Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,065
- 27,480
Wachezaji watapumzika lini? Warudi lini kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuuSisi ndio tutaanza kwa kishindo kikubwa kwa sababu hii ni preseaosn msisahau hili. Baada ya hapa hakutakuwepo na any other serious preseaosn zaidi ya kuwarm up tu kwa ajili ya ligi. Mchezaji anayemiss hapa ni Gittens tu na watakaosajiliwa ambao sio kwa umuhimu
Taarifa zinasema kuwa Chelsea wataenda pre seaosn pale Cobham tu na watacheza na AC Milan na Levakusen . Haya ni kama mazozezi ya kawaida ya kujiandaa na ligi kwa hiyo hakutakuwepo na kusafiori popote
Sio rahisi aseeh. Hao wanaperform game moja inayofata wanachomaMimi siamini kwenye Bali naona momentum ya team itakuwa high kitu ambacho kocha atakifanya pre-season atawapa nafasi wachezaji ambao hawapati nafasi Kama Essugo, Santos n.k ili waoneshe uwezo wao ukoje alafu wengine watakuwa wanapumzishwa
Wachezaji wa Chelsea wamepangiwa kupokea kiwango cha chini cha lazima cha mapumziko ya wiki 3. Kurejea Cobham kwa mazoezi ya kabla ya msimu karibu Agosti 5, huku mechi mbili za kirafiki zikipangwa na Bayer Leverkusen mnamo Agosti 8 na AC Milan mnamo Agosti 10.Wachezaji watapumzika lini? Warudi lini kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu
Hao wote Maresca anaweza kuwapanga kucheza LBHao uliomention unamaanisha Nini?
Ndio maana timu inabidi ziwe na squad kubwa ili kuwa na pumzi , kuwa na kundi kubwa la wachezaji na kuwafanyia rotation ndio solution , mliona msimu uliopita hata wale Nottingham walivyokuwa wanachekwa kwamba wanasajili wachezaji wengi ,ila mliona moto wao mpaka mwisho wa ligi .,Sasa hivi michuonano ni mingi hata hawa akina Jackson tusiwauze tiwaache Tu watatufaa kwenye hata carabao ,FA nk ,mzigo mkubwa mpaka mwisho wa msimu na hapo bado majeruhi na tunashindana UEFA piaLigi ya EPL inaanza mwezi wa nane, mwezi huu wa saba kuelekea katikati ndio tutamaliza hii michuano ya FIFA CWC. Sasa wachezaji watapumzika kwa muda gani? Waje warudi pre season wapate walau wiki mbili za mazoezi ndio waje kuanza ligi!
Naamini tutaanza kwa kuchechemea sana.
Daah kama ni hivi sawa japo nahisi huko mbele wapewe mapumziko kwa kuwapunguzia mechi. Yan rotation ya wachezaji itatawala sanaWachezaji wa Chelsea wamepangiwa kupokea kiwango cha chini cha lazima cha mapumziko ya wiki 3. Kurejea Cobham kwa mazoezi ya kabla ya msimu karibu Agosti 5, huku mechi mbili za kirafiki zikipangwa na Bayer Leverkusen mnamo Agosti 8 na AC Milan mnamo Agosti 10.
[@kierangill_DM]
Yes hata mimi naona rotation itakua kubwa sana.Ndio maana timu inabidi ziwe na squad kubwa ili kuwa na pumzi , kuwa na kundi kubwa la wachezaji na kuwafanyia rotation ndio solution , mliona msimu uliopita hata wale Nottingham walivyokuwa wanachekwa kwamba wanasajili wachezaji wengi ,ila mliona moto wao mpaka mwisho wa ligi .,Sasa hivi michuonano ni mingi hata hawa akina Jackson tusiwauze tiwaache Tu watatufaa kwenye hata carabao ,FA nk ,mzigo mkubwa mpaka mwisho wa msimu na hapo bado majeruhi na tunashindana UEFA pia
Haya ni matusi na nafasi zao halisi atacheza Nani?Haoi wote Maresca anaweza kuwapanga kucheza LB
Ndio maana Maresca anawapenda wachezaji kama akina Joao Pedro anayecheza nafasi nyingi ili ikitokea pengo wazibe bila gharama. Maresca sasa hivi anahangaika tu na washambuliaji. Wewe ulishasikia fununu tena za kusajili mabeki. James na Gusto wapo. Usishau pia Acheampong yupo fulback wote wanacheza kushoto na kuliaHaya ni matusi na nafasi zao halisi atacheza Nani?
Sasa Unanipangia stress mzee😂Jidanganye wewe ni mbabe wa stress za kujitakia tukuzike mapema tuendelee kumla Shemeji yetu na kulea watoto.
Ubinadamu ni kazi/The humanity i is work.
Huyo akizeeka watamuita mchawi aisee😂Halafu akifukuzwa aje kula kwako?, Hivi unadhani hao makocha unaowaona wanafaa waliibuka ghafla!!?, Maresca ndo kocha wa Chelsea kwa sasa tumuunge mkono tu na uzuri timu inaonesha mabadiliko makubwa tu au ndo tumezoea kutafuta udhaifu tu wa mtu hata kama afanye vizuri kiasi gani!!? Ili mladi tu umkosoe?
Maeki wa kati chelsea ni changamotoNdio maana Maresca anawapenda wachezaji kama akina Joao Pedro anayecheza nafasi nyingi ili ikitokea pengo wazibe bila gharama. Maresca sasa hivi anahangaika tu na washambuliaji. Wewe ulishasikia fununu tena za kusajili mabeki. James na Gusto wapo. Usishau pia Acheampong yupo fulback wote wanacheza kushoto na kulia
Jamani ambao hamuangalii hii game ya PSG mnakosa kujifunza kitu muhimu sana. Nina imani Maresca huko anaangalia hii game na benchi lote la ufundi
PSG 3 - 0 MADRID