John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,042
Yule jamaa simuelewagi kabisa huenda akawa ana matatizo ya utindio wa ubongo😂...yaan mtu serious ana type huwezi kushinda kikombe na midfielder km caicedoYule jamaa wa Liverpool ana lolote leo la kumsema master
View attachment 3387582
Hopeful tutamuona essugo akichukua nafasi yakeTunamkosa mechi ya robo fainali sababu ya kadi za njano
Yeah dogo nae ni Caicedo mtupuHopeful tutamuona essugo akichukua nafasi yake
Kati ya Santos na Essugo yupi aanze? Ambaye atakuwa partner wa LaviaHopeful tutamuona essugo akichukua nafasi yake
Joao Pedro ni msumbufu sana kule mbele kama Pedro Neto. Ukiwa nawashambuliaji wa kuwa keep busy mabeki wa timu pinzani timu iko salama kabisa.Nimeona watu wengi Wana criticize Chelsea kutaka kumsajili Joao Pedro wanaona hana namba kubwa ya magoal nataka niwaambie kitu, Kuna wachezaji huwezi kuwahukumu kwa namba ila unatakiwa uwaangalie kwenye game Joao Pedro ndio mchezaji wa aina hiyo. Ukimuangalia mtu Kama Diego costa au Aguero hata Kama ni mara yako ya Kwanza unajua huyu ni striker kutokana na namna wanavyocheza huwa hawakai mbali na goal ila kwa Joao Pedro ni tofauti anaweza akawa amepangwa namba 9 ila ukaangalia uchezaji wake huwezi kujua ni namba tisa kwasababu hatulii kwenye eneo moja utamkuta mara Lw, advance midfielder au RW anashuka mpaka chini, work rate yake ni kubwa uwanjani, ana skills,ana Kasi, good passer na scoring mzuri huwa ana athiri mchezo mzima ana fanya vitu vitokee. Akija Chelsea tutakuwa tumepata mchezaji mzuri mwenye ubunifu hii itasaidia kutomtegemea sana Cole Palmer kwenye kutengeneza nafasi hata kwenye kufunga pia.Jamaa ni kiraka anaweza kucheza nafasi za mbele tofauti Kama namba 9, no 10,7 na 11 watu hawatakiwi kumjudge kwa namba.kiasi fulani nimeanza kuwaamini body yetu ya usajili Wana jicho la mbali
Flano vipi huko timu yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Tokea Chelsea iwaruhusu wachezaji wake kuvuta Bhange Marasi wote sasa hivi wanaichukulia Chelsea kama Jamaica, hakuna mchezaji yoyote mwenye rasta akahitajika Chelkenge akachomoa.
Jah man jah gwan.
Ningetamani sana Santos aanze anawajua vyema hao mabrazil wenzake na pia naona ametulia kuliko EsugoKati ya Santos na Essugo yupi aanze? Ambaye atakuwa partner wa Lavia
Mwendo wa dreads tu.Jamie Bynoe-Gittens amekamilisha sehemu kuu ya matibabu kama mchezaji mpya wa Chelsea kama ilivyopangwa.
Mkataba wa £55m umekamilika. 🔐🩺
View attachment 3387612
Hata Mimi naona Santos anafaa zaidi pia anasaidia pia kuisogeza team mbele alafu Lavia anakuwa chiniNingetamani sana Santos aanze anawajua vyema hao mabrazil wenzake na pia naona ametulia kuliko Esugo
Wechezaji wetu wengi wamekaa kimauzo. Santos hana maisha marefu THE BLUES.Hata Mimi naona Santos anafaa zaidi pia anasaidia pia kuisogeza team mbele alafu Lavia anakuwa chini
Mi naona kama aanze essugo hv( ndo mkata umeme zaidi)..yule Santos naona km ni no.8 zaidi nafasi za Enzo Fernandez ..Kati ya Santos na Essugo yupi aanze? Ambaye atakuwa partner wa Lavia
Na jamaa anavyopenda kuwafunga nyumbu nafikiri tangu akiwa Watford....hapo nyumbu tukikutana nazo kabla ya game zinauwakika wa kuliwa goli Moja😂🚨💙 BREAKING: João Pedro to Chelsea, here we go! Agreement done club to club for fee in excess of £50m.
João will travel on Tuesday for medical tests and contract signing, ready for FIFA Club World Cup.
Lavia si atacheza 6 ndio maana nimependekeza Santos siku hizi naona Enzo anapandishwa juu zaidiMi naona kama aanze essugo hv( ndo mkata umeme zaidi)..yule Santos naona km ni no.8 zaidi nafasi za Enzo Fernandez ..
Huu usajili ndio wa kwanza kusajili wachezaji wa kwenye mfumo wa koacha huku kocha mwenyewe akishirikishwa. Huko nyuma tuliwasajili wachezaji wa Tod Boehly, Behdad Eghbali, na SDs tuTHE BLUES kusajili tuu wachezaji hatujambo
Kuwatumia vizuri wachezaji sasa ndio kituko, tunaishia kuwatoa mikopo, kuwauza na kuua vipaji
Ndo hivyo taarifa zilizopo ni hizoNasikia jamaa Joao Pedro anaweza akaungana na timu kule club world cup au n tetesi tu?
Kwenye mfumo mpya am,bao kocha ameshasema juzi tulipocheza na E. Tunis kuwa Palmer atakuwa RW na Enzo no 10Lavia si atacheza 6 ndio maana nimependekeza Santos siku hizi naona Enzo anapandishwa juu zaidi
Taarifa zaidi, anakaribia Miami kuungana na Chelsea keshoNasikia jamaa Joao Pedro anaweza akaungana na timu kule club world cup au n tetesi tu?