Wanacheza kama wazee. UEFA tutaenda kutia aibu.Hii mechi tulicheza vizuri kiasi kutokana na mpinzani kuwa dhaifu asiye na pace ila still timu inafanya mashambulizi very slow tukikutana na mpinzani anajielewa bado hatuna cha maana tutamfanya
Ule ugonjwa wa kufunga goli 1 na kurelax bado upo jana bahati yalipatikana magoli 2 ya haraka na timu ikaanza kucheza kama mazoezi kama kawaida na wakati rotation ilikuwa zaidi ya wachezaji wasiopungua 7
Bado najiuliza hivi team nyingine zinawezaje kuwa na high tempo ya mchezo kwa dak 90 sisi ni wazee wa kupoza mashambulizi
We una mtu kma Badiashile unataka timu iwe na kasiWanacheza kama wazee. UEFA tutaenda kutia aibu.
Badiashile ana improve taratibu, Kijana anatoa pasi kama ndio kazaliwa nayo. Akiweza kuimprove kwenye mbinu za kuuzoma mchezo kama beki na kuongeza kasi kwenye kukaba bado ni mdogo atakuja kuwa beki mzuri sanaWe una mtu kma Badiashile unataka timu iwe na kasi
Watu wakishamchukia mtu ndo mazima yaan mpk sijui afanye nn 😂 ila kwenye swala la kupiga risk passes..za kubreak line badiashile mtu aiseeBadiashile ana improve taratibu, Kijana anatoa pasi kama ndio kazaliwa nayo. Akiweza kuimprove kwenye mbinu za kuuzoma mchezo kama beki na kuongeza kasi kwenye kukaba bado ni mdogo atakuja kuwa beki mzuri sana
Njeree anapiga pasi hatari. Udhaifu wake ni hana kasi na kujisahau.Watu wakishamchukia mtu ndo mazima yaan mpk sijui afanye nn 😂 ila kwenye swala la kupiga risk passes..za kubreak line badiashile mtu aisee
Shida anacheza vizuri leo mechi ijayo anakuwa wa hovyo, halaf hawa waarabu bado sio kipimoBadiashile ana improve taratibu, Kijana anatoa pasi kama ndio kazaliwa nayo. Akiweza kuimprove kwenye mbinu za kuuzoma mchezo kama beki na kuongeza kasi kwenye kukaba bado ni mdogo atakuja kuwa beki mzuri sana
Checlsea inatengeneza timu ya ligi tatuShida anacheza vizuri leo mechi ijayo anakuwa wa hovyo, halaf hawa waarabu bado sio kipimo
Uhamisho wa Estevao Willian wa kwenda Chelsea ulizua wasiwasi kiasi kwamba alikiri mapema wiki hii kwamba alihisi "kutotulia" kwa sababu ya kuhusu kuondoka kwake Palmeiras na kwamba imekuwa vigumu kutulia "asilimia 100 mchezoni"Estavio ameachia bullet hapa, kipa akapangua. Mechi iko live Palmeiras vs Botafogo
Mimi sijaelewa kitu kimoja hapo kwanini kaanza na center backs wanaotumia mguu wa kushoto? But overall kikosi nikizuriBenfica vs Chelsea
4-2-3-1
Lineup
----Delap----
Neto-Enzo-Palmer
---Lavia----Caicedo---
Cucurella-Colwill-Badiashile-James
-----Sanchez------
Bench
1) Penders
2 Slonina
3) Gusto
4) Acheampong
5) Chalobah
6) Anselmino
7) Tosin
8) Sarr
9) Essugo
10) Santos
11) Dewsbury-Hall
12) Madueke
13) George
14) Nkunku
15) Guiu
Gittens chuma ya kaziGittens tena ? £55m ? Mtakuja kumkataa hapa hapa,,,, hizi ni version za kina garnacho, madueke, Martineli