Cash Money Forever
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 668
- 1,272
Chief hakuna kubet uwezo wake ndio umeishia hapo. Ameshatumia silaha zake zote ghalani kwa sasa anaokota mawe na kurumshia aduiKiukweli kabisa napata mashaka na kocha Enzo Maresca. Anaanza kuwa na kichwa kigumu kama Potter au labda huyu kocha anabet
Mimi sikatai kwenye kujaribu mbinu ni kitu cha kawaida sana ukiwa kocha ila kinachonishangaza hiyo position anayomchezesha Gusto imeshindwa kuworkout mara nyingi na hata kwa James kuwa midfielder imefeli mara nyingi alivyomtumia but still kocha habadilikiKocha la majiribio linajiandaa na msimu ujao kwa kishindo ni mwendo wa trial and error tu
Kocha anakichwa kigumu mno mbinu alizochezesha dhidi ya flamengo amewahi kutumia mara nyingi na ilifeli na lakini hachoki kutumia Tena lini Gusto awe winga? James ameshaonesha kuwa midfielder hawezi kucheza lakini kocha achoki kumchezesha Sasa tulimstajili Lavia na Essugo wa Nini? Hata sub ya Delap ilinishangaza cos Delap kacheza vizuri sikuona sababu ya kumtoa alikuwa anatoa kashikashi mbele ingawa mipira ilikuwa hamfikii ulikuwa unaona ile fight spirit but kocha kamfanyia sub ilimradi tu mtoto wake pendwa Jackson achezeChief hakuna kubet uwezo wake ndio umeishia hapo. Ameshatumia silaha zake zote ghalani kwa sasa anaokota mawe na kurumshia adui
Kuna msemo nilishawahi kutumia huko nyuma kipindi kile tunafungwa mfulilizo.Kocha anakichwa kigumu mno mbinu alizochezesha dhidi ya flamengo amewahi kutumia mara nyingi na ilifeli na lakini hachoki kutumia Tena lini Gusto awe winga? James ameshaonesha kuwa midfielder hawezi kucheza lakini kocha achoki kumchezesha Sasa tulimstajili Lavia na Essugo wa Nini? Hata sub ya Delap ilinishangaza cos Delap kacheza vizuri sikuona sababu ya kumtoa alikuwa anatoa kashikashi mbele ingawa mipira ilikuwa hamfikii ulikuwa unaona ile fight spirit but kocha kamfanyia sub ilimradi tu mtoto wake pendwa Jackson acheze
Ndio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuriKuna msemo nilishawahi kutumia huko nyuma kipindi kile tunafungwa mfulilizo.
Nikasema "Maresca ujuaji mwingi mbele giza"
Jamaa anajifanya ni mkali wa mbinu na mahesabu makali kumbe ni kichwa Boflo.
Hamna kocha pale anajidai anataka kuprove watu wrong kwenye selection ya wachezaji na mbinu, kumbe maamuzi ya kijinga anafanya.Ndio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuri
MBona kuna game tunacheza vizuri tu? Kwamba Felipe Luis (kocha wa Flamengo) ana mbinu kali kumzidi Maresca? Huyu kocha anahisi yupo pre season sio bureChief hakuna kubet uwezo wake ndio umeishia hapo. Ameshatumia silaha zake zote ghalani kwa sasa anaokota mawe na kurumshia adui
Boflo hamna kitu.MBona kuna game tunacheza vizuri tu? Kwamba Felipe Luis (kocha wa Flamengo) ana mbinu kali kumzidi Maresca? Huyu kocha anahisi yupo pre season sio bure
Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseasonKiukweli kabisa napata mashaka na kocha Enzo Maresca. Anaanza kuwa na kichwa kigumu kama Potter au labda huyu kocha anabet
Andrey Santos yupo pale world class CMNdio maana Nina wasiwasi hata tukimletea wachezaji wazuri kiasi gani kwa huyu kocha ngumu kutoboa eti kocha gani mwenye akili anamkataa Petrovic alafu anambakisha Sanchez na hiyo game katoa boko mbili ni vile wapinzani wameshindwa kutumia vizuri
Tuseme ukweli, Fillipe Luiz kwenye ukocha ni mzuri, Flamengo kwenye mechi 9 hajapoteza mechi hata moja ila bado Chelse tungekuwa na serious coach kama Enrique ile mechi tungeshindaMBona kuna game tunacheza vizuri tu? Kwamba Felipe Luis (kocha wa Flamengo) ana mbinu kali kumzidi Maresca? Huyu kocha anahisi yupo pre season sio bure
Boflo anavuta bangiAndrey Santos yupo pale world class CM
Esugo yuko pale kiungo bora halafu wote unawapiga benchi dakika 90 mili tu amfanyie majaribio Reece James world class RB kucheza Midfield tena kwenye mechi muhimu kama ile. Tumepoteza fursa ya kuongoza kundi na pengine hata kufunzu round of 16 huku unamuweka flop Gusto kwenye RB
Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseason
Huwa wanasema maumivu yakizidi muone daktari. Sio mimi ni maneno ya watu hayo ukiweza nawewe yanaweza kukusaidia.Muuzeni Caicedo hakuna mchezaji pale
Toa Mr hapo kwenye ID yako weka Mrs ili unachochangia kiendane na gender yakoMuuzeni Caicedo hakuna mchezaji pale
Kama anajiona yupo preseason mbona wakina sarr, Essugo na Santos hawachezeshwiPengine kocha anajiona yuko pre season
Sasa kwa akili hizi tutaweza ku compete Europe kweli?Ana akili kama ya Sanchez, pale anapopatia kesho yake anafanya amaamuzi ya kushangaza ulimwengu. Anatest mitambo kama toto la miaka miwili. Mechi muhimu kama ile unaifanya preseason