Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mwendo wa kupoza mashambulizi kama kawaida baada ya kagoli kamoja
 
Cucurella Kawa mwamba kweli kweli siku hizi ,hili jamaa ni nguzo sana kwenye beki yetu , nikikumbuka ilivyobaki kidogo jamaa auzwe unyumbuni
 
***** naona Jackson anajiandaa, Huyu kocha naona anataka kujichanganya dkk za mwisho
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…