mtizamo wa kocha, muwe mnafuatilia vinavyojiri kule darajani. Maresca anahitaji timu ya wachezaji wachache wenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi ili kutoa flexibility na idadi isizidi 25 ila naona inaweza kufika hadi 27
 
Mlundikano uko wapi. Ebu onyesha kwa sababu mimi nimetowa posible squad ya wachezaji 26/27 ambayo ndio standard ya kikosi kidogo kwani vikosi vyingi EPL vinazidi wachezaji 30. Hao wachezai uliowataja wana nafasi zao na nimeonyesha hapo kwenye kikosi. Hata kama Neto atacheza LW lakini nafasi yake hasa ni RW na hatuwezi kuacha kusajili LW eti kwa sababu Neto anaweza kucheza LW. Hii itakuwa ni bad decision making

Vyanzo vya Chelsea vinasema wanataka kumpa Maresca kina cha kutosha cha kikosi cha kurotate maeneo yote ya timu saa nyingine bila hata kubadili wachezaji wa kwenye benchi.

 
Huyo jamaa kila mchezaji anamtetea, haijalishi ni mbovu au yupo vizuri.yeye ni kusifia tu. Lavia ni mzuri sawa lakini hana msaada. Unajisifia una mke mzuri halafu hazai.
Mm nimeuliza lavia ameisaidia nn timu, watu wanaishia kusema jamaa anajua Ila majeraha ndo yanamrudisha nyuma πŸ˜‚ nabaki kucheka tuu
 
Wakati wa huko nyuma na ikazidi wakati wa Pochettino wachezaji kuwa majeruhi kila mara. Tumpe Enzo Maresca maua yake
James alishindikana lakini msimu huu ameisaidia timu kwa mechi nyingi sana
Pedro Neto kule Wolve alikuwa ni wa kitandani mara kwa maar ila alipokuja Chelsea kacheza msimu mzima bila majeruhi.
Naamini Wesley Fofana na Romeo Lavia watapatiwa dawa msimu ujao nao majeruhi yatakoma
Historia ya Majeraja ya Pedro Neto
2020-21: Jeraha la goti - nje kwa siku 298, alikosa michezo 52.
2022–23: Alikosa michezo 27.
2023–24: Alikosa 11 kwa tatizo la misuli ya paja.
2024 - 25: Hakupata majeraha
 
Mm nimeuliza lavia ameisaidia nn timu, watu wanaishia kusema jamaa anajua Ila majeraha ndo yanamrudisha nyuma πŸ˜‚ nabaki kucheka tuu
Hata ka James tulisema hivyo hivyo alipokuwa anenda maheruhi kilpoa mara. Romeo Lavia hatuwezi kumuachia hivi hivi tutakuwa mabumunda wa mwisho duniani badala ya kumtafutia dawa tunakuja na masuali ya hovyo hivi ameisadia nini timu? kweli?
 
Niulize mashabiki wa Chelsea
Hivi kuwa shabiki maana yake nini?
Kukosoa kila kitu uongozi unafanya?
Sikatai kuhoji baadhi ya mambo kama yanafanywa ndivyo sivyo kwa sababu ndio njia sahihi ya kuonyesha hisia zetu.
Ila Chelsea inakoelekea sasa hivi tunahitaji kusuport zaidi uongozi na kocha na wamiliki
Mnajua mimi ninavyojua na kuweza kukosoa mambo yakienda vibaya. Ila napenda nionyeshe furaha na hisia zangu chanya kwa wamiliki, uongozi na kocha pale timu inapotutoa kimasomaso
Chelsea imetutolea aibu mwaka huu, ndani ya wiki sita wamebeba makombe mawili tena wakati dunia nzima ilikuwa inabeza Chelsea, wachezaji na kocha wakiwemo mashabiki wa Chelsea wenyewe
 
My point ni kuwa tayari tumejitosheleza hata asipokuja Garnacho nikakuonesha kuwa kwenye upande wa kushoto tuna Gittens lakini hata tukimtoa kwa mkopo George Kama unavyosema still Kuna Xavi Simons tumeifunga kazi na tukija upande wa kulia Kuna Neto na Estevao tumeifunga kazi tukija kwenye no 10 Enzo anaweza kucheza hapo lakini pia Kuna Palmer maana yake inatoa room kwa Lavia, Santos kucheza sambamba na Caicedo au Essugo kwa maana hiyo umuhimu wa Garnacho unakujaje hapa? Hii ndio imefanya Joao Felix anunuliwe hata msimu haujaisha katolewa kwa mkopo na now tumeuza hivyo ndio inasababushwa unnecessary signing Kama za kina Garnacho
 
Anayepanga timu si SD na Kocha? au na sisi mashabiki tunapanga yetu πŸ˜€
Inaweza ikawa kweli Maresca hamtaki Garnacho kama ambavyo source zingine zinadai Maresca hakumtaka Joao Felix mwaka jana ila wakalazimisha
All in all ila hawa wamiliki wanasajili wachezaji wa aina mbili
1) Wale ambao kocha anawataka na ameidhinisha
2) Pia wanasajili opportunity player. Wale wachezaji wa fursa klwa maana ya aidha wako free agent kama ilivyokuwa kwa Thiago Silva au Tosin na au release clause yake iko chini kwa ilivyokuwa kwa Liam Delap na au anatakia kuondoka kwenye timu yake kama ilivyo kwa Alejanro Garnacho. Kama kweli Kocha hanja mpango na Garnacho basi kwa mil 30 huyo atakuja kuuzwa hata mil 60 hadi 70 baada ya msimu mmoja au miwili akipata minutes za kumfanya aonekane
 
Kwenye hili kocha tumpe tano na pia imechangiwa na rotation anaofanya imesaidia sana lakini pia kwenye kutengeneza identity ya team, kuunganisha wachezaji kuwa kitu kimoja
 
Hapo nimekupata umeeleza vizuri
 
Kwa
kwan we Lemb huoni namba moja wachejazi wa 4 wote halafu kibaya zaidi kuna mchejazi kila shabiki wa Chelsea anatamani kumuona kma Estevao nilitami kuwe na kipengere kucheza kwake ni lazima wengine ndio wasubili maana naona kabisa anakwenda kutolew kwa mkopo maaana Garnacho kwa Estevao ni bora sana ila kwa ujinga wa mwalimu mweupe huyu atamuweka bench kisa upuuuz ngoja Ligi ianze ndio mtajua kuwa Timu yetu bado ni ujinga mtupu
 
Kule ndani ya Cobham Maresca anajulikana kama Master wa rotation. Hana starting XI na hataki kuwa nayo. Na hii inajibu vizuri kwa nini Kocha anawataka wachezaji wanaweza kucheza nafasi nyingi. Kikosi cha wachezaji 25 inaweza ikafanya kazi zaidi ya kikposi cha wachezaji 40. Yajayo yanafurahisha zaidi
 
Hata kuripoti hajaripoti na mmeshaanza kumwaga sumu. Ngoja kwanza aje halafu uone. Maresca anamjua sana Estevao na Estavao alimsalimia kwenye kombe la dunia vizuri sana kwa lile goli la kitaalamu ambaye aliyewahi kufunga goli kama hilo ni Lampard pekee yake. Huyo ni hotcake msiwe na wasiwasi. Plan ya Marecsa msimu ujao ni kufanya rotation kuhakikisha wachezaji wote 25-27 atakaobaki nao wanaridhika, Maresca anajua dhamani ya mchezaji kuwa happy na ndio maan kawatoa wote wanaolalamika na wasiofit kwenye mfumo wake. Taarifa za ndani ya Chelsea zionasema kuwa Maresca hatakuwa na Starting XI na wala hapendi kuwa nayo maana yake kila mchezi ni starting XI kupitia rotation labda tu mchezaji ashin dwe kucheza vizuri ndipo atakapotemwa benchi kwa muda mrefu
 
MUDYK mvuta bangi haiwezekani kuuzwa au mpaka amalize kifungo?
Bado hajahukumiwa. Akiisha hukumiwa kifungo, itategemea ni miaka mingapi. Anaweza akahukumiwa miak michache na Chelsea ikamsubiri au akahukumiwa miaka minne akakata rufaa kama Pogba au Chelsea wakajadiliana naye kutengana kupitia win/win situation. Ila sasa bado mchezaji wa Chelsea na mkataba wake ni hadi 30 June 2031
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…