Ameshajoin, ameshasain mkataba wa miaka saba na tayari ameonekana akiwa na mazoezi na wenzake leo. Pia Chelsea imeshamtangaza kuwa ameshabatizwa kwa maji ya blue.Mkuu hivi vipi kuhusu Joao Pedro kama amejoin na wenzie Marekani au la!!?
Imekaa vizuri,tunatumai ataingia kwenye mfumo harakaAmeshajoin, ameshasain mkataba wa miaka saba na tayari ameonekana akiwa na mazoezi na wenzake leo. Pia Chelsea imeshamtangaza kuwa ameshabatizwa kwa maji ya blue.
View attachment 3391598
Kama timu yako haipo USA bc kafie mbele hukoKenge kabisa, mnajadili nini hapa ? Fungu la kukosa
Ukiangalia hakuna utofauti mkubwa na PSG, mm naona Chelsea ana nafasi kubwa ya kufika fainali kuliko kusema atachukua ubingwaChelsea imepewa nafasi kubwa ya kushinda kombe la dunia la vilabu
View attachment 3391604
Huu ni utabiri au ni ramli?Chelsea imepewa nafasi kubwa ya kushinda kombe la dunia la vilabu
View attachment 3391604
Yote sawaHuu ni utabiri au ni ramli?
Sanchez huyu. Beki kisiki wa chelsea.View attachment 3391658uyu mchezaji ni nani naomba kumjua
HahahahaSanchez huyu. Beki kisiki wa chelsea.
Je unawafahamu OPTA?Huu ni utabiri au ni ramli?
Je unawafahamu OPTA?
Mkuu punguza presha ! Msimu ujao bado mtateseka tu, hakuna mahali mtafikaKama timu yako haipo USA bc kafie mbele huko
Mkuu punguza presha ! Msimu ujao bado mtateseka tu, hakuna mahali mtafika
Mkuu punguza presha ! Msimu ujao bado mtateseka tu, hakuna mahali mtafika
Mmepewa mwaliko hapo changamkieni ili mjenge mentality kwa wachezaji wenu na makocha wenu wapende mashindano kama hiziπ¨ BREAKING:
Liverpool π΄, Man City π΅, Man United π΄, na Arsenal π΄ wametaja vikosi vyao watakavyosafiri kwenda Marekani kuangalia Chelsea π΅ katika Kombe la Dunia la Vilabu QF dhidi ya Palmeiras Ijumaa usikuπβ½.
Mtanage huo utafanyika katika katika uwanja wa Lincoln Financial Field ulioko kwenye mji wa Philadelphia, Pennsylvania
Karibuni Majirani wetu
Anhaa bonge la beki hiloo, linapiga namba ngapi vileeSanchez huyu. Beki kisiki wa chelsea.
Namba 5Anhaa bonge la beki hiloo, linapiga namba ngapi vilee
Kwa akili ya kocha wetu utashangaa atacheza James wakati nje una Essugo na SantosKuna Tetesi za kukosekana Kwa Lavia kwenye game ijayo kutokana na majeruhi ...πππ