Kwa uchezaji wake hachezi direct CM lakini ni NO. 10 au CAM. Hii ya central attacking midfiler au advanced no. 8 ndio has natural position yake, Thomas Tuchel anaita Half-winger-Half- 10 ambayo humpa uhuru wa kufanya ubunifu wakeMkuu natural position ya Xavi ni AM, CM na RW, Hizo nyingine zinabaki kuwa zile kwakua ni mchezaji akipangwa position yoyote anaweza toboa lakini sio perfect fit kwake kama hizo nilizotaja
Nkunku hajaflopWachezaji wengi wakitoka Leipzig kuja chelsea wanaflop, TIMO WERNER, CHRIS NKUNKU HILI DEAL LA XAVI SIMON.... ISIJE IKAWA Marudio.... Kuna sajili hazikwenda vizuri mojawapo joao felix ...
Kocha atakuwa na kazi sana ya kufanya rotation. Estevao atawaweka benchi wachezaji wengi hutaaminiHivi dogo Estavio kwa maana hiyo atakuwa anatokea bench sio,kama Xavi Simons atasajiliwa
Man City bado kabisa, kizuizi cha kubeba EPL mimi naona ni Liverpool pekee yake. Sio Arsenal wala Man CityLabda Chelsea FC itaweza kubeba UEFA CL ila EPL ngoja kidogo tuangalie, kumbuka 2024/2025 Man City katoka bila kombe lolote, unadhani 2025/2026 ni rahisi kwa Man City na Liverpool kutobeba kombe lolote?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Sikupingi kwenye hili maana dogo wa moto sanaKocha atakuwa na kazi sana ya kufanya rotation. Estevao atawaweka benchi wachezaji wengi hutaamini
Team ambazo zimesajili vizuri na kututisha sisi ni Liverpool na Arsenal basi, usiichulie Arsenal poa wapo vizuriMan City bado kabisa, kizuizi cha kubeba EPL mimi naona ni Liverpool pekee yake. Sio Arsenal wala Man City
Ubovu wa Man City ni kwamba usajili waliofanya hautaleta mabadiliko yeyote. Usajili pekee unaoonyesha mabadiliko ni ule wa January wa Omar Marmoush
Arsenal wamesajili takataka wetu halafu waje kutusumbua, hakuna hata kidogo
Liverpool inategemea sana form ya Florian Wirtz na Hugo ikiboom bumba bamba wameliwa nao na EPL ni yetu
Umemchambua vizuri tuombe tu deal lisi collapseKWA NINI XAVI SIMONS ANAFAA ZAIDI KWENYE MFUMO WA ENZO MARESCA?
Xavi Simons ni kama amezaliwa mahsusi kwa ajili ya mfumo wa Enzo Maresca ndani ya Chelsea. Haya ndiyo yanayomfanya awe chaguo moto sana:
Uelewa wa Kiufundi na Uwezo wa Kubadilika
Kubeba Mpira na Ubunifu
- Simons ni mzuri sana kwenye mifumo ya kushambulia yenye kubadilika sana, ambayo ndiyo haswa Maresca huitekeleza: kubadilishana nafasi, mzunguko wa nafasi, na transitions za haraka.
- Anaweza kucheza kama namba 10, winga wa kushoto, au winga wa kulia anayekata ndani, kumruhusu Maresca kubadilisha mfumo katikati ya mechi bila kufanya mabadiliko ya wachezaji.
Kupress na work rate
- Mfumo wa Maresca unategemea wachezaji wanaoweza kubeba mpira kwenye maeneo finyu, kuvunja mistari ya ulinzi, na kuweka overload. Simons hufanya haya kwa ustadi mkubwa kupitia uwezo wa ke wa ball control na dribbling ya kiwango cha juu.
- Uwezo wake wa kupenyeza pasi na kuunganisha uchezaji unamkamilisha Cole Palmer, hivyo Chelsea huweza kujenga mashambulizi ya safu nyingi zenye ubunifu.
Uchezaji wa kubadili nafasi kulingana na game inavyokwenda
- Simons si mchezaji wa mbwembwe tu, ni mchezaji anayepress kwa bidii sana kama Joao Pedro na kwa umakini mkubwa, jambo linaloendana na pressing na ball transition anayotaka Maresca.
- Ni injini kubwa kwenye kufuatilia opponents akiwa hana mpira na kurudisha umiliki wa mpira na hili ni jambo lisilobishika kwenye mfumo wa Maresca.
Mentality yake na Uwezo wa Kukua
- Maresca hupendelea kutumia nafasi mseto, kama vile "winga nusu, namba 10 nusu"—na Simons huingia kwa urahisi kwenye nafasi hiyo.
- Ana uwezo wa kukata ndani kutoka pembeni au kucheza kati ya mistari, jambo linalofungua buildups nyingi ya kufunga magoli.
KARIBU XAVI SIMONS CHELSEA!
- Simons ni kijana mdogo wa miaka 22 tu, mwenye njaa ya mafanikio na uelewa wa kimbinu, akiendana kikamilifu na maono ya muda mrefu ya Chelsea na mtindo wa kukuza vipaji wa Maresca.
- Tayari ameonesha ubora wa uongozi akiwa PSV na Leipzig, na anaweza kuwa mhimili muhimu ndani ya Stamford Bridge.
Man City bado kabisa, kizuizi cha kubeba EPL mimi naona ni Liverpool pekee yake. Sio Arsenal wala Man City
Ubovu wa Man City ni kwamba usajili waliofanya hautaleta mabadiliko yeyote. Usajili pekee unaoonyesha mabadiliko ni ule wa January wa Omar Marmoush
Arsenal wamesajili takataka wetu halafu waje kutusumbua, hakuna hata kidogo
Liverpool inategemea sana form ya Florian Wirtz na Hugo ikiboom bumba bamba wameliwa nao na EPL ni yetu
Kijana usikariri sana maisha man city msimu huu hawawezi kutisha nimeona namna wanavyocheza kwenye michuano ya kombe la Mabingwa wa vilabu na aina za sajili walizofanya sio za kutisha Kama misimu mingine.team ambazo zitakuwa washindani wetu ni Liverpool na Arsenal onlyMkuu Pep Guardiola ni Kocha mkubwa sana mwenye uzoefu wa kutosha, kumbuka EPL ilivyo ngumu ila Pep aliwahi kubeba kombe hilo akiwa hana pure strikers zaidi ya viungo pekee, pia kubeba treble trophies hadi makombe manne kwa msimu mmoja UK si ishu ya kubeza sana mbali na mafanikio aliyowahi kuyapata akiwa Hispania, Ujerumani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Pamoja na ushindani wa EPL but pia tuna nafasi ya kushinda kwasababu tuna upana wa kikosi tunaweza tukaamua Delap akaanza mbele Joao Pedro tukampuunzisha balaa litakuwa lilelile au Estevao wakabadilishana na Pedro Neto n.kTufocus kwenye UEFA. Hakuna timu ya kutuzuia kubeba kombe
Ni kweli ila kujiamini kwa kiasi pia ni mbinu nzuri ya kuwa na tahadhari na nidhamu kwa washindani wako mbali na kujiamini kwa 100% huleta madhara makubwa kama ilivyotabiriwa PSG FC vs Chelsea FC duniani kote ila hatimaye matokeo yalikuwa ndivyo sivyo.Kijana usikariri sana maisha man city msimu huu hawawezi kutisha nimeona namna wanavyocheza kwenye michuano ya kombe la Mabingwa wa vilabu na aina za sajili walizofanya sio za kutisha Kama misimu mingine.team ambazo zitakuwa washindani wetu ni Liverpool na Arsenal only
Mimi binafsi sikushangazwa na Chelsea kushinda labda idadi ya magoal mpira ni mchezo wa wazi sababu kuu ya wadau wengi kumpa nafasi PSG ni kwasababu Chelsea imepita njia nyepesi tofauti na Njia aliyopitia PSG na namna alivyokuwa anawagonga giant team lakini sio kwamba Chelsea ilikuwa mbovu au ya kawaida.kijana mpira huwa ni mchezo wa wazi ndio maana namekwambia hivyoNi kweli ila kujiamini kwa kiasi pia ni mbinu nzuri ya kuwa na tahadhari na nidhamu kwa washindani wako mbali na kujiamini kwa 100% huleta madhara makubwa kama ilivyotabiriwa PSG FC vs Chelsea FC duniani kote ila hatimaye matokeo yalikuwa ndivyo sivyo.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
PEP kama hana wachezaji wanaofaa kwenye mfum o wake hawezi kufanya lolote hujamfuatilia Mahres alipoondoka, sas KDB kaondoka, mpikaji wa Haaland hayupo tena. Sidhani kama Man City itafanya vizuri zaidi ya ChelseaMkuu Pep Guardiola ni Kocha mkubwa sana mwenye uzoefu wa kutosha, kumbuka EPL ilivyo ngumu ila Pep aliwahi kubeba kombe hilo akiwa hana pure strikers zaidi ya viungo pekee, pia kubeba treble trophies hadi makombe manne kwa msimu mmoja UK si ishu za kubeza sana mbali na mafanikio aliyowahi kuyapata akiwa Hispania, Ujerumani.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
Jackson si mzuri kwenye kuscore ila kwenye kutengeneza nafasi yuko vizuri , si mchoyoGarnacho atatufaa sana kwenye long ball kwani anayospeed na pia 1x1; shida yake ni kukosa consistency.
Ila naombea sana takataka Sterling aondoke mapema sana anatujazia nafasi bure...Jackson aachwe ila asipewe majukumu ya kufunga.
Kingine nashindwa kuelewa Chelsea priority yao ni Nani Kati Xavi Simon au Garnacho
Wakati mwingine tuna deal na mental health bila kujuaHuyu jamaa enu kila mtu Chelsea kwake ni takataka,,,, kazi ipo !
Tumuulize swali ! First eleven ile iliyochukua CWC ni mchezaji gani anaona anaifaa the blues ?
Kocha gani anaona amrithi maresca ?
Timu inapanda kigraph au inadidimia ?
Baada ya kina Boel kuinunua timu yapi manufaa? Ama kila kitu takataka?