Bingwa wa UEFA kuanzia 2025 hadi 2028Vigezo gani wanatumia kupata team zinazoshiriki
Mabingwa wa UEFA 4 kuanzia 2025 - 2028Points kutokana na performance za kwenye international tournament kwa miaka minne kabla ya kuchezwa kombe la dunia.
Wakuu watakuja kuelezea vzr namna ya kuzipata hizo points Mpaka kucheza kombe la dunia
Arsenal wana masihara kama tumbiliHatujaanza pre season ila tutashiriki kikombe fulani hivi hakina tofauti na hicho. Tutakichukua ila tutakiweka store sio kabatini.
mwambie kabisa Baku ndio atashtuka kwanzaEuropa π
Bingwa wa Dunia unamtishia nyau tuna JPView attachment 3405551
Mmejipanga lakini majirani? Maana hamtakutana na Madueke kama mnavyodhania
Nyinyi mtaishia kusajili ila makombe yatakuwa yanaenda ChelseaKule mnakuja kumsifia Madueke kama ndiye leader wa safu yetu ya ushambuliaji
Nyie mtaishia kushusha vyuma ila makombe yataendelea kujazwa pale darajaniHabari zenu aisee. Hongereni kwa kuchukua CWC.
Pia msione kama ni lazima sana kuja kupost post kombe kule kwetu mkifikiri hatujasikia.
Ni kwamba tu tuko bize tunashusha vyuma.
Je kwa Chelsea nayo imefuzu moja kwa moja kwa kuchukua kombe hiliBingwa wa UEFA kuanzia 2025 hadi 2028
Timu 8 zenye coeficient kubwa wataungana na mabingwa wanne kama ni tofauti wa kila mwaka
Kwa sasa timu ambayo imfunzu kwenye michuano hiyo kama ilivyokuwa Chelsea 2021 ni PSG kwa sababu wao ndio mabingwa wa 2025
Nchi mwenyeji pia inanafasi moja
Hapana lazima tupambane kwenye champions league FIFA hakuna hayo mambo same Argentina lazima apambanie nafasi kwenye next tournamentJe kwa Chelsea nayo imefuzu moja kwa moja kwa kuchukua kombe hili
hapanaJe kwa Chelsea nayo imefuzu moja kwa moja kwa kuchukua kombe hili
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Wapigeni tena Nyumbu Β£65m nyingine kwa Nkunku halafu mkachukue mashine nyingine pale Spurs Pedro Porro ili mkamilishe utatu mtakatifu wa kina Pedro (Pedro Neto, Joao Pedro na Pedro Porro)Joao Pedro ameshinda [emoji966] bila kuwa na locker Cobham wala hajawahi fanya mazoezi Cobham na wala haijui dressing room ya Chelsea
Gittens atawalaumu sana Dortmund kwa kumnyima [emoji966]
Sancho huko aliko anamlaumu agent wake
Kumbe unaongelea wapinzani wetuNdugu unajua mimi chama gani? Dunia nzima iliamini Chelsea haitoboi kama unabisha nenda majukwaa ya Man Utd na Arsenal usikie wanavyosema au wanavyoandika kuhusu Chelsea
Yaani jana ilikuwa ni Chelsea dhidi ya Dunia nzima, walitunyanyasa sana, walitutukana, wakasema sisi ni mess sasa hivi hao pundits uchwara wako wapi. So ile fainali haikuwa dhidi ya PSG, wala wao hawana makosa kabisa ila Dunia iliyokuwa against Chelsea mara timu ya mabilioni, wachezaji wengi, watoto wadogo. Project itaishia kufeli. Baada ya Chelsea kushinda jana dunia imekaa kimya.Kumbe unaongelea wapinzani wetu
πππ
Kukosekana kwa Caicedo wamezinguaMarc Cucurella, Enzo Fernandez, Pedro Neto na Cole Palmer kwenye timu bora kabisa ya Dunia
View attachment 3405814